Fanciful/Vunja Mbavu

KAA NYUMBANI; WATAKA KWENDA WAPI?????????????????????

Sasa nyie mnataka kuwa hewani wakati wote? Kazi itafanyika saa ngapi???     Nyama imewasili. Msosi suni.   Bora nyie mnaye viatu. Wakisema ni vya jinsia tofauti, hayo ni yao.   Sasa hii inchi yetu si ya ujamaa na kushea?!!?   Usipokwenda kutafuta chakula, basi hakuna atayekuletea kila siku hapo ulipo.

Apr-28-2016

myadmin

I LIKE THIS NEIGHBORHOOD

    Hapa ni zaidi.

Apr-26-2016

myadmin

Mambo ya urembo haya

Mamaaaaa, Sitaki tena haya matatuuuu yenuuuuuuu

Apr-21-2016

myadmin

Vunja mbavu za leo

Sasa nyumba yangu ni salama sana. Nimeajiri mlinzi wa nguvu na wala sio hao wamasai wenu.   Na kesho Jumapili pia ni  lazima uje kazini na uegeshe hii ngazi mahali hapa-hapa. Hahaaa. smart mie.   Hawa watu bwana, sijui vipi?!!! Ukiwaambie  tunaomba hiyo mikate, hawataki!!!!!! Lakini ikieksipaya, wanaleta mingi kwa mkokoteni.   Mpaka wakuvue suruali […]

Apr-20-2016

myadmin

Vunja mbavu za leo

Mie sihitaji pasipoti kwenda kokote!!!!!   Mama nanihiiiiii, hebu niongezee wali. Hehee, mbona umeupakaa rangi tofauti. Tumia rangi nyeupe, tafathali!!!!   Sijui huu mti kama upo imara sana.

Apr-20-2016

myadmin

Naelekea mjini

Na hii buti bila kusahau bakora ya nguvu, hapa watoto wa mjini hawatanisogeleo hata kidogo!!!     Kweli nina uhakika sitaweza kupata piki-apu nyingine mpaka miaka kumi ya Bwana Magufuli iishe!!!!!!! Sijuia kama hii Range yangu pia itakuwa bado iko hai ????????????????????????????? Haya maisha ya kutegemea mshahara kama wazungu ni magumu sana..   Sasa huku […]

Apr-20-2016

myadmin

HALI HII NDIO INAYOANGUSHA NCHI ZETU KABISA.

Its me who I am looking for a job and not somebody else bro!!!!!! OOooo poor my continent Africa, you have a long way to go this way!!!   Hata kidogo, mimi siwezi kuanguka, na nikianguka siumii, na nikiumia ni kidogo tuuuuu. Hongera dada, jaribu tena baadaye.

Apr-20-2016

myadmin

MBONA MSOSI WENYEWE HAUTOSHI!!!!

Hivi huyu mama niwekee anajua kwamba leo hakutupa chakula cha kutosha????? Weee, mamaaa nanihiiiiiiiiiiiiiiiiiii;             vipi leo?????????????!!!!!!!!!       Sijui nani ni zaidi hapa????     Masikini daraja langu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Si unajua (sijui), Site hawakufika huku, nikaamua kujenga daraja kwa gharama zangu mwenyewe. Sasa hawa jamaa Vipi??????????????????????    

Apr-18-2016

myadmin

NINA IMANI NANYI MKO FITI KAMA MIMI!!! ONGEZENI SPIDI BASI!!

  Ndio mzee, samahani, mwenzetu. tukiamka utatuiona. WE ukifika Kibaha, sisi tutakuwa Mlandizi ati!!!!       Hizi nguo toka Chaina hata hazidumu! Ukifua mara mbili tuuuuuuuuuuuuuuu,      Basi zimetatuka. Jamaniiiii   hii si hasara tupuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!     Jamani mweee,   mie hili joto la huku kwenu lanishindaaa ati.!     Hapa mie chichemi […]

Apr-14-2016

myadmin

KWENDA MAJUU KUNANIPOTEZEA MUDA TUU

  Ningejua kingekaa kwa nusu saa tu.     Bila ya hili gobore, sitaweza kufundisha na kurudi nyumbani salama….. Hahaaaa, ni bora nirudi kwetu TZ. Lakini sura yangu na swalihi  yangu iko tofauti; mmmm!   Jamani, harakisheni, la sivyo no msosi leo!!   Wamesema wiki lijalo kutakuwa na upepo mkali na mvua za kutosimama!!! Je, […]

Apr-08-2016

myadmin

JAMANI SASA NI MUDA WA KUCHUMBA DAWA

  Sasa choo kiko wapi? jamani nyieeeeeeeeeee!   Dereva lazima tulale Dar. Hakikisha unaendesha maili 100 kwa saa!!!!!!!     Mzee mwenzangu karibu nashukuru kwa kuweza kutoka nje ya nchi kwa mara ya kwanza. Walifikiria ati unaogopa kupanda ndege!!   Sasa huu msosi ndio vipi? Kwa haujui ni mara moja kwa mwaka jamaniiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!?????????????????     […]

Apr-07-2016

myadmin

“VUNJA MBAVU” ILIYOTOKEA PALE RAIS ALIPOKUWA ANAWAAPISHA WAKUU WA MIKOA: VIDEO

  ANGALIA HII VIDEO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!  

Mar-15-2016

myadmin

Mzazi huyu ataua watoto wake namna hii!!!!!!!

Kuondoa umaskini ili kuweza kuzaja tumbo lako sio kuwazua watoto/nduguzo kujaza matumbo yao, bali ni kufanya kazi kwa juhudi na maarifa. Weka maoni yako hapa……….   Nikimaliza mbio hizi tu, kilo 35 zitanitoka. Nitakuwa kama “First Lady” wa USA!!!!!!!!   Taratibu mzee mwenzangu!!!!     Leo kimeeleweka kabisa. Msodi wa siku 365 1/2.     […]

Feb-28-2016

myadmin

JAMANI, TUMETOKA MBALI SANA!

Kwani yangi ya mavazi na kila kitu ni lazima iwe nyeupe?   Na hapa je? Jamani nakumbuka sana mlio ya Leyland na hasa inapokuwa inapandisha mlima!!!   Hapa ndio UDA ipo kazini.   KAMATA imebaki jina tu!   Home sweet home. Nyumbani kwetu huko!!!!            Sasa wewe kwenu ni wapi? Ni […]

Feb-23-2016

myadmin

MECHI ZA WATANI WA JADI: SIMBA NA YANGA

Sijua simba wataenda kujificha wapi kwa hali hii.   Mtani kuwa na huruma hata kwa sekunde moja!   Sasa basi, ni bora nianze kukuchinja!   Wewe sio zaidi ya sisi tena!   Simba sio kitu tena   Mbio za simba zaishia sakafuni   Haya makeke yote ni ya bure kabisa!  

Feb-21-2016

myadmin

Vunja mbavu za leo

Feb-13-2016

myadmin

Vunja mbavu za leo

Jirani mie sitaki kuwa shahidi, ni bora nifunge mlango na kuwaachia wahusika wakuu.   Sasa na tujiandae na utamaduni mpya wa kuacha kusaidiana kwanza. Badala yake ni kuchukua ushahidi kwanza!!   Mapenzi hayazeeki, ni lazima apendeze leo!!!!   Hapa ukweli ni mkubwa sana. APPROVED!       Kwani haujui sisi watu wa rangi fulani, tunaukoo […]

Feb-09-2016

myadmin

Vunja mbavu za leo

Hapa kazi tuuuu!!   Mmmmm! shuzi hii ni nzito sana, jamaniii!         Sihitaji kufikiria sana, ZIKA ikufika nitaamka!!     Kwa hakika, sasa maisha yangu yamebadilika sana toka nimepata hii nanihii!!!     Rubani hakikisha unakwepa mashimo, kwani yanaweza kuleta balaaa huku nyuma!!             Hahaaa, barabara za […]

Jan-31-2016

myadmin

Vunja mbavu za leo

Muda wa msosi unapowadia na hapohapo mama anachelewesha maakuli, basi ni muda wa kwenda “plan B”. Changamkia kilicho karibu yako.   Ati wanasema bongo wizi wa simu ni wa kutisha? Basi watanijua kama mimi ni ngosha!!!!!!!!! Haibiwi mtu hapa!!!!!!!   Tafathali usinisumbua naelekea mjini. Ninakideti cha nguvu!!   Wathamini wanaingia hewani kidogo.     Pombe […]

Jan-26-2016

myadmin

Vunja mbavu za leo

Huku juu nitapata umeme wa kutosha ati! Tena kwa bei nafuu!   Hapo nimekubali mzee wa mjini! Nimesema hawa watoto wasome bure jamani. Hii fee wataanza kulipa nikiritaya. TV hii haihitaji kuwa na udugu na LUKU!     Halafu na majani yakasahau kuota kabisa; at kwa nini?       Akili ni nywele! Lakini hizi […]

Jan-22-2016

myadmin

Vunja mbavu za leo

Asiyeogopa kufa; basi huyo ujue hatunaye tena, maana ameishakufa tayari!       Ukimaliza kuomba unatakiwa pia ukafanye kazi. Kwani hiyo hiyo biblia imesema; Asiyefanya kazi na asile! Patamu hapo!!! Hii ngazi ya leo ina spongi. Kwa maana ni laini sana. Hahaaaaa!       Sijua kama hapa naweza kuona vizuri?   Do, hii machi […]

Jan-18-2016

myadmin

Vunja mbavu za leo

Naombea pia hizo fesi-buku zisiwe chanzo cha kuvunja ndoa yetu.   Wewe nunua usiulize maswali mengi.   Haya, haya dereva nipo tayari. Ondoa mchuma huo!   Sijua niongeze kidogo? Naona bado naweza kuzimudu!   Tangazo la wathamini Sasa si unaweza kumuarifu rafiki yako juu ya dili hii?   Usingizi wa leo ni mtamu sana. Sihitaji […]

Jan-16-2016

myadmin

Vunja mbavu za leo

Hakuna kinachoshindikana. Baba inabidi awe mwangalifu, kwani hii sima/ugali/fufu hautafika hata roundi ya tano. Noku auti!!      

Jan-15-2016

myadmin

Vunja mbavu za leo

Sasa hiyo siti iko wapi? Mimi sitaweza kusimama kwani konda ulisema huu usafiri wako una siti za kutosha!!!!   Huyu papa ajiandae na mashauri yasiyo na jibu. Kwani huu ndio mwanzo tu. Hiri rijamaa harierewi kitu hata kidogo!!!   Huku kwa wazungu wamesema ni lazima utumie uma, kijiko, na uma. Sasa kwa mchezo huu itakuwaje […]

Jan-15-2016

myadmin

Baridi inapokuwa kali, basi uwe mwangalifu: Kwa walio nchi za baridi

  Jamaa alipaki gari yake pembezoni ya mto huko Hamburg, New York,  January 12, 2016. Alipoamka asubuhi hii ndio hali aliyoikuta. Gari haitambuliki wala haiendesheki kwa kufunikwa na theluji. Nashukuru hakuna baridi ya namna hii huku kwetu nyumbani, kwani ni wachache tu wangesalimika.     Kumbe jamaa hapo juu hakuwa peke yake. wengine pia walionja joto […]

Jan-13-2016

myadmin

Vunja mbavu za leo

Jamani sisi Watanzania tutaamka lini? Je, kuna nayejua? Kwani sio tu Tanzanite inayoibiwa; hawa jirani zetu hadi leo hii bado wanasema Mlima Kilimanjaro ni wao. Ati ni kweli? Vinginevyo vingi; kama, kupeleka thahabu South Africa ili waichambue halafu ndio watuambie wamepata thahabu halisi ya kiasi gani. Hapo ndipo tuanze kuongelea swala la kuzilipia kodi. Hivi […]

Jan-13-2016

myadmin

Nyumbani ni nyumbani tu!

     Jua, joto,baridi, na vinginevyo leo havina nafasi. Ni lazima nifaulu hii paper!    

Jan-12-2016

myadmin

Maisha ya ndoa ni kupendana!

Jan-12-2016

myadmin

VUNJA MBAVU ZA LEO

       

Jan-12-2016

myadmin

Vunja mbavu za leo

  Nimesahau kupiga pasi DO!                                                                   

Jan-11-2016

myadmin

Vunja mbavu za leo

   Kama ni hawa ndio tutaoa,,acha nikue bashera tu.                                                                          Tuma kichekesho chako kwa kugonga link hapo chini  

Jan-09-2016

myadmin

Vunja mbavu za leo

           

Jan-08-2016

myadmin

Raha jipe mwenyewe bwana!

Jan-08-2016

myadmin

Video ya Mmasai akitafuta kazi

Gonga ukurasa wa pili

Jan-06-2016

myadmin

Vunja mbavu za leo

                                      

Jan-06-2016

myadmin

Vunja mbavu za leo

                    

Jan-05-2016

myadmin

Vunja mbavu za leo

  .                                            

Jan-04-2016

myadmin

Vunja mbavu za leo

               

Jan-04-2016

myadmin

Vunja mbavu za leo

            

Jan-02-2016

myadmin

Vunjambavu za leo

                       

Jan-01-2016

myadmin

Heri ya MWAKA MPYA 2016 kwa wasomaji wetu wote: Tuambie

Kwa niaba ya wafanyakazi wote wa Tuambie, nachukua nafasi hii kuwashukuru wasomaji wetu wote kwa ushirikiano wenu wa thati mliouonyesha kwa kipindi hiki kifupi. Mwaka 2015 ni wa kukumbukwa sana kwetu kwani ni mwezi wa November tu ndio mtoto TUAMBIE alizaliwa/kuanza kurushwa hewani. Japokuwa tuambie bado ni changa, lakini kwa kipindi cha miezi miwili tu, […]

Dec-31-2015

myadmin

Happy new year to all

Salamu za mwaka mpya toka kwa bwana Ahmed Alghafri

Dec-30-2015

myadmin

Vumnja mbavu za leo

                 

Dec-30-2015

myadmin

Vunja mbavu za leo

                

Dec-29-2015

myadmin

Vunja mbavu za leo

                                                            

Dec-29-2015

myadmin

Vunja mbavu za leo

                      

Dec-28-2015

myadmin

Vunja mbavu za leo

            

Dec-27-2015

myadmin

Vunja mbavu za leo

            

Dec-26-2015

myadmin

Vunja mbavu za leo

Kwa mara nyingine tunakuletea kurasa ya vunja mbavu. Kama una tukio la kuvunja mbavu, basi usisite kututumia. Weka kichekesho chako hapa: http://www.tuambie.com/your-post/                   

Dec-24-2015

myadmin

Vunja mbavu za leo

Kwa mara nyingine tunakuletea kurasa ya vunja mbavu. Kama una tukio la kuvunja mbavu, basi usisite kututumia. Weka kichekesho chako hapa: http://www.tuambie.com/your-post/                     

Dec-23-2015

myadmin

Vunja mbavu za leo

       

Dec-22-2015

myadmin

Vunja mbavu za leo

        

Dec-21-2015

myadmin

vunja mbavu za leo

             

Dec-19-2015

myadmin

Vunja mbavu za leo

     

Dec-18-2015

myadmin

vunja mbavu za leo

         

Dec-17-2015

myadmin

Vunja mbavu za leo

               

Dec-15-2015

myadmin

vumba mbavu za leo

     

Dec-14-2015

myadmin

Vunja mbavu za leo

    Kwa hisani ya masudi

Dec-10-2015

myadmin

Vunja mbavu ya leo

Dec-08-2015

myadmin