I will place the shortcode here [sg_popup id=7]

Break NEWS/Habari Muhimu

IMF: Uchumi wa Tanzania waongoza Afrika Mashariki

Tanzania inatarajiwa kusajili kiwango cha juu zaidi cha ukuaji wa uchumi wake mwaka huu katika kanda ya Afrika Mashariki na kati. Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya shirika la fedha la kimataifa – IMF. Katika ripoti yake iliyotolewa hii leo Tanzania inatarajiwa kusajili kiwango cha juu cha ukuaji wa uchumi wake wa asilimia 6.9% […]

May-05-2016

myadmin

UZINDUZI WA MASHINDANO YA UMISSETA MKOANI MWANZA

Mkuu wa mkoa wa Mwanza.John Mongella akipokelewa na viongozi na wadau wa michezo alipowasili uwanja wa CCM Kirumba kuzindua mashindano ya COPA UMISSETA Afisa Elimu Mkoa wa Mwanza, Hamis Maulidi akizungumza wakati wa hafla hiyo. Katibu wa Baraza la Michezo la Taifa(BMT), Mohamed Kiganja akizungumza katika uzinduzi wa mashindano hayo.  Meneja masoko wa wa kampuni […]

Apr-30-2016

myadmin

VIONGOZI KATIKA TAASISI MBALI MBALI ZENJI WALA KIAPO LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd,Salmin Amour Abdalla  kuwa Naibu Katibu wa Baraza la Mapinduzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd,Asaa Ahmada Rashid kuwa   Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya […]

Apr-30-2016

myadmin

WAANDISHI WA HABARI KUPATA MSASA KUHUSU HAKI ZA BINADAMU.

Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu toka Umoja wa Mataifa (UN), Bi. Chitralekha Massey akiwapiga msasa baadhi ya waandishi wa habari kuhusu Mpango wa Kimataifa wa Kujitathmini juu ya Masuala ya Haki za Binadamu (UPR) wakati wa warsha ya siku moja 29 Aprili 2016 Mkoani Morogoro. Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, […]

Apr-30-2016

myadmin

VIJIJI KUBORESHWA: SERIKALI KUTUMIA SHILINGI BILIONI 59.5

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dokta Philip Mpango, amesema kuwa serikali imepanga kutumia shilingi 59.5bn kwaajili ya kuviwezesha vijiji nchi nzima katika kipindi cha mwaka fedha 2016/2017 Dokta Mpango, aliwaambia wabunge mjini Dodoma, leo tarehe 30, Machi, 2016, kwamba fedha hizo ni kwajili ya kukiwezesha kila kijiji shilingi 50m kwa ajili ya kutoa mikopo […]

Apr-30-2016

myadmin

Tanzania: Mount Kilimanjaro Wins Africa’s Leading Tourist Attraction Award

MOUNT Kilimanjaro, the highest mountain in Africa, and the highest freestanding mountain in the world, has been declared Africa’s leading tourist attraction in 2016 during the World Travel Awards Africa and Indian Ocean Gala Ceremony in Zanzibar. A statement issued by the Tanzania Tourist Board (TTB), yesterday said the red carpet event attended by hundreds […]

Apr-29-2016

myadmin

SUPASTAA WA MALAWI TAY GRIN AWAPANIA DIAMOND NA VANESSA

Rapper na supastaa wa Malawi, Tay Grin, amedai kuwa ana mpango wa kuwashirikisha Diamond Platnumz na Vanessa Mdee. Tay ambaye hivi karibuni aliachia video ya wimbo‘Chipapapa’aliomshirikisha msanii wa Nigeria, 2 Face Idibia, amesema kuwa hao ni wasanii wa Tanzania anaowakubali zaidi. “Ningependa sana kufanya kazi na wasanii wa Tanzania,” anasema Tay. “Napenda jinsi wasanii wa […]

Apr-29-2016

myadmin

UVCCM: SUMAYE HUNA VIWANGO VYA KUMKOSOA RAIS DK. MAGUFULI

Na Woinde Shizza, Kilimanjaro Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umesema Waziri mstaafu Frederick Sumaye, hana vigezo wala sifa zozote zinazoweza kumfanya awe na uwezo wa kumkosoa Rais Dk John Magufuli katika uendeshaji wa serikali na masuala ya utawala. Sumaye ametakiwa amuache Rais Dk Magufuli ili atimize majukumu yake kwa sababu alipewa dhamana […]

Apr-29-2016

myadmin

RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AWASILI MKOANI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma wakati akitokea mjini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Kitwanga […]

Apr-28-2016

myadmin

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA KWA RAIS VLADMIR PUTIN

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Biashara na Viwanda wa Urusi Mhe. Denis Manturov aliyeongoza ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Urusi Mhe. Vladmir Putin wakati ujumbe huo ulipofia Ikulu Dar es salaam leo April 28, 2016. Katika mazungumzo yao Viongozi hao wamezungumzia kuhusu […]

Apr-28-2016

myadmin

SERIKALI YAZUIA UINGIZAJI HOLELA WA MCHELE

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameviagiza vyombo vya dola viimarishe ulinzi kwenye mipaka ya nchi na hasa katika mwambao wa Bahari ya Hindi ili kuzuia uingizwaji holela wa mchele wa magendo kutoka nje ya nchi. Ametoa agizo hilo leo mchana (Jumatano, Aprili 27, 2016) wakati akijibu hoja za wabunge na kuhitimisha hoja ya bajeti ya Ofisi ya […]

Apr-28-2016

myadmin

MALIMBIKIZO YA NSSF YATAKIWA KULIPWA KABLA YA TAREHE JUNE 30, 2016

Bw. James Oigo Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji Shirika la Taifa la  Hifadhi ya Jamii NSSF akizungumza na waandhishi wa habari katika makao makuu ya shirika hilo jengo la Benjamin Mkapa wakati akielezea kuhusu waajiri wanaodaiwa madeni sugu ya michango ya wafanyakazi wao na kutamka kwamba wasipolipa michango hiyo mpaka ifikapo Juni 30 mwaka huu shirika […]

Apr-28-2016

myadmin

PROF.MUHONGO ASAINI KIBALI CHA KUHAMISHA LESENI YA MADINI

Waziri wa Nishati Profesa Sospeter Muhongo,(katikati) akiwa na ujumbe utoka ubalozi wa china ukuongozwa na kansela Gou Haodong(kulia kwa Waziri) pamoja na watendaji wa Wizara wakiwa katika kikao cha pamoja kabla ya kusainiwa kwa kibali cha uhamisha leseni ya uchimbaji wa kati  wa madini kutoka Kampuni ya uchimbaji wa madini ya China ya Henan AfroAsia  […]

Apr-28-2016

myadmin

DC WA MOSHI, MHE. NOVATUS MAKUNGA AAJIONEA ATHARI YA MAFURIKO

Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akizungumza jambo na wataalamu alioongozana nao katika uwanja mdogo wa ndege wa Moshi kwa ajili ya kuruka na ndege ndo ya Shirika la Hifadhi za taifa (TANAPA) kwa ajili ya kujionea hali ya mafuriko. Mkuu wa wilaya akiwa katika uwanja wa ndege wa Moshi kwa ajili ya maandalizi ya […]

Apr-28-2016

myadmin

BOSTON CITY CAMPUS TANZANIA, BRANCH NOW OPEN

Boston City Campus and Business College carries a legacy of over 20 years in South Africa. It currently has 44 branches with over 25000 students studying every year. In Tanzania, Boston has opened its first branch outside South Africa, 45th Branchin total this year.   Boston offers Professional Courses and Short Learning Programs with plans […]

Apr-28-2016

myadmin

ZIARA YA VIONGOZI SHIRIKISHO TAIFA MKOANI DODOMA.

Uongozi Wa Shirikisho Taifa Chini ya MH M/KITI WA TAIFA ZAINABU ABDALAH ISAA anaziara Ya KUIMARISHA Matawi Vyuon na KUSIKILIZA Changamoto Mbali mbali za Wanavyuo nchini. Viongozi Wa Shirikisho wamekuwa na ZIARA NCHI NZIMA ili kusikiliza Changamoto Mbali mbali za Vijana Wasomi nchini.

Apr-26-2016

myadmin

Je, huu ndio uungwana?????

Mgambo takribani watano kwa mtuhumiwa mmoja? Tena huyu ni mganga njaaa tu!!!!!!

Apr-21-2016

myadmin

AFISA TARAFA WA KIBITI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUMBAKA MWANAFUNZI WA DARASA LA 6

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Boniventura Mushongi akizungumza na waandishi wa habari kuhusina na tukio la kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwa Afisa Tarafa wa Kibiti kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa darasa  la sita katika shule ya Kitunda.(Picha na Victor Masangu) …………………………………………………………………………………………………………. NA VICTOR MASANGU,  PWANI JESHI la  polisi Mkoa wa Pwani limemkamata na […]

Apr-21-2016

myadmin

RC MAKONDA AMWAPISHA MKUU WA WILAYA MPYA WA KINONDONI ALLY SALUM HAPI

Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi (kushoto), akijiandaa kuapa. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akiwa tayari kumwapisha. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akimwapisha Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi (kushoto), jijini Dar es Salaam leo.  Mkuu wa Mkoa wa […]

Apr-21-2016

myadmin

Funga mbavu zako kwanza!!!!!!!!!!!!

Sasa hii gari mbona haifiki. Au jipiesi yake imempeleka devera Mwanarumango?   Hakaaaa, mie msinipe gari kuondesha. Ngoja niwe mkweli kabisa, kwani msema kweli ni mpenzi wa mungu. Leseni yangu ilikuwa ni homu delivari. Walileta hadi mlangoni.   Mie chichemi chitu kabichaaaaaaaa   Ameisha kubali kunioa. Lakini, tutakuwa tunalala vyumba tofauti.   Au enasemaje?   […]

Apr-20-2016

myadmin

Takukuru: Tutamfikisha Lugumi kortini

  NA PATRICIA KIMELEMETA, DAR ES SALAAM JALADA la mkataba tata wa Kampuni ya Lugumi Enterprises na jeshi la polisi limetua mikononi mwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(Takukuru) kwa ajili uchunguzi zaidi. Akizungumza na gazeti hili jijini Dar es Salaam jana, Msemaji wa takukuru, Tunu Mleli alisema kuwa, jalada ya uchungizi dhidi ya kampuni hiyo liko mikononi mwa takukuru ambapo wakimalisha watawasilisha kwenye mamlaka nyingine […]

Apr-20-2016

myadmin

Makonda Awageukia Watumishi Hewa Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuwa zoezi la kuwabaini watumishi hewa katika manispaa za jiji la Dar es Salaam bado linaendelea baada ya kubaini njia chafu wanazozitumia watumishi hao. Akizungumza na wanahabari leo, Makonda amesema kuwa Mkoa wa Dar es Salaam ni kioo kwa nchi hivyo jitihada zinaendelea, na kwamba […]

Apr-20-2016

myadmin

MAAJABU YA RAIS JPM YATOKEOA TENA KTK BANK YA CRDB, SOMA HII…………

Msafara wa Rais John Pombe Magufuli ukiwasili mtaa wa Samora kwenye tawi la benki ya CRDB la Hilland House jijini Dar es salaam. Rais Dk. John Pombe Magufuli akipunga mkono wakati alipokuwa akiondoka katika tawi hilo. …………………………………………………………………………………………. RAIS John Magufuli amezua mjadala baada ya kuvamia tawi la CRDB (Holland Branch), akiwa kwenye gari namba T […]

Apr-19-2016

myadmin

BALOZI MATHIAS MEINRAD CHIKAWE ALA KIAPO CHA UTII NA UWAJIBIKAJI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mathias Meinrad Chikawe kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan, Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais Dkt. Magufuli akimpongeza Mathias Meinrad Chikawe mara baada ya kumuapisha kuwa  Balozi Mpya wa Tanzania nchini Japani Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan Mathias Chikawe akimshukuru Rais […]

Apr-19-2016

myadmin

RAIS DK. MAGUFULI ALIBATIZA DARAJA LA KIGAMBONI (DARAJA LA NYERERE)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe huku viongozi wengine wakiushikilia kuashiria uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016      

Apr-19-2016

myadmin

SERIKALI YA RAIS DK. SHEIN YAINGIA MADARAKANI NA SURA MPYA TELE

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dkt.Abduhamid Yahya Mzee kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd,Salum Maulid Salum kuwa Katibu Mkuu […]

Apr-19-2016

myadmin

UCHUKUZI SC NETIBOLI KUIVAA CDA DODOMA KESHO

Kocha wa soka Elutery Muholeli (wanne kulia) mwenye jezi za manjano akitoa maelekezo kwa wachezaji. Mazoezi mpira wa Netball  yakiendelea  Matalena Mhagama (mwenye fulana nyeupe kulia) akisubiri mpira. ………………………………………………………………………………………………………… Mwandishi Wetu TIMU ya netiboli ya Uchukuzi SC iliyopo chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kesho itarusha karata yake ya kwanza kwa kuumana na […]

Apr-18-2016

myadmin

AJALI MBAYA YA MOTO YATOKEA SHULE YA SECONDARI YA CHALINZE

Mbunge wa jimbo la Chalinze mkoa wa Pwani Ridhiwani Kikwete alipokwenda jana kutembelea shule ya sekondari Chalinze baada ya bweni la wanafunzi wa kiume kuungua kutokana na shoti ya umeme. (Picha na Mwamvua Mwinyi) Bweni lililoongua kwa shoti ya  umeme jana. …………………………………………………………………………………………………….. Na Mwamvua Mwinyi, Bagamoyo WANAFUNZI   65 wa shule ya sekondari chalinze iliyopo Wilayani […]

Apr-18-2016

myadmin

ALLY HAPI KUWA MKUU WA WILAYA YA KININDONI

 

Apr-18-2016

myadmin

WILAYA YA MUSOMA YAPATA MKUU MPYA

   

Apr-18-2016

myadmin

MAGUFULI AMTEUA CHIKAWE KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI JAPAN

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Simu : +255-22-2114512, 2116898 Email : press@ikulu.go.tz Tovuti : www.ikulu.go.tz Faksi : 255-22-2113425 OFISI YA RAIS, IKULU, 1 BARABARA YA BARACK OBAMA, 11400 DAR ES SALAAM, TANZANIA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Mheshimiwa Mathias Meinrad Chikawe kuwa […]

Apr-18-2016

myadmin

Norway cites corruption as one of reasons for closing its embassy in Zambia

Norway has closed its embassy in Zambia with the Norwegian Ambassador citing corruption as one of the reasons why his country was moving out of the southern African nation according to The Post. The embassy also said it was pointless to keep funding a country which did not show commitment to improving its own management. […]

Apr-17-2016

myadmin

MHE. UMMY ALIA NA WANAWAKE: ATAKA KUIONA MARA MOJA RIPOTI YA KIKOPO YAO

Na.Catherine Sungura,Msalala Mkurugenzi wa halmashauri ya Msalala wilayani kahama,amepewa wiki mbili awe amempatia ripoti waziri wa afy a,maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto, Ummy Mwalimu ,wanawake wanaoponda kokoto wamewezeshwaa kwa kupatiwa mkopo wa kiasi gani na mafunzo yapi. Hali hiyo imetokea wakati waziri huyo alipofika halmashauri hiyo kukagua ujenzi wa kituo cha afya kilichopo kata ya […]

Apr-17-2016

myadmin

KIGAMBONI SASA NI TAMBARARE

  Viongozi Shrika la Taifa Hifadhi ya Jamii NSSF wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakandarasi wa daraja la Kigamboni wakati lilipofunguliwa kwa ajili ya kupita magari kupita bure huku watembea kwa miguu na waendesha baiskeli wakipita bure. Daraja hilo litazinduliwa rasmi na Rais Dk. John Magufuli tarehe 19.4.2016.  Meneja Mradi wa Ujenzi […]

Apr-17-2016

myadmin

WANAWAKE WAPI MNAOWASAIDIA KAMA SIO HAWA?: MHE UMMY

Waziri Ummy Mwalimu akizungumza na mmoja wa wanawake waponda kokoto nje ya kituo cha afya cha Bugarama,na kuwataka wajiorodheshe majina na kuyapeleka kwa afisa maendeleo wa kata ili.waweze kupatiwa mkopo kwa ajili ya kununua mashine ya kusaga kokoto. Akina mama  wakiendelea na kazi zao katika eneo hilo. Waziri wa afya,maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto akisalimiana […]

Apr-17-2016

myadmin

JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA BARABARA YA JUU (FLYOVER) MAKUTANO YA BARABARA YA MADELA NA NYERERE LAWEKWA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akifungua pazia kuashiria  kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.(PICHA NA IKULU na  Raymond Mushumbusi MAELEZO). Rais […]

Apr-16-2016

myadmin

DART KITI CHAMOTO: MAPUNGUFU YATOLEWE MARA MOJA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaambia watendaji na wadau wa mradi Mabasi Yaendayo Haraka wa jijini Dar es Salaam (BRT) kuwa hawana muda wa kulala wa kupumzika na akawataka wakamilisha haraka vipengele vichache vilivyobakia ili mradi huo uweze kuanza kazi mapema iwezekanavyo. Ametoa agizo hilo jana usiku (Ijumaa, Aprili 15, 2016) wakati akizungumza na wakuu wa […]

Apr-16-2016

myadmin

RAIS DK. MAGUFULI AZINDUA FLYOVER MAKUTANO YA BARABARA YA MADELA NA NYERERE

 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano  Profesa Makame Mbarawa  alipowasili kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016. […]

Apr-16-2016

myadmin

MAISHA YA SIMU FEKI YAFIKIA KILELENI

    Waziri  wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiiano Profesa Makame  Mbarawa amesema Serikali haitaongeza muda katika zoezi zima la uzimaji wa simu feki ifikapo Juni 16 mwaka huu. Ameyasema hayo ofisini kwake leo jijini Dar es salaam wakati wa mahojiano na kituo kimoja cha habari hapa nchini . Amesema Serikali imeamua kuchukua uamuzi huo kutokana […]

Apr-14-2016

myadmin

MATAPELI WA AJIRA KUTUMBULIWA: MIKAKATI IPO TAYARI

  Katika siku za hivi karibuni katika maeneo mbalimbali hapa nchini, kumejitokeza makundi ya watu ama mtu binafsi kutumia mwamvuri wa taasisi fulani kujipatia kipato kwa njia za udanganyifu (utapeli) kwa kuwaahidi vijana kwamba watawapatia ajira katika taasisi hizo. Makundi haya ya kihalifu imebainika kwamba yapo katika maeneo mbalimbali, hivyo, ni suala ambalo linahitaji ushirikiano […]

Apr-14-2016

myadmin

JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA FLYOVER YA TAZARA LAWEKWA NA MHE. RAIS

Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inapenda kutaarifu Umma kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya juu(Flyover) katika makutano ya TAZARA na ufunguzi wa Daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam. […]

Apr-14-2016

myadmin

MASIKITIKO MAKUBWA!!!!! ASILIMIA 71 YA WATANZANIA HAWATAKI KUFANYA KAZI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu),Jenista Mhagama,akizungumza katika katika uzinduzi wa matokeo ya utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi wa mwaka 2014. Uzinduzi huo ulifanyika katika Viwanja vya Karimjee,Dar es Salaam, jana. Kulia ni Mkurugenzi wa Sensa ya watu na Takwimu za Jamii,Ephraim Kwesigabo na Mkurugenzi Mkuu wa […]

Apr-14-2016

myadmin

WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI ZA JIJI LA DAR WATINGA CHUO CHA ARDHI

Apr-13-2016

myadmin

NDANDA KOSOVO AZIKWA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI LEO

SOURCE:http://globalpublishers.co.tz/tazama-picha-za-mazishi-ya-ndanda-kosovo-katika-makaburi-ya-kinondoni/ WAZIRI wa Habari, Vijana, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda wamewaongoza mamia ya waombolezaji katika shughuli ya mazishi ya staa wa Muziki aliyefariki mwishoni mwa wiki iliyopita, Ndanda Kosovo ‘Kichaa’ katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar, Mwanamuziki huyo Ndanda Kosovo ‘Kichaa’ amezikwa […]

Apr-13-2016

myadmin

MAREHEMU MHE. CHRISTINA LISSU MUGHWAI AAGWA RASMI LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha Maombolezo kufatia kifo cha Mbunge wa zamani wa Viti Maalum Chadema Christina Lissu Mughwai aliyefariki Aprili 7 mwaka huu. Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akiaga mwili wa marehemu Christina Lissu Mughwai aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum kutoka Chadema […]

Apr-12-2016

myadmin

VIBARUA VYA WAKULUGENZI WOTE WA H-SHAURI VIPO HEWANI: TAYARI KWA KUANGUKA

  WAZIRI MKUU WA JAMUHURI ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa, Kassim Majaliwa amesema Mkurugezi yeyote wa Halmashauri nchini atakayeshindwa kutenga asilimia 10 ya mapato kwa ajili ya wanawake na vijana ataondolewa. Amesema suala la kila Halmashauri kutenga asilimia 10 ya mapato yake kwa ajili ya kuwawezesha wanawake na vijana kujikwamua kiuchumi na kuondokana na utegemezi […]

Apr-11-2016

myadmin

BREAK NEWS: JIPU LA MAMA KILANGO (RC SHINYANGA) LATUMBULIWA: APOTE KAZI LEO HII

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, mchana huu ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mama Anna Kilango Malecella, kwa kubaini kuwa alimwambia uwongo kuwa Mkoa wake hauna wafanyakazi hewa wakati kumbe wapo wengi tu. Rais Magufuli amesema kwamba hakuamini kwamba kuna mkoa ambao hauna wafanyakazi hewa, hivyo […]

Apr-11-2016

myadmin

TAARIFA YA MWAKA YA UTENDAJI WA TAASISI YA TAKUKURU “HATIMAYE YAFIKA MIKONONI MWA RAIS”

  Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya Mwaka ya utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Kamishna Valentino Mlowola Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hundi Kifani yenye thamani ya Shilingi Bilioni Sita kutoka kwa Naibu Spika Dkt. […]

Apr-11-2016

myadmin

HONGERA!!!! WANAFUNZI KUKAA CHINI SASA MWISHO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akionesha mfano wa hundi aliyokabidhiwa na Ofisi ya Bunge leo Ikulu, Jijini Dar es Salaam ambapo fedha hizo ameelekeza zitumike kutengenezea madawati ya shule hapa nchini(kulia)ni Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson. Muonekano wa Madawati ambayo yanatarajiwa kutengenezwa na […]

Apr-11-2016

myadmin

HII NI ZAIDI!!! ANGALIA JINSI BIDHAA ZA MAGENDO ZILIVYOKAMATWA

Nyumba hii ndiyo Ofisi ya Bosi ambayo utumika kuweka bidhaa kabla ya kusambazwa sokoni iliyopo Somanga njia nne eneo la Kikanda Wilaya ya Kilwa mkoa wa Lindi. sehemu ya kuweka sukari na kupima. Nyumba inayotumika kuweka sukari Mkurugenzi wa Elimu kwa walipa kodi Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA, Richard Kayomboakionesha ndoo zinazotarajiwa kuwekwa mafuta. Sukari […]

Apr-09-2016

myadmin

UJENZI WA FLOW METER KIGAMBONI UNA “KASI YA SUPER – SONIC”

Meneja wa mradi wa Ujenzi wa Flow Meter ya Kigamboni Eng. Mary Mhayaya akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa alipokagua maendeleo ya ujenzi huo. Muonekano wa Flow Meter mpya ya Kigamboni katika hatua za mwisho za ujenzi wake. Muonekano wa Daraja la Kigamboni mara baada ya ujenzi wake kukamilika. […]

Apr-09-2016

myadmin

HABARI ZA UNYANYASAJI RAIA SI ZA KWELI KABISA: JWTZ

Taarifa kwa Vyombo vya Habari Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limeshitushwa na kusikitishwa kwa taarifa zinazo lituhumu JWTZ kuhusu unyanyasaji wa kijinsia unaodaiwa kufanywa na Wanajeshi wetu kwa Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. JWTZ chini ya Umoja wa Mataifa (MUNUSCO) limekuwa likitekeleza majukumu ya Ulinzi wa amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia […]

Apr-08-2016

myadmin

HABARI NJEMA: MFUMUKO WA BEI WAENDA CHINI

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akitoa taarifa ya kuongezeka kidogo kwa mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Mei 2016 leo jijini Dar es salaam.Mfumuko wa Bei mwezi Machi 2016 umepungua hadi asilimia  5.4  kutoka asilimia 5.6 iliyokuwepo Februari 2016. Waandishi wa Habari […]

Apr-08-2016

myadmin

MTANZANIA ANAHITAJI HAKI YAKE YA MSINGI; “NASEMA SASA RUSHWA BASI”

WAZIRI Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa amesema vitendo vya dhuluma, ufisadi na jeuri vinavyofanywa na watoaji na wapokeaji rushwa vinasababisha wananchi kukosa haki zao na maisha yao kuwa duni, hivyo amewataka wajumbe na Viongozi wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) kupiga vita rushwa katika ngazi zote za utawala […]

Apr-08-2016

myadmin

BAADA YA “SAFARI YA KWANZA NJE YA NCHI”; RAIS MAGUFULI AREJEA NYUMBANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea nchini Rwanda alikokuwa katika ziara ya kikazi ya siku mbili leo Alhamisi April 7, 2016.   Rais wa Jamhuri […]

Apr-07-2016

myadmin

MARAIS DK. MAGUFULI WA TANZANIA NA KAGAME WA RWANDA WAZINDUA DARAJA LA LUSUMO

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Dk. John Pombe Magufuli ameanza rasmi ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Rwanda ambapo amepokelewa na mwenyeji wake Rais Mh. Paul Kagame wa Rwanda kwenye mpaka wa Rusumo ambapo viongozi hao wote kwa pamoja wamefanya tukio la Kuzindua daraja la Lusumo linalounganisha nchi za Rwanda na […]

Apr-06-2016

myadmin

Muogeleaji nyota wa Tanzania, Sonia Tumiotto ameshinda medali ya dhahabu Dubai

Muogeleaji nyota wa Tanzania, Sonia Tumiotto ameshinda medali ya dhahabu katika mashindano ya kimataia ya Dubai yajulikanao kwa jina la Dubai International Aquatics Championships. Sonia alishinda medali ya dhahabu katika staili ya backstroke kwa waogeleaji wenye umri kati ya miaka 14 na 15 na kuweka rekodi ya kushinda medali mbili katika mashindano hayo ambayo pia […]

Apr-06-2016

myadmin

MAJAMBAZI WANNE WAOLIWA NA POLSI MIONGONI MWAO WATATU NI RAIA WA KENYA

WATU watatu wanaosadikiwa ni majambazi ambao ni  raia wa Kenya  pamoja na Mtanzania mmoja wameuwa katika majibizano na polisi eneo la Chekereni mpakani mwa wilaya ya Arumeru na Jiji la Arusha. Aidha majambazi hayo yamekufa kwasababu ya ushirikiano kati ya jambazi mmoja aitwaye Sixtus Ngowi (51) ambaye alikamatwa awali na kutoa ushirikiano kwa polisi kuwa anashirikiana na wenzake hao […]

Apr-06-2016

myadmin

RAIS DK. SHEIN AZINDUA BARAZA LA WAWAKILISHI LA 9 LEO ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zubeir Ali Maulid mara alipowasili katika viwanja vya jengo la Baraza hilo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar leo kuzinduz Baraza la 9, [Picha na Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi […]

Apr-05-2016

myadmin

“EVENTUALLY” – PRES. MAGUFULI WILL MAKE THE FIRST WORKING VISIT TO THE REPUBLIC OF RWANDA

  H.E Dr. John Pombe Joseph Magufuli, President of the United Republic of Tanzania will pay his first working visit to the Republic of Rwanda on the 6-7th of April 2016, following an invitation from President Paul Kagame.             During the visit, President Magufuli and his host President Kagame are expected to preside over the […]

Apr-05-2016

myadmin

SHAMRASHAMRA ZA SIKU YA MUUNGANO MWAKA HUU: “ZAFUTWA” – MAMBO NI KIMYA-KIMYA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameahirisha Shamrashamra za maadhimisho ya siku ya Muungano kwa mwaka huu, ambayo huadhimishwa kila tarehe 26 ya Mwezi Aprili, na badala yake ameelekeza kuwa siku hiyo itakuwa ya […]

Apr-04-2016

myadmin

UHAKIKI WA WATUMISHI HEWA MWANZA: “URUDIWE”

    Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella, ameagiza kurudiwa upya kwa zoezi la uhakiki la kuabaini watumishi hewa katika mkoa wa Mwanza, ikiwa ni mpango wa kubaini wale wote wanao lipwa mishahara bila kufanya kazi, zoezi hilo litafatia zoezi lililo fanyika awali ambapo mkoa huo ulibainika kuwa na watumishi hewa wapatao 334. Mongella […]

Apr-04-2016

myadmin

RC WA DAR MHE. MAKONDA, APOKEA NONDO ZA KAZI

Baadhi ya watendaji wa Mkoa wa Dar es Salaam, wakiwa katika hafla hiyo. Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam, wakiwa katika hafla hiyo. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, akijitambulisha wakati wa hafla hiyo. Baadhi ya Mofisa na Watendaji wa Mkoa wa Dar […]

Apr-04-2016

myadmin

AJALI ILIYOTOKEA LEO KARIBU NA KANISA LA MTAKATIFU JOSEPH

 Mwananchi wakiangalia ajali ya Noah yenye namba za usajili T 367 DAK iliyoacha njia na kutumbukia kwenye mtaro jirani na Kanisa la Mtakatifu Joseph, Bandarini Dar es Salaam jana asubuhi.  “Ni kama anaongea maskini mmiliki wa Noa hii hivi watu waliokuwa wamepanda wamesalimika ?”  Noa ikiwa mtaroni. Chanzo cha ajali hiyo hakikuweza kufahamika

Apr-02-2016

myadmin

WAZIRI MKUU MSTAAFU WA KENYA RAILA ODINGA AMTEMBELEA RAIS DKT. MAGUFULI WILAYANI CHATO

  .Waziri Mkuu wa mstaafu wa Kenya Raila Odinga akiwasili kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Chato Mkoani Geita kwa ajili ya kwenda kumsalimia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.  ……………………… Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Raila Amoro Odinga amemtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. […]

Apr-02-2016

myadmin

“Angalau mabasi 50 yaanze kutoa huduma mapema iwezekanavyo” MHE. Simbachawene.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa         (OR-TAMISEMI) George Simbachawene (kushoto) akiongea na wadau wa mradi wa mabasi yaendayo haraka (hawapo pichani) yanayosimamiwa na Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) jijini Dar es salaam. Kulia ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale. Waziri wa […]

Apr-01-2016

myadmin

JESHI LA POLISI LAONGEZA MUDA WA KUHAKIKI SILAHA

Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo Makao Makuu ya Polisi, (CP) Nsato Mssanzya (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana, kuhusu mchakato wa kuhakiki silaha ambapo jeshi hilo limeongeza muda wa miezi mitatu kwa nchi nzima kuanzia leo.  Msemaji wa Jeshi Nchini, Advera Bukumbi (kulia), akizungumza na wanahabari wakati akimkaribisha  Kamishna […]

Apr-01-2016

myadmin

RAIS ACHANGAMKIA MSONI/LUNCH “KWENYE MGAHAWA”

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Joseph Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na viongozi wa mkoa wa Mwanza wakijipatia chakula cha mchana katika mgahawa wa Victoria uliopo nye ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza alipopumzika kwa muda kabla ya kuelekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita kwa mapumziko mafupi. Pamoja […]

Mar-29-2016

myadmin

NGOs 110 “ZAFUTIWA USAJILI” KUANZIA LEO

Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali amefuta usajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiesrikali (NGOs) 109 kwa kuendesha shughuli zao kinyume cha Sheria ya NGOs Na. 24 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa mwaka 2005. Mashirika hayo ni yale ambayo hayajawasilisha taarifa za mwaka kwa kipindi cha miaka miwili pasipo kutoa sababu za msingi, kutolipa ada ya […]

Mar-29-2016

myadmin

VIVUKO VYA MV MAGOGONI NA MV KIGAMBONI VIKO KATIKA HALI NZURI

Tunapenda kuutarifu umma kuwa Vivuko vya MV Magogoni na MV Kigamboni viko katika hali nzuri na vinaendelea na kazi yake ya kuhudumia wananchi kama kawaida. Kumekuwa na malalamiko kuwa Vivuko vya MV Kigamboni na MV Magogoni havifanyi kazi kwa muda sasa hivyo kusababisha usumbufu kwa wananchiwanaotu mia huduma hiyo. Tunapenda kuutarifu umma kuwa taarifa hizo […]

Mar-29-2016

myadmin

MATUMIZI YA KITUO CHA KUIFADHI TAARIFA CHA TAIFA: “BADO NI YA CHINI SANA”

Mkuu wa Idara ya Mfumo wa Habari wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Khalfa Ally (kwanza kulia) akielezea namna Kituo cha Taifa cha Kuhifadhia Taarifa ‘National Information Data Centre’ kinavyofanya kazi kwa baadhi ya wawakilishi wa wakuu wa mashirika ya umma, taasisi binafsi, wizara na idara za Serikali leo jijini Dar es Salaam. Mkuu wa […]

Mar-29-2016

myadmin

RAIS MAGUFULI “ATUA CHATO KWA VISHINDO”

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu  Ezikiel Elias Kyunga kulia ,Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku Msukuma kushoto na Naibu waziri wa Nishati na Madini ambaye pia ni mbunge wa Chato Dkt. Medard Kalemani watatu kutoka kulia wakielekea kwenye […]

Mar-29-2016

myadmin

UHABA WA SUKARI NCHINI: RUHUSA YA KUAGIZA TOKA NJE “INAHITAJIKA HARAKA”

   Mjumbe wa Kamati hiyo, Mahmoud Mgimwa akizungumza katika mkutano huo.   Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo, Uvuvi na Maji, Dk. Mary Nagu (katikati), akiwa na wajumbe wa kamati hiyo.  Mkutano na wanahabari ukiendelea. Mwanahabari kutoka TBC, Angela Msangi (kulia), akiuliza suala katika mkutano huo. ………………………………………………………………………………………………. Na Dotto Mwaibale   KAMATI ya Bunge […]

Mar-29-2016

myadmin

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAENDELEO YA MIUNDOMBINU “YAPIGA HODI” JNIA

 KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Miundombinu, imefanya ziara ya kutembelea mradi wa upanuzi wa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal Three- TBIII), jijini Dar es Salaam, Machi 29, 2016 ambapo awali wajumbe wa kamati hiyo inayoongozwa na Profesa Norman Adamson Sigalla King, walipatiwa maelezo ya kina ya maendeleo ya […]

Mar-29-2016

myadmin

MKUU WA MKOA WA SONGWE AAPISHWA IKULU LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Luteni Mstaafu Chiku Gallawa kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimshuhudia Luteni Mstaafu Chiku Gallawa akiweka sahihi katika hati ya […]

Mar-28-2016

myadmin

WAOGEALEAJI WA TANZANIA KUSHIRIKI MASHINDANONI: MARCH 29, 2016

Kocha wa TSS, Michael Livingstone akiwafundisha  waogeaji Celina Itatiro na Marin de Villard kwenye bwawa la Ellis Park mjini Johannesburg Afrika Kusini kwa ajili ya Kusini tayari kushindana katika mashindano ya South Africa level 2 Kocha wa TSS, Alex Mwaipasi akiwafundisha waogeaji wa TSS, kwenye bwawa la Ellis Park mjini Johannesburg Afrika Kusini kwa ajili […]

Mar-28-2016

myadmin

BOMBA LA MAFUTA KUTOKA TANGA HADI UGANDA KUJENGWA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Prof. Justin Ntalikwa akiongea na baadhi waandishi wa habari  mara baada mkutano ya wafanyabiashara wa sekta ya mafuta nchini leo jijini Dar es salaam. Mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa Sekta ya Mafuta nchini Dkt. Gideon Kaunda akiongea na baadhi waandishi wa habari  mara baada mkutano ya wafanyabiashara wa […]

Mar-28-2016

myadmin

SALA YA PASAKA, RAIS MAGUFULI “ATUA KWA MSHANGAO” AZANIA FRONT

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiombewa na  Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dkt. Alex Malasusa na Mchungaji Charles Mzinga wakati wa Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es […]

Mar-27-2016

myadmin

MWANASHERIA MKUU ZANZIBAR AAPISHWA RASMI LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha  Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar Pichani Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Said Hassan Said  Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Said Hassan Said akipitia hati ya kiapo kabla ya kuapishwa leo na Rais wa Zanzibar […]

Mar-26-2016

myadmin

WAWILI WAUWAWA NA MAJAMBAZI JIJINI MWANZA; SABA WAJERUHIWA

Kamanda wa Polisi Mkoani Mwanza, SACP Justus Mamugisha, akitoa taarifa kwa wanahabari. Watu wawili wameuawa Jijini Mwanza kwa kupigwa risasi na Majambazi, huku Wengine saba wakijeruhiwa katika tukio la uvamizi wa duka lililokuwa likitoa huduma mbalimbali za kifedha. Kamanda wa Polisi Mkoani Mwanza, Justus Kamugisha, amesema kuwa tukio hilo lilitokea jana majira ya saa mbili […]

Mar-26-2016

myadmin

Wanaotumia jina la Tamasha la Pasaka wajiandae kisheria: MSAMA

MWENYEKITI wa Kamati ya maandalizi ya Tamasha la Pasaka Alex Msama amewaonya wanaotumia jina la Tamasha la Pasaka  atawachukulia sheria kwa sababu jina hilo limesajiliwa kisheria na serikali. Akizungumza akiwa jijini Mwanza Msama alisema mwaka huu tamasha hilo halifanyiki jijini Dar es Salaam ambako idadi kubwa ya wakazi wa jijini Dar es Salaam wanadhani tamasha […]

Mar-26-2016

myadmin

MHE. MAKONDA “AMWAGIWA DUA KEDE-KEDE” NA MUTFI MKUU WA TANZANIA

 Mufti wa Tanzania, Abubakar Zubery (wa pili kushoto), akimuombea dua Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (katikati), Dar es Salaam leo asubuhi. Kutoka kulia ni Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salum, Mshauri Mkuu wa Mufti, Sheikh Abubakar Khalid na Msaidizi wa Sheikh wa Mkoa wa Dar es […]

Mar-25-2016

myadmin

MHE. SHEIN AAPISHWA ZANZABAR LEO

Viongozi wa Dini na Vikosi vya Ulinzi wakifuatana kuelekea katika jukwa maalum la kuapishwa Rais Mteule wa Zanzibar katika uwanja wa Amaan Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea salamu ya heshma kwa Vikozi vya Ulinzi na Usalama baada ya kuapishwa Rasmi katika wamu […]

Mar-24-2016

myadmin

MHE. MAJALIWA “ATINGA” SOKO LA FERI “BILA YA KUPIGA HODI”

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akielkea kwenye soko la samaki la Feri  akitokea ofisini kwake  Magogoni  jijini Dar es salaam kukagua hali ya soko hilo Machi 22, 2016. Kushoto kwake  ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua  eneo la kukaangia samaki kwenye soko la samaki Feri la jijini Dar es […]

Mar-22-2016

myadmin

BREAK NEWS: MHE. ISAYA CHACHA (CHADEMA) MEYA MPYA DAR.

Aliyekuwa Mgombea wa nafasi ya Meya wa Jiji la Dar es Salaam kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Yenga  Yusuph alipokuwa akiomba kura kwa wajumbe walioshiriki zoezi la kupiga kura ya kumchagua Meya leo jijini Dar es salaam. Baadhi ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) walioshiriki zoezi la kupiga kura ya kumchagua […]

Mar-22-2016

myadmin

MKUU WA WILAYA YA NJOMBE AFARIKI DUNIA: RAIS ATOA POLE

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Simu : +255-22-2114512, 2116898 Email : press@ikulu.go.tz Tovuti : www.ikulu.go.tz Faksi : 255-22-2113425 OFISI YA RAIS, IKULU, 1 BARABARA YA BARACK OBAMA, 11400 DAR ES SALAAM, TANZANIA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi […]

Mar-22-2016

myadmin

DR. SHEIN APOKEA RASMI CHETI CHA USHINDI: URAIS ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akipokea cheti maalum cha Ushindi wa Uchaguzi wa marudio kutoka Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa  matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa jana […]

Mar-21-2016

myadmin

BREAK NEWS: DK. SHEIN ASHINDI URAISI ZANZIBAR JANA

RAIS DR. MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA PONGEZI  

Mar-21-2016

myadmin

BREAKING NEWS… MSAFARA WA WAZIRI SULEIMAN JAFO WAPATA AJALI BAGAMOYO

Msafara wa Mh Naibu Waziri wa TAMISEMI JAFFO umepata Ajali mbaya Na Watu kadhaa wapoteza Maisha Naibu waziri TAMISEMI Mh Selemani Jafo Amepata Ajali ktk Msafara wake huko Mapinga Magamoyo Baada ya Roli kugonga Magari Matatu yakiyokuwa mbele yake ktk Msafara Wake! Na Waliofariki ni Maafisa toka Halmashauri ya Bagamoyo! watu kadhaa  wamefariki papo hapo […]

Mar-21-2016

myadmin

RAIS MAGUFULI ATEKELEZA KWA VITENDO AGIZO LA MKUU WA MKOA MHE. MAKONDA LA KUHAKIKI SILAHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kwa makini zoezi la uhakiki wa silaha zake lililokuwa likifanywa na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Neema Laizer Ikulu jijini Dar es salaam. Mhe. Rais amekuwa mtu wa kwanza kutekeleza agizo la Mkuu wa Mko wa Dar es Salaam Paul Makonda.   Msaidizi […]

Mar-21-2016

myadmin

DK. SHEIN APIGA KURA UCHAGUZI WA MARUDIO LEO ZENJI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika foleni ya wapiga kura ya Uchaguzi wa marudio katika kituo cha kupiga kura Skuli ya msingi Bungi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo,(wa pili kulia) Mkuu […]

Mar-20-2016

myadmin

OLE SENDEKA “ACHUKUA” NAFASI YA MHE NAPE: KUWA MSEMAJI RASMI WA CCM

  TAARIFA ILIYOSOMWA LEO NA OLE SENDEKA BAADA YA KUTAMBULISHWA KWA WAANDISHI WA HABARI LEO   Machi 15, 2016, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli akiwaapisha Wakuu wapya wa mikoa, aliagiza pamoja na mambo mengine, viongozi katika ngazi mbalimbali kuhakikisha wanasimamia nguvu kazi ya vijana katika maeneo yao ili waache […]

Mar-20-2016

myadmin

“DAR KUMECHARUKA” HAKUNA UTANI – RC NA DCs WAKE WAJA JUU: KAZI YAANZA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akizungumza na wenyeviti na maofisa watendaji wa jiji la Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu mambo mbalimbali hasu suala la usafi wa mazingira.  Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando akiongoza mkutano huo.  Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akizungumza katika mkutano […]

Mar-19-2016

myadmin

NSSF, TBC NA RAHCO WAPATA WAKULUGENZI WAKUU WAPYA: UTEUZI WAFANYIKA LEO

     

Mar-19-2016

myadmin

WAZIRI KITWANGA “ATINGA KTK MITAA YA ZENJI LEO HII”

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (wa pili kulia) akitembea mitaani eneo la Chake Chake Pemba, Zanzibar kusikiliza maoni ya wananchi kuhusu usalama wao katika kipindi cha uchaguzi kisiwani humo. Waziri Kitwanga ameambatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdullah (kulia), Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Omari Khamis […]

Mar-18-2016

myadmin

“HATUTAMBUI” KUJITOA KWA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIJITOUPELE ZENJI: TUME

Na Clarence Nanyaro- NEC Tume  ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),imesema haitambui  kujitoa kwa Chama cha Wananchi (CUF),katika uchaguzi wa Mbunge  Jimbo la Kijitoupele hapa Zanzibar unaotarajiwa kufanyika Jumapili licha ya kuwa  Tume imepokea barua rasmi toka kwa uongozi wa Chama hicho. Mkurugenzi wa uchaguzi wa Tume ya Taifa Bw Kailima Ramadhani amesema Tume imefikia maamuzi […]

Mar-18-2016

myadmin

Ubadhirifu, rushwa na matumizi mabaya ya madaraka, MHE. MAJALIWA “ATUMBUA WAWILI WENGINE” LEO

Aagiza TAKUKURU na Polisi kuanza uchunguzi mara moja WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi wawili wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato kwa tuhuma za ubadhirifu, rushwa na matumizi mabaya ya madaraka. Watumishi hao ni Mkuu wa Idara ya Kilimo na Ushirika, Bw. Mwita Mirumbe Waryuba pamoja na Afisa Maendeleo ya Jamii wa Wilaya, Bw. […]

Mar-17-2016

myadmin

HII NI MPYA: KIPINDI CHA CLOUDS 360 “CHAPIGIWA SIMU NA RAIS MAGUFULI” ASUBUHI YA LEO

Watangazaji wa Clouds wakiwa katika kipindi cha Clods 360. …………………………………………………………………………………………………………………………… Source- http://www.bbc.com/swahili/habari Rais wa Tanzania John Magufuli amewashangaza wengi baada ya kupiga simu katika kituo cha runinga asubuhi. Rais huyo alipiga simu wakati wa kipindi cha Clouds 360 kueleza kufurahishwa kwake na kipindi hicho. Tangu kuingia madarakani Novemba mwaka jana, kiongozi huyo hajafanya mahojiano yoyote ya […]

Mar-17-2016

myadmin

MAUAJI YA KISIASA “SASA BASI”: MHE MWIGULU

  WAZIRI wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi,  Bw. Mwigulu Nchemba amesema hakuna chama cha siasa ambacho kinaweza kuthaminishwa na maisha ya mwanadamu na kwamba wananchi hawana sababu ya kupigana na kutoanabugai kwa sababu ya ushabiki wa vyama. Ametoa kauli hiyo leo mchana (Alhamisi,  Machi 17, 2016) wakati akizungumza na mamia ya wakazi wa mji mdogo […]

Mar-17-2016

myadmin

“KIGAMBONI TAMBARARE” DARAJA KUFUNGULIWA APRILI 16

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akipata maelezo kutoka kwa Meneja Msimamizi wa ujenzi wa daraja la Kigamboni Eng. Karim Mattaka alipokagua daraja hilo leo jijini Dar es salaam.  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akitoa maelekezo kwa Meneja miradi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Eng. John […]

Mar-16-2016

myadmin