About: myadmin

Website
Profile
Hello, I am a regular author. To edit this text edit your profile in Users area of admin.

Posts by myadmin:


  IMF: Uchumi wa Tanzania waongoza Afrika Mashariki

  Tanzania inatarajiwa kusajili kiwango cha juu zaidi cha ukuaji wa uchumi wake mwaka huu katika kanda ya Afrika Mashariki na kati. Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya shirika la fedha la kimataifa – IMF. Katika ripoti yake iliyotolewa hii leo Tanzania inatarajiwa kusajili kiwango cha juu cha ukuaji wa uchumi wake wa asilimia 6.9% […]

  May-05-2016

  myadmin

  MKURUGENZI WA IDARA YA MAAFA NCHINI ATEMBELEA MAENEO YALIYOATHIRIKA KWA MAFURIKO.

  Mbunge wa jimbo la Vunjo ,James Mbatia akizungumza jambo na Mkurugenzi wa idara ya Maafa nchini Brigedia Jenerali Mbazi Msuya wakati wakitembelea kijiji cha Mandaka Mnono kujionea athari ya mafuriko,katikati ni Mbunge wa viti Maalum (Chadema) mkoa wa Kilimanjaro Lucy Owenya. Mkurugenzi wa Idara ya Maafa nchini Brigedia Jenerali ,Mbazi Msuya akimweleza jambo Mwenyekiti wa […]

  Apr-30-2016

  myadmin

  UZINDUZI WA MASHINDANO YA UMISSETA MKOANI MWANZA

  Mkuu wa mkoa wa Mwanza.John Mongella akipokelewa na viongozi na wadau wa michezo alipowasili uwanja wa CCM Kirumba kuzindua mashindano ya COPA UMISSETA Afisa Elimu Mkoa wa Mwanza, Hamis Maulidi akizungumza wakati wa hafla hiyo. Katibu wa Baraza la Michezo la Taifa(BMT), Mohamed Kiganja akizungumza katika uzinduzi wa mashindano hayo.  Meneja masoko wa wa kampuni […]

  Apr-30-2016

  myadmin

  VIONGOZI KATIKA TAASISI MBALI MBALI ZENJI WALA KIAPO LEO

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd,Salmin Amour Abdalla  kuwa Naibu Katibu wa Baraza la Mapinduzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd,Asaa Ahmada Rashid kuwa   Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya […]

  Apr-30-2016

  myadmin

  USAFI DAR SIO NGUVU YA SODA TENA: MIKAKATI YAIMARISHWA

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda akiongozana na Diamond Plutnamz huku ulinzi ukiwa umeimarishwa wakati wa matembezi hayo yaliyofanyika leo kwa ajili ya kuhamasisha wakazi wa jiji la Dar es salaam kufanya usafi katika maeneo yao.Haya ni miongozi mwa matukio yaliyojiri wakati wa matembezi hayo ya kuhamashiwa wakazi wa jiji […]

  Apr-30-2016

  myadmin

  KIPINDI KIPYA CHA “MUSIC IS OUR WEAPON CHAANZA KUCHANJA MBUGA

  Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo (Kulia) akisalimiana na Katibu wa Balozi wa Nigeria Hapa nchini Bi.Abiola Adelupe wakati wa uzinduzi wa Makala ya “Music is our Weapon” iliyotengenezwa na kikundi kiitwacho “SARABI Music Group” cha nchini Kenya uliofanyika jana Jijini Dar es Salaam. Kikundi cha mziki kiitwacho “SARABI Music Group” […]

  Apr-30-2016

  myadmin

  MAPENDEKEZO YA SHERIA YA WAZEE KUWASILISHWA BUNGENI

  NAIBU WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla amesema Serikali imekamilisha mapendekezo ya uundwaji wa Sheria ya Wazee ambayo yatawasilishwa katika mkutano wa Bunge wa Septemba. Dk. Kigwangalla aliyasema hayo jana (Ijumaa, Aprili 29, 2016) wakati  akitoa ufafanuzi kwa Viongozi wa Mtandao wa Wazee waliomtembelea Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa […]

  Apr-30-2016

  myadmin

  WAANDISHI WA HABARI KUPATA MSASA KUHUSU HAKI ZA BINADAMU.

  Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu toka Umoja wa Mataifa (UN), Bi. Chitralekha Massey akiwapiga msasa baadhi ya waandishi wa habari kuhusu Mpango wa Kimataifa wa Kujitathmini juu ya Masuala ya Haki za Binadamu (UPR) wakati wa warsha ya siku moja 29 Aprili 2016 Mkoani Morogoro. Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, […]

  Apr-30-2016

  myadmin

  SABABU ZA KUPUNGUA KWA SHEHENA YA MAKONTENA BANDARINI “ZIBAINISHWE HARAKA”

  SERIKALI imeziagiza Mamlaka ya Bandari-TPA, na Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA, kufanya uchambuzi wa kina ili kubaini sababu za kupungua kwa shehena ya kontena zinazoingia nchini kupitia Bandari ya Dar es salaam kwenda nchi jirani Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dokta Philip Mpango, ameliambia Bunge mjini Dodoma, leo tarehe 30, Machi, 2016 kwamba taarifa zilizopo […]

  Apr-30-2016

  myadmin

  VIJIJI KUBORESHWA: SERIKALI KUTUMIA SHILINGI BILIONI 59.5

  Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dokta Philip Mpango, amesema kuwa serikali imepanga kutumia shilingi 59.5bn kwaajili ya kuviwezesha vijiji nchi nzima katika kipindi cha mwaka fedha 2016/2017 Dokta Mpango, aliwaambia wabunge mjini Dodoma, leo tarehe 30, Machi, 2016, kwamba fedha hizo ni kwajili ya kukiwezesha kila kijiji shilingi 50m kwa ajili ya kutoa mikopo […]

  Apr-30-2016

  myadmin

  MAJALIWA AKUTANA NA VIONGOZI WA MTANDAO WA VYAMA VYA WAZEE

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Mtandao wa Vyama vya Wazee Tanzania Ofisini kwake  bungeni mjini Dodoma  Aprili 29, 2016. Kushoto kwake ni Naibu Wziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoo, Dkt. Hamis Kigwangalla .(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Mtandao wa Vyama […]

  Apr-30-2016

  myadmin

  Tanzania: Mount Kilimanjaro Wins Africa’s Leading Tourist Attraction Award

  MOUNT Kilimanjaro, the highest mountain in Africa, and the highest freestanding mountain in the world, has been declared Africa’s leading tourist attraction in 2016 during the World Travel Awards Africa and Indian Ocean Gala Ceremony in Zanzibar. A statement issued by the Tanzania Tourist Board (TTB), yesterday said the red carpet event attended by hundreds […]

  Apr-29-2016

  myadmin

  SGA SECURITY YAGAWA VIFAA VYA USALAMA BARABARANI

  Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA Security Bw. Eric Sambu akikabidhi koti maalum la usalama barabarani Bw. Thobias Msua  mmoja wa waendesha Bodaboda wa Mbezi Tangibovu jijini Dar es salaam wakati wakati kampuni hiyo ilipotoa msaada wenye thamani ya shilingi milioni 4 na wametoa msaada huo kwa waendesha  bodaboda zaidi ya 4000, makabidhiano hayo […]

  Apr-29-2016

  myadmin

  UZAZI WA MPANGO NI MUHIMU SANA

  Mtaalam wa masuala ya uzazi wa mpango kutoka Marie Stopes Tanzania, Bi. Ester Meena akitoa elimu ya uzazi wa mpango kwa wananchi wa kijiji cha Itobo, Itirima – Simiyu mapema wiki iliyopita. Elimu hiyo ya uzazi wa mpango iliendana na huduma ya upimaji wa afya ikiwa ni pamoja na kutoa huduma ya uzazi wa mpango. […]

  Apr-29-2016

  myadmin

  SUPASTAA WA MALAWI TAY GRIN AWAPANIA DIAMOND NA VANESSA

  Rapper na supastaa wa Malawi, Tay Grin, amedai kuwa ana mpango wa kuwashirikisha Diamond Platnumz na Vanessa Mdee. Tay ambaye hivi karibuni aliachia video ya wimbo‘Chipapapa’aliomshirikisha msanii wa Nigeria, 2 Face Idibia, amesema kuwa hao ni wasanii wa Tanzania anaowakubali zaidi. “Ningependa sana kufanya kazi na wasanii wa Tanzania,” anasema Tay. “Napenda jinsi wasanii wa […]

  Apr-29-2016

  myadmin

  NICO NJOHOLE NA RENATUS NJOHOLE WAWASILI DALLAS, MTANANGE WA SIMBA NA YANGA JUMAMOSI

  Renatusi Njohole akiwa katika picha ya pamoja na kaka yake  Benchi la ufundi la Yanga Bwn. Gerry Mshana(kulia) akipata picha ya kumbukumbu na Nico Njohole siku ya Alhamisi Dallas, Texas. Nico na Renatus wamekuja maalum kuhudhuria mkutano wa DICOTA na kuchezea Simba kwenye mtanange wa watani wa jadi.   Kutoka kushoto ni Gerry Mshana, Mary […]

  Apr-29-2016

  myadmin

  MWANAMAZINGIRA WA UN, GETRUDE CLEMENT ALIVYOPOKELEWA JIJINI MWANZA

    Shujaa Wetu, Mwanahabari Mtoto, Mwanamazingira Balozi wa Umoja wa Mataifa UN kutoka Mwanza Tz, Getrude Clement (16) jana amewasili nyumbani Jijini Mwanza majira ya saa tatu usiku na kupokelewa kwa shangwe na ndugu, jamaa na marafiki katika Uwanja wa Ndege Mwanza.   …………………………………………………………………………………………………. Alihudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa nchini Marekani uliohusu Mabadiliko ya Tabia nchi (Climate Change) ambapo […]

  Apr-29-2016

  myadmin

  SERIKALI YAZIDI KUPAMBANA NA UGONJWA WA MALARIA NCHINI

  Na Beatrice Lyimo-MAELEZO 27/04/2016 Kufanikiwa kwa juhudi za Kutokomeza ugonjwa wa Malaria kutaufanya ulimwengu kuwa mahali pazuri na salama pa kuishi kwa kizazi hiki na vizazi vijavyo na kuwawezesha mamilioni ya watu kufikia malengo yao kimaisha. Hivi karibuni Tanzania imeungana na nchi nyingine Ulimwenguni kuadhimisha siku ya Malaria duniani ambapo ni maalumu kwa ajili ya […]

  Apr-29-2016

  myadmin

  JAMII YASHAURIWA KUWAPELEKA WATOTO KWENYE CHANJO

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Mpoki  Ulisubisye akifafanua jambo kwa waandishi wa habari. ……………………………………………………………………………………………………… Na Magreth Kinabo- Maelezo  Jamii imeshauriwa  kuwapeleka watoto wote wanaostahili kupata chanjo    walio chini ya umri wa miaka mitano katika vituo vya afya ili waweze kupatiwa chanjo  ili kuweza kutokomeza maradhi na kupunguza vifo vya […]

  Apr-29-2016

  myadmin

  TANAPA YAKABIDHI MABATI 2800 KUSAIDIA UJENZI WA MAABARA NA ZAHANATI WILAYANI SERENGETI

    Mbunge wa Jimbo la Serengeti Mhe. Marwa Ryoba (kushoto) akipokea msaada wa mabati kutoka kwa Meneja Ujirani Mwema wa TANAPA Bw. Ahmed Mbugi wilayani Serengeti   ……………………………………………………………………………   Na Jacquiline Mrisho – Dar es Salaam   Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limekabidhi jumla ya mabati 2800 kwa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara kusaidia ujenzi wa maabara 15 […]

  Apr-29-2016

  myadmin

  UVCCM: SUMAYE HUNA VIWANGO VYA KUMKOSOA RAIS DK. MAGUFULI

  Na Woinde Shizza, Kilimanjaro Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umesema Waziri mstaafu Frederick Sumaye, hana vigezo wala sifa zozote zinazoweza kumfanya awe na uwezo wa kumkosoa Rais Dk John Magufuli katika uendeshaji wa serikali na masuala ya utawala. Sumaye ametakiwa amuache Rais Dk Magufuli ili atimize majukumu yake kwa sababu alipewa dhamana […]

  Apr-29-2016

  myadmin

  TIGO YATOA VISIMA 12 VYA MAJI KWA VIJIJI 12 SINGIDA

  Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Gerson Lwenge (katikati)akikata utepe katika makabidhiano ya visima 12 vyenye thamani ya millioni 174 kutoka Kampuni ya Tigo akiwa na Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Kaskazini George Lugata(kulia),na kushoto ni mkuu wa mkoa wa Singida  Mhandisi Mathew Mtigumwe, katika kijiji cha Mtinko, mkoa wa Singida juzi.  Waziri wa Maji […]

  Apr-29-2016

  myadmin

  VIONGOZI WA KISIASA WAFANYA BIASHARA,WATAKIWA KUWAJALI NA KUWATHAMINI WATOTO WENYE ULEMAVU

  Wanafunzi wa shule ya msingi Mreyai iliyopo wilayani Rombo mkoa wa Kilimanjaro wakisikiliza kwa makini ugeni wa kaimu katibu mkuu uvccm taifa Shaka Hamdu Shaka wanafunzi na ugeni ukisikiliza Risala iliyo somwa na mmoja wa wanafunzi walemafu katika shule hiyo Kaimu Katibu Mkuu Shaka Hamdu Shaka akipokea Risala ya Wanafunzi Mkuu wa shule ya msingi Mreyai […]

  Apr-29-2016

  myadmin

  KIKAO CHA MAANDALIZI YA MKUTANO WA MASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI CHAANZA

  Mwenyekiti wa kikao cha Makatibu wa Mabunge wa Afrika Mashariki Dkt. Thomas Kashilila akiongoza kikao cha maandalizi ya mkutano wa Maspika wa Afrika Mashariki leo jijini Arusha. Mwenyekiti wa kamati ya maadalizi ya mkutano wa Maspika wa Afrika Mashariki Dkt. Thomas Kashilila (kushoto) akiongoza kikao hicho leo jijnii Arusha. Kulia ni Katibu wa Bunge la […]

  Apr-29-2016

  myadmin

  DC WA KINONDONI HAPI AANZA MAPAMBANO DHIDI YA WATUMISHI HEWA, ABAINI 89

  DC wa Kinondoni Salum Hapi akizungumza leo ofisni kwake NA BASHIR NKOROMO Mkuu wa Wilaya a Kinondoni, Dar es Salaam,  Salum Hapi amesema, Serikali katika wilaya hiyo imebaini kuwa  imepoteza zaidi ya sh. bilioni 1.331 kwa kuwalipa wafanyakazi hewa wapatao 89.hadi sasa. Amesema, baada ya kuapishwa kuwa mkuu wa wilaya hiyo siku saba zilizopita, amesimamia […]

  Apr-29-2016

  myadmin

  KAA NYUMBANI; WATAKA KWENDA WAPI?????????????????????

  Sasa nyie mnataka kuwa hewani wakati wote? Kazi itafanyika saa ngapi???     Nyama imewasili. Msosi suni.   Bora nyie mnaye viatu. Wakisema ni vya jinsia tofauti, hayo ni yao.   Sasa hii inchi yetu si ya ujamaa na kushea?!!?   Usipokwenda kutafuta chakula, basi hakuna atayekuletea kila siku hapo ulipo.

  Apr-28-2016

  myadmin

  DC WA MISHO MHE MAKUNGA ASHIRIKI KTK KUTOA MISAADA KWA WALIOKUBWA NA MAFURIKO

  Tumewafariji kwa chakula wananchi wa kijiji cha Soko waliokimbia makazi yao na kuishi katika majengo ya kanisa na katika shule kutokana na kukumbwa na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha katika wilaya ya Moshi.  

  Apr-28-2016

  myadmin

  RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AWASILI MKOANI DODOMA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma wakati akitokea mjini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Kitwanga […]

  Apr-28-2016

  myadmin

  MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA KWA RAIS VLADMIR PUTIN

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Biashara na Viwanda wa Urusi Mhe. Denis Manturov aliyeongoza ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Urusi Mhe. Vladmir Putin wakati ujumbe huo ulipofia Ikulu Dar es salaam leo April 28, 2016. Katika mazungumzo yao Viongozi hao wamezungumzia kuhusu […]

  Apr-28-2016

  myadmin

  BENKI YA EXIM YAZINDUA MASHINE YAKE YA KWANZA YA KUWEKA PESA KWENYE AKAUNTI

  Mkuu wa  Huduma za matawi Benki ya Exim Tanzania, Bw Eugine Massawe (kulia) pamoja na Meneja Mkuu wa kampuni ya Pacific International Lines, PIL Bw. Kevin Stone wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa mashine ya kuweka pesa (CDM) ya benki hiyo itakayowawezesha wateja wa kampuni ya PIL kuweka pesa kwenye akaunti zao moja kwa moja bila […]

  Apr-28-2016

  myadmin

  KIJIJI CHA NYEBURU CHAPATA MKOMBOZI WA MRADI WA UMEME WA VIJIJINI

  NA VICTOR MASANGU, PWANI MRADI WAKAZI zaidi wa 100 katika kijiji cha Nyeburu Wilayani Kisarawe Mkoa wa Pwani waliokuwa na tatizo la upatikanaji wa nishati ya umeme na kuishi katika giza kwa kipindi cha muda mrefu kwa sasa wamenufaika baada ya kuunganishiwa umeme kutokana na kukamilika kwa mradi wa umeme vijijini (REA) awamu wa pili. […]

  Apr-28-2016

  myadmin

  SERIKALI YAZUIA UINGIZAJI HOLELA WA MCHELE

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameviagiza vyombo vya dola viimarishe ulinzi kwenye mipaka ya nchi na hasa katika mwambao wa Bahari ya Hindi ili kuzuia uingizwaji holela wa mchele wa magendo kutoka nje ya nchi. Ametoa agizo hilo leo mchana (Jumatano, Aprili 27, 2016) wakati akijibu hoja za wabunge na kuhitimisha hoja ya bajeti ya Ofisi ya […]

  Apr-28-2016

  myadmin

  MAMA MARIA NYERERE ATEMBELEA DARAJA LA NYERERE KIGAMBONI

  Mama Maria Nyerere, Mjane wa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,  akiwa na mwanae Mhe. Makongoro Nyerere na msaidizi wake akifurahia mandhari wakati walipotembelea Daraja la Nyerere Kigamboni jijini Dar es salaam. Mama Maria, ambae hakujali mvua kubwa iliyokuwa inanyesha, alionekana mwenye furaha kufika darajani […]

  Apr-28-2016

  myadmin

  BUNGE LAPITISHA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akipongezwa na wabungeu)baada ya  bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili 27,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akipongezwa na wabungeu)baada ya  bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi […]

  Apr-28-2016

  myadmin

  BANDARI YA DAR KUUNGANISHA SINGAPORE NA EA COMMUNITY

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Biashara na Viwanda wa  Singapore, Dkt. Koh Poh Koon (kulia kwake) na ujumbe wake, Ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Aprili 27, 2016. Kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana  na Waziri wa Biashara na Viwanda […]

  Apr-28-2016

  myadmin

  MALIMBIKIZO YA NSSF YATAKIWA KULIPWA KABLA YA TAREHE JUNE 30, 2016

  Bw. James Oigo Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji Shirika la Taifa la  Hifadhi ya Jamii NSSF akizungumza na waandhishi wa habari katika makao makuu ya shirika hilo jengo la Benjamin Mkapa wakati akielezea kuhusu waajiri wanaodaiwa madeni sugu ya michango ya wafanyakazi wao na kutamka kwamba wasipolipa michango hiyo mpaka ifikapo Juni 30 mwaka huu shirika […]

  Apr-28-2016

  myadmin

  WANAMUZIKI NA WADAU WA MUZIKI KUKUTANA NA MKUU WA MKOA DSM LEO

  Wanamuziki wa dansi, taarab, bongo fleva na wadau wa muziki waishio Dar es Salaam, Alhamisi hii watakutana na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda ili kubadilisha mawazo juu mwenendo wa kazi zao. Wasanii na wadau hao watakutana na Makonda ndani ya ukumbi wa Vijana Social Hall Kinondoni kuanzia saa 5asubuhikatika mkutano […]

  Apr-28-2016

  myadmin

  WAANDISHI ZANZIBAR WAPEWA SEMINA JUU YA GONJWA LA KIPINDUPINDU

  Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Muh’d Dahoma akifungua mafunzo ya siku moja kwa wandishi wa Habari kuhusu maradhi ya kipindupindu katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazimmoja Mjini Zanzibar. Mkuu wa Kitengo cha Elimu ya Afya Zanzibar Nd. Kheri Makame Kheri akitoa ufafanuzi kuhusiana na maradhi hayo na kuwataka waandishi kujikita zaidi […]

  Apr-28-2016

  myadmin

  HATIMAYE YAMEKUWA: YANGA YATINGA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO

  Coastal Union imepoteza mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga baada ya washabiki wake kuwa chanzo cha Mwamuzi kuvunja mchezo huo uliofanyika Aprili 24, 2016 kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga. Uamuzi huo umefanywa na Kamati ya Mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) iliyokutana leo (Aprili 27, 2016) […]

  Apr-28-2016

  myadmin

  PROF.MUHONGO ASAINI KIBALI CHA KUHAMISHA LESENI YA MADINI

  Waziri wa Nishati Profesa Sospeter Muhongo,(katikati) akiwa na ujumbe utoka ubalozi wa china ukuongozwa na kansela Gou Haodong(kulia kwa Waziri) pamoja na watendaji wa Wizara wakiwa katika kikao cha pamoja kabla ya kusainiwa kwa kibali cha uhamisha leseni ya uchimbaji wa kati  wa madini kutoka Kampuni ya uchimbaji wa madini ya China ya Henan AfroAsia  […]

  Apr-28-2016

  myadmin

  CGP MINJA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA MAAFISA WATEULE DARAJA LA KWANZA , MKOANI MOROGORO

    Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, CGP John Casmir Minja akikagua Gadi Maalum iliyoandaliwa na Maofisa Wahitimu wa Mafunzo ya Maafisa Wateule Daraja la Kwanza yalifanyika Aprili 27, 2016 katika Viwanja vya chuo cha Jeshi la Magereza, KPF Mkoani Morogoro. Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, CGP John Casmir Minja katika jukwaa akipokea salaam ya heshima […]

  Apr-28-2016

  myadmin

  DC WA MOSHI, MHE. NOVATUS MAKUNGA AAJIONEA ATHARI YA MAFURIKO

  Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akizungumza jambo na wataalamu alioongozana nao katika uwanja mdogo wa ndege wa Moshi kwa ajili ya kuruka na ndege ndo ya Shirika la Hifadhi za taifa (TANAPA) kwa ajili ya kujionea hali ya mafuriko. Mkuu wa wilaya akiwa katika uwanja wa ndege wa Moshi kwa ajili ya maandalizi ya […]

  Apr-28-2016

  myadmin

  JE WAJUAAAA? SIO KILA HOMA NI MALARIA, NENDA UKAPIME

  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akipima afya yake kujua kama ana vimelea vya ugonjwa wa malaria baada ya kutoa tamko la maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani mjini Dododma Aprili 25 mwaka huu. …………………………………………………………………………………………… Na Eleuteri Mangi-MAELEZO, Dodoma. La mgambo likialia kuna jambo, safari ya kujenga taifa bora […]

  Apr-28-2016

  myadmin

  MHE. NAPE APANIA KUIBORESHA TASNIA YA HABARI

  Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akikabidhi Ipad tano kwa mkuu wa wilaya ya Bukoba Bw.Jackson Msome kwa ajili ya matumizi ya maafisa habari wa mkoa wa Kagera. Bwana Msome alikuwa akimwakilisha Mkuu wa mkoa wa Kagera, Meja Jenerali mstaafu Salum Mustafa kijuu.…………………………………………………………………………………………………… Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO   Sekta ya habari ni kiungo […]

  Apr-28-2016

  myadmin

  HAYAWI SASA YAMEKUWA: UCHUKUZI SC, TAMISEMI KAMA FAINALI KESHO

  Nahodha wa timu ya Uchukuzi SC, Godwin Ponda akimtambulisha mgeni rasmi wa mchezo wa nusu fainali dhidi ya Tamisemi, Kaimu Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Mei Mosi, Joyce Benjamin kwa kipa wake Herbat Steven, nyuma ni mkuu wa benchi, Kenneth Mwaisabula. Uchukuzi walifungwa magoli 2-0. Mwamuzi Robert Mkatakiu (aliyeshika kadi ya njano) akimuangalia mchezaji Kombo […]

  Apr-28-2016

  myadmin

  RAIS DKT MAGUFULI AOMBWA KUTEKETEZA GHALA LA MENO YA TEMBO LILIOPO NCHINI

  Mwenyekiti wa Kampeni ya Okoa Tembo Bw. Shubert Mwarabu (katikati) akielezea kuhus Kampeni yao ya kuokoa Tembo wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika leo katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mjumbe wa Kampeni hiyo Bw. Lameck Mkuburo pamoja na Bw. Arafat Mtui (wa kwanza kulia). (PICHA […]

  Apr-28-2016

  myadmin

  BOSTON CITY CAMPUS TANZANIA, BRANCH NOW OPEN

  Boston City Campus and Business College carries a legacy of over 20 years in South Africa. It currently has 44 branches with over 25000 students studying every year. In Tanzania, Boston has opened its first branch outside South Africa, 45th Branchin total this year.   Boston offers Professional Courses and Short Learning Programs with plans […]

  Apr-28-2016

  myadmin

  TIGO, MGAHAWA WA SAMAKI SAMAKI WAINGIA UBIA

  Meneja wa Huduma za Masoko Tigo, Olivier Prentout (kushoto) akiongea na wanahabari wakati wa kusaini mkataba wa ushirikiano wa kibiashara kati ya kampuni ya simu za mkononi ya Tigo na Mgahawa wa Samaki samaki. Kulia ni Afisa Mkuu wa Maendeleo wa Mgahawa Samaki samaki, Saum Wengert. Meneja wa Huduma za Masoko wa kampuni ya simu […]

  Apr-28-2016

  myadmin

  I LIKE THIS NEIGHBORHOOD

      Hapa ni zaidi.

  Apr-26-2016

  myadmin

  ASIYE NA MACHO AELEKE JIWE

  Apr-26-2016

  myadmin

  ZIARA YA VIONGOZI SHIRIKISHO TAIFA MKOANI DODOMA.

  Uongozi Wa Shirikisho Taifa Chini ya MH M/KITI WA TAIFA ZAINABU ABDALAH ISAA anaziara Ya KUIMARISHA Matawi Vyuon na KUSIKILIZA Changamoto Mbali mbali za Wanavyuo nchini. Viongozi Wa Shirikisho wamekuwa na ZIARA NCHI NZIMA ili kusikiliza Changamoto Mbali mbali za Vijana Wasomi nchini.

  Apr-26-2016

  myadmin

  MWENYEKITI WA CCM NA RAIS MSTAAFU MHE. DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA KILIMO CHA FAFU

  Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi {CCM} na Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete jana Aprili 23, 2016 ametembelea Chuo Kikuu cha Kilimo na Misitu cha jimbo la Fujian (Fujian Agriculture and Forest University-FAFU) kilichopo katika mji mkuu wake Fu Zhou. Mwenyekiti alikaribishwa chuoni hapo kuonyeshwa hatua […]

  Apr-26-2016

  myadmin

  SHIRIKISHO LA WANAFUNZI VYUO VYA ELIMU YA JUU TAIFA. WASHIRIKI ZIARA MKOANI PWANI.

  Mh Siraji Shaha Madebe Kaimu Katibu Mtendaji Mkuu Shirikisho la Wanafunzi Vyuo vya Elimu ya Juu Taifa.Jana Walishiriki Mkutano Mkuu wa Seneti Mkoa Pwani. Ziara Hiyo Ilijumuisha Viongozi Mbali mbali wa Shirikisho Taifa Akiwemo MWENEZI SJIRIKISHO TAIFA FIKIRI MZOME, Katibu Hamasa Taifa, Mratibu Dawati la Hamasa Taifa Alex Mhando PIa upande wa CHAMA CCM WILAYA […]

  Apr-26-2016

  myadmin

  Jamani, hii ni ya kuigwa!

      Huyu mnyonge naye amekumbukwa. Je, wewe unategemea kumfanyia mtu mwingine wema kama huu.

  Apr-21-2016

  myadmin

  Je, huu ndio uungwana?????

  Mgambo takribani watano kwa mtuhumiwa mmoja? Tena huyu ni mganga njaaa tu!!!!!!

  Apr-21-2016

  myadmin

  Haya ndio maisha ati!!!

  Baada ya hutafuta sana; hatimaye nimefanikiwa kupata suruari ya X-Masi ya saizi yangu.   UBA wala hawaitaji kuja huku kwetu. Sisi haya mambo ya mshikaki tuliyaanza toka zamani.!!!!     Hapo ina mzazi na ndio iko hivyo. Sijui ingekuwa kama isingekuwa na baba wala mama?????   Afathali sasa nimeondoa mawazo baada ya kupata hii kitu […]

  Apr-21-2016

  myadmin

  The word of wisdom

  Apr-21-2016

  myadmin

  Please, keep our cities clean

  By Andrew Massawe So I have been thinking about that space; that space between buildings and the road…. that space so many property owners seem to neglect to upkeep; that place that has got you asking why is Dar es Salaam so dirty…. if we all took ownership to maintain (via guidelines) the landscaping and […]

  Apr-21-2016

  myadmin

  Mambo ya urembo haya

  Mamaaaaa, Sitaki tena haya matatuuuu yenuuuuuuu

  Apr-21-2016

  myadmin

  TTB YAKUTANA NA WADAU WA UTALII

    Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania, Bi. Devota Mdachi akiongea na wadau wa Utalii katika ukumbi wa mikutano wa Bodi ya Utalii Tanzania. Katibu Mtendaji wa Shirikisho la Utalii Tanzania, Bw. Richard Rugimbana akitoa maelezo katika moja ya mada zilizoongelewa kwenye mkutano huo. Aliyekaa upande wa Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Chama cha […]

  Apr-21-2016

  myadmin

  MATOKEO YA UTAFITI WA WATU WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI KUTUMIKA KUFANYA MABORESHO

  Kaimu Meneja wa Idara ya Takwimu za Ajira na Bei wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bi. Ruth Minja akitoa ufafanuzi kwa wahariri wa vyombo vya Habari kuhusu matokeo ya Utafiti wa Watu wenye uwezo wa kufanya Kazi leo jijini Dar es salaam. Matokeo hayo yataiwezesha Serikali kuangalia upya tija ya utendaji kazi katika shughuli […]

  Apr-21-2016

  myadmin

  ALIYEKUWA MWAKILISHI WA JIMBO LA MICHEWENI (CUF) KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA SHAMBULIO

  Na Masanja Mabula –Pemba  JESHI la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba limeagiza kukamatwa  na kufikishwa mahamakani aliyekuwa , Mwakilishi wa Jimbo la Micheweni (CUF) kwa mihula miwili (2005-2015)  Subeti Khamis Faki anayetuhumiwa kutenda kosa la shambulio  la kuumiza mwili . Kamandawa Polisi Mkoa  wa Kaskazini Pemba , Kamishina Msaidizi Mwandamizi Hassan Nassir Ali akizungumza na mwananachi […]

  Apr-21-2016

  myadmin

  MAKATIBU WAKUU HABARI, UTALII, UTAMADUNI NA MICHEZO ZANZIBAR WAKABIDHIANA OFISI

  Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan Omar kushoto akikabithiwa nyaraka na Katibu Mkuu Mstaafu Ali Mwinyikai katika makabidhiano yaliyofanyika katika ukumbi  wa Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo Mnazi Mmoja Zanzibar . ………………………………………………………………………………………………… Mwashungi Tahir Maelezo Zanzibar  Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo Omar Hassan […]

  Apr-21-2016

  myadmin

  MHE. KIKWETE AENDELEA NA ZIARA NCHINI CHINA

  Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais Mstaafu Mhe Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu Maalum ya watu 7 inayoongoza Chama Cha CPC na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China katika Ofisi za Makao Makuu ya CPC zilizopo Grand Hall jijini Beijing, China. Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu Dk […]

  Apr-21-2016

  myadmin

  AFISA TARAFA WA KIBITI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUMBAKA MWANAFUNZI WA DARASA LA 6

  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Boniventura Mushongi akizungumza na waandishi wa habari kuhusina na tukio la kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwa Afisa Tarafa wa Kibiti kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa darasa  la sita katika shule ya Kitunda.(Picha na Victor Masangu) …………………………………………………………………………………………………………. NA VICTOR MASANGU,  PWANI JESHI la  polisi Mkoa wa Pwani limemkamata na […]

  Apr-21-2016

  myadmin

  YALIYOJIRI KTK ZIARA YA WAFANYABIASHARA WA OMAN NCHINI

  Na: Immaculate Makilika – MAELEZO. Tanzania na Oman zimesaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano baina ya Tanzania Chambers of Commerce  na Oman Chambers of Commerce ili  kuanzisha Kampuni ya Oman Tanzania Investment (OTIC) kwa lengo la kutafuta fursa za uwekezaji zili zoko Tanzania na Oman. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mkuu […]

  Apr-21-2016

  myadmin

  TIGO WAKABIDHI MADAWATI 400 KWA WILAYA YA MWANGA

     Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Meck Sadiki akikabidhi madawati 400 yenye thamani ya shilingi milioni 66   kwa mwenyekiti wa halmashauri ya Mwanga Theresia Msuya yaliotolewa na Kampuni ya Tigo, Kulia ni Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini George Lugata.   Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Meck Sadiki(Kulia), akiwa katika picha ya pamoja na […]

  Apr-21-2016

  myadmin

  VIONGOZI TFF WAFANYA ZIARA TBL GROUP

  Rais wa Shirikisho la Soka Nchini  (TFF) Jamal Malinzi akiongoza ujumbe wa maofisa wengine wawili wa shirikisho hilo wamefanya ziara makao makuu ya ofisi za TBL Group zilizopo Masaki jijini ambapo walikutana na mkurugenzi wake Mkuu Roberto Jarrin  na kufanya naye mazungumzo. Ziara hiyo imeelezwa kuwa ina lengo la kudumisha uhusiano miongoni mwa taasisi hizo […]

  Apr-21-2016

  myadmin

  MHE. MAGUFULI ATOA SALAMU ZA KUSHUKURU DAR LEO

   

  Apr-21-2016

  myadmin

  MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AWASILI MKOANI ARUSHA

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua vikundi mbalimbali vya ngoma alipowasili Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro kwa ajili ya kufungua Mkutano wa nane wa kikao cha kawaida kuhusu matumizi ya silaha ndogondogo katika nchi za maziwa makuu na pembe ya Afrika unaotarajiwa kuanza kesho April 22, 2016 […]

  Apr-21-2016

  myadmin

  TIGO YATANGAZA VIDEO ZA YOU TUBE KUPATIKANA BURE USIKU KWA WATU WOTE

   Mkuu wa Kitengo cha Vifaa vya Mawasiliano wa Tigo, David Zacharia  (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu huduma iliyoanzishwa na kampuni hiyo ya kutiririsha  video za YouTube bure  ambayo itakuwa inapatikana kwa wateja wote wa Tigo kuanzia saa 6.00 usiku hadi saa 12.00 alfajiri. Kulia ni Meneja […]

  Apr-21-2016

  myadmin

  RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA WENYEVITI NA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA WA CCM JIJINI DAR ES SALAAM

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na Viongozi wa mikoa na wilaya wa Chama Cha Mapinduzi kutoka Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar ambapo aliwashukuru kwa kazi nzuri waliofanya kipindi cha uchaguzi na kuwataka kuwa wamoja na kukiimarisha Chama. Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe.Philip Mangula akizungumza na kutoa neno […]

  Apr-21-2016

  myadmin

  RC MAKONDA AMWAPISHA MKUU WA WILAYA MPYA WA KINONDONI ALLY SALUM HAPI

  Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi (kushoto), akijiandaa kuapa. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akiwa tayari kumwapisha. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akimwapisha Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi (kushoto), jijini Dar es Salaam leo.  Mkuu wa Mkoa wa […]

  Apr-21-2016

  myadmin

  Funga mbavu zako kwanza!!!!!!!!!!!!

  Sasa hii gari mbona haifiki. Au jipiesi yake imempeleka devera Mwanarumango?   Hakaaaa, mie msinipe gari kuondesha. Ngoja niwe mkweli kabisa, kwani msema kweli ni mpenzi wa mungu. Leseni yangu ilikuwa ni homu delivari. Walileta hadi mlangoni.   Mie chichemi chitu kabichaaaaaaaa   Ameisha kubali kunioa. Lakini, tutakuwa tunalala vyumba tofauti.   Au enasemaje?   […]

  Apr-20-2016

  myadmin

  Vunja mbavu za leo

  Sasa nyumba yangu ni salama sana. Nimeajiri mlinzi wa nguvu na wala sio hao wamasai wenu.   Na kesho Jumapili pia ni  lazima uje kazini na uegeshe hii ngazi mahali hapa-hapa. Hahaaa. smart mie.   Hawa watu bwana, sijui vipi?!!! Ukiwaambie  tunaomba hiyo mikate, hawataki!!!!!! Lakini ikieksipaya, wanaleta mingi kwa mkokoteni.   Mpaka wakuvue suruali […]

  Apr-20-2016

  myadmin

  Lipi lifanyike kubadilisha maisha ya mwananchi wa kawaida

  Halafu unakuta dume zima limetunisha kifua na limevaa mlegezo linacheza pool saa nne asubuhi….

  Apr-20-2016

  myadmin

  Vunja mbavu za leo

  Mie sihitaji pasipoti kwenda kokote!!!!!   Mama nanihiiiiii, hebu niongezee wali. Hehee, mbona umeupakaa rangi tofauti. Tumia rangi nyeupe, tafathali!!!!   Sijui huu mti kama upo imara sana.

  Apr-20-2016

  myadmin

  Naelekea mjini

  Na hii buti bila kusahau bakora ya nguvu, hapa watoto wa mjini hawatanisogeleo hata kidogo!!!     Kweli nina uhakika sitaweza kupata piki-apu nyingine mpaka miaka kumi ya Bwana Magufuli iishe!!!!!!! Sijuia kama hii Range yangu pia itakuwa bado iko hai ????????????????????????????? Haya maisha ya kutegemea mshahara kama wazungu ni magumu sana..   Sasa huku […]

  Apr-20-2016

  myadmin

  Welcome all to Mac Insurance Agency

    Welcome all to Mac Insurance Agency located in Sinza Mori kwa Mahitaji yako ya Bima za magari,Motor Insurance,Travel insurance pamoja na Fire insurance,Tunakuahidi huduma bora na Ulinzi sahihi kwa mali zako.Call us 0767 120 222/0715 000 890 or email us info@macinsurance.co.tz

  Apr-20-2016

  myadmin

  No more bosses

  Its time to get rid of bosses in our working places. Please, its time for change for the betterment of our nation indeed!!!!!!!!!!!!      

  Apr-20-2016

  myadmin

  HALI HII NDIO INAYOANGUSHA NCHI ZETU KABISA.

  Its me who I am looking for a job and not somebody else bro!!!!!! OOooo poor my continent Africa, you have a long way to go this way!!!   Hata kidogo, mimi siwezi kuanguka, na nikianguka siumii, na nikiumia ni kidogo tuuuuu. Hongera dada, jaribu tena baadaye.

  Apr-20-2016

  myadmin

  Takukuru: Tutamfikisha Lugumi kortini

    NA PATRICIA KIMELEMETA, DAR ES SALAAM JALADA la mkataba tata wa Kampuni ya Lugumi Enterprises na jeshi la polisi limetua mikononi mwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(Takukuru) kwa ajili uchunguzi zaidi. Akizungumza na gazeti hili jijini Dar es Salaam jana, Msemaji wa takukuru, Tunu Mleli alisema kuwa, jalada ya uchungizi dhidi ya kampuni hiyo liko mikononi mwa takukuru ambapo wakimalisha watawasilisha kwenye mamlaka nyingine […]

  Apr-20-2016

  myadmin

  KAULI YA MHE. MAJALIWA YAANZA KUTEKELEZWA KWA VITENDO MKOANI KILIMANJARO

    NA NOVATUS MAKUNGA Leo tumekabidhi hundi za jumla ya shilingi milioni 100 kwa vikundi 48 vya vijana na wanawake katika Halmashauri ya wilaya ya Moshi(Vijijini).Fedha hizo ni asilimia kumi ya mapato ya ndani ya Halmashauri ambapo vijana utengewa asilimia 5 na akinamama nao asilimia 5.Hii ni awamu ya tatu kwani awamu ya kwanza zilitolewa […]

  Apr-20-2016

  myadmin

  Makonda Awageukia Watumishi Hewa Dar

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuwa zoezi la kuwabaini watumishi hewa katika manispaa za jiji la Dar es Salaam bado linaendelea baada ya kubaini njia chafu wanazozitumia watumishi hao. Akizungumza na wanahabari leo, Makonda amesema kuwa Mkoa wa Dar es Salaam ni kioo kwa nchi hivyo jitihada zinaendelea, na kwamba […]

  Apr-20-2016

  myadmin

  MAONESHO YA NNE YA MADINI YA KIMATAIFA ARUSHA GEM FAIR YAFUNGULIWA JIJINI ARUSHA

  Mkuu wa wilaya ya Arusha,Fadhili Nkurlu akifungua maonesho ya kimataifa ya madini ya Arusha Gem Fair kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Felix Ntibenda leo katika hoteli ya Mount Meru .   Kaimu Kamishna wa Madini nchini,Mhandisi Ally Samaje akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo,alisistiza nia ya serikali kupambana na utoroshwaji wa madini […]

  Apr-20-2016

  myadmin

  DENMARK YATOA MSAADA WA VIFAA VYA MUZIKI KWA TASUBA

   Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Sanaa  Wizara ya Habari ,Utamaduni, Sanaa,na Michezo Leah Kihimbi akizindua mradi wa vyombo vya muziki kati ya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA)  na Kituo cha Utamaduni na Maendeleo cha Watu wa Denmark (CKU), uzinduzi huo ulifanyika katika Chuo cha Sanaa mjini  Bagamoyo mkoani Pwani jana.  Msimamizi wa program […]

  Apr-20-2016

  myadmin

  REA WATOA MSAADA KWA WAHANGA WA MAFURIKO KIJIJI CHA KISANGA IRINGA

    Mtendaji wa Kitongoji Bi sarah Mbilinyi akipokea taa hizo toka kwa Mkuu wa wilaya Iringa bwana Richard Kasesela. Wakala wa Nishati Vijijini REA, wametoa msaada wa taa za kutumia mionzi ya jua katka kijiji cha Kisanga kitongoji cha Kiala; Wilaya ya Iringa Kitongoji hiki ni kile kilichokumbwa na mafuriko na kaya zaidi ya 100 […]

  Apr-20-2016

  myadmin

  RAIS DK SHEIN ATEMBELEA WAATHIRIKA WA MAAFA ZANZIBAR

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Maafa Zanzibar Ali Juma wakati alipofika katika Kambi ya Skuli ya Mwanakwerekwe C Wilaya Magharibi Unguja walipohifadhiwa   Wananchi  wa Shehia mbali mbali waliopatwa na maafa ya Mvua leo asubuhi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed […]

  Apr-20-2016

  myadmin

  MAAJABU YA RAIS JPM YATOKEOA TENA KTK BANK YA CRDB, SOMA HII…………

  Msafara wa Rais John Pombe Magufuli ukiwasili mtaa wa Samora kwenye tawi la benki ya CRDB la Hilland House jijini Dar es salaam. Rais Dk. John Pombe Magufuli akipunga mkono wakati alipokuwa akiondoka katika tawi hilo. …………………………………………………………………………………………. RAIS John Magufuli amezua mjadala baada ya kuvamia tawi la CRDB (Holland Branch), akiwa kwenye gari namba T […]

  Apr-19-2016

  myadmin

  SERIKALI KUCHUNGUZA MKATABA WA JENGO LA MACHINGA COMPLEX

   Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Paul Makonda akizungumza na wafanyabiashara katika Jengo la Machinga Complex Dar es Salaam jana, kuhusu uendeshaji wa jengo hilo.  Makonda akiwasili katika viwanja vya Jengo la Machinga Complex kuzungumza na wafanyabiashara na wadau wengine. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi wengine ni viongozi wa jengo […]

  Apr-19-2016

  myadmin

  ZANTEL YAKABIDHI COMPUTER 21 KWA VYUO VYA WALIMU ZANZIBAR.

  Afisa Mtendaji wa Millcom Africa Bi Cynthia Gordon akimkabidhi Computer Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma, anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Zantel Tanzania Benoit Janin, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Hyatt Zanzibar   Afisa Mtendaji wa Millcom Africa Bi Cynthia Gordon akimkabidhi Computer Waziri wa […]

  Apr-19-2016

  myadmin

  KAMPENI YA CHANJO YA MINYOO KWA WATOTO CHINI YA MIAKA MITANO

  Na Masanja Mabula –Pemba  WAKATI  kampeni ya utoaji wa Matone ya Vitamin ;A; na Dawa za Minyoo kwa watoto waliochini ya miaka mitano ,   likitarajia kufanyika tarehe 23 mwezi huu , uteuzi wa watendaji kwa ajili ya zoezi hilo umelalamikiwa na  baadhi ya masheha wa Wilaya ya Wete wakidai umefanyika kwa kujuwana . Wakizungumza na […]

  Apr-19-2016

  myadmin

  TAZAMA YALIYOJIRI BUNGENI LEO

   Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongozwa na Mpambe wa Bunge kuingia kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma  kuongoza kikao cha kwanza cha  mkutano wa tatu wa Bunge   Aprili 19, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu) Ruth Owenya akiapa kuwa Mbunge  kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Aprili 19, 2016. (Picha na Ofisi ya […]

  Apr-19-2016

  myadmin

  BALOZI MATHIAS MEINRAD CHIKAWE ALA KIAPO CHA UTII NA UWAJIBIKAJI

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mathias Meinrad Chikawe kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan, Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais Dkt. Magufuli akimpongeza Mathias Meinrad Chikawe mara baada ya kumuapisha kuwa  Balozi Mpya wa Tanzania nchini Japani Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan Mathias Chikawe akimshukuru Rais […]

  Apr-19-2016

  myadmin

  MDAHALO WA VIJANA KUJADILI HATMA YA AJIRA KWA VIJANA NCHINI WAANZA

  Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akifungua mdahalo wa hatma ya ajira kwa vijana wa Tanzania ulioandaliwa na Shirika la Kimataifa la Ajira (ILO) na kushirikisha vijana kutoka Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mkazi Shirika la Kimataifa la Ajira (ILO) nchi ya Tanzania, […]

  Apr-19-2016

  myadmin

  RAIS DK. MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA WAZIRI MKUU KWA JAPAN

   

  Apr-19-2016

  myadmin

  RAIS DK. MAGUFULI ALIBATIZA DARAJA LA KIGAMBONI (DARAJA LA NYERERE)

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe huku viongozi wengine wakiushikilia kuashiria uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016      

  Apr-19-2016

  myadmin

  SERIKALI YA RAIS DK. SHEIN YAINGIA MADARAKANI NA SURA MPYA TELE

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dkt.Abduhamid Yahya Mzee kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd,Salum Maulid Salum kuwa Katibu Mkuu […]

  Apr-19-2016

  myadmin

  the word of wisdom

  Apr-19-2016

  myadmin

  Ujumbe mwanana kwa Watanzania wote: Kila mtu afanye kazi

  Tumezidi sana kuomba misaada toka kwa wenzetu wachapa kazi. Sasa kila mtu ni lazima awe mchapa kazi hodari ili kuondokana na tabia ya kuwategemea wachache na mataifa mengine kwa ujumla.

  Apr-19-2016

  myadmin