Hot NEWS/Habari MOTO

MKURUGENZI WA IDARA YA MAAFA NCHINI ATEMBELEA MAENEO YALIYOATHIRIKA KWA MAFURIKO.

Mbunge wa jimbo la Vunjo ,James Mbatia akizungumza jambo na Mkurugenzi wa idara ya Maafa nchini Brigedia Jenerali Mbazi Msuya wakati wakitembelea kijiji cha Mandaka Mnono kujionea athari ya mafuriko,katikati ni Mbunge wa viti Maalum (Chadema) mkoa wa Kilimanjaro Lucy Owenya. Mkurugenzi wa Idara ya Maafa nchini Brigedia Jenerali ,Mbazi Msuya akimweleza jambo Mwenyekiti wa […]

Apr-30-2016

myadmin

KIPINDI KIPYA CHA “MUSIC IS OUR WEAPON CHAANZA KUCHANJA MBUGA

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo (Kulia) akisalimiana na Katibu wa Balozi wa Nigeria Hapa nchini Bi.Abiola Adelupe wakati wa uzinduzi wa Makala ya “Music is our Weapon” iliyotengenezwa na kikundi kiitwacho “SARABI Music Group” cha nchini Kenya uliofanyika jana Jijini Dar es Salaam. Kikundi cha mziki kiitwacho “SARABI Music Group” […]

Apr-30-2016

myadmin

SABABU ZA KUPUNGUA KWA SHEHENA YA MAKONTENA BANDARINI “ZIBAINISHWE HARAKA”

SERIKALI imeziagiza Mamlaka ya Bandari-TPA, na Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA, kufanya uchambuzi wa kina ili kubaini sababu za kupungua kwa shehena ya kontena zinazoingia nchini kupitia Bandari ya Dar es salaam kwenda nchi jirani Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dokta Philip Mpango, ameliambia Bunge mjini Dodoma, leo tarehe 30, Machi, 2016 kwamba taarifa zilizopo […]

Apr-30-2016

myadmin

MAJALIWA AKUTANA NA VIONGOZI WA MTANDAO WA VYAMA VYA WAZEE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Mtandao wa Vyama vya Wazee Tanzania Ofisini kwake  bungeni mjini Dodoma  Aprili 29, 2016. Kushoto kwake ni Naibu Wziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoo, Dkt. Hamis Kigwangalla .(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Mtandao wa Vyama […]

Apr-30-2016

myadmin

NICO NJOHOLE NA RENATUS NJOHOLE WAWASILI DALLAS, MTANANGE WA SIMBA NA YANGA JUMAMOSI

Renatusi Njohole akiwa katika picha ya pamoja na kaka yake  Benchi la ufundi la Yanga Bwn. Gerry Mshana(kulia) akipata picha ya kumbukumbu na Nico Njohole siku ya Alhamisi Dallas, Texas. Nico na Renatus wamekuja maalum kuhudhuria mkutano wa DICOTA na kuchezea Simba kwenye mtanange wa watani wa jadi.   Kutoka kushoto ni Gerry Mshana, Mary […]

Apr-29-2016

myadmin

MWANAMAZINGIRA WA UN, GETRUDE CLEMENT ALIVYOPOKELEWA JIJINI MWANZA

  Shujaa Wetu, Mwanahabari Mtoto, Mwanamazingira Balozi wa Umoja wa Mataifa UN kutoka Mwanza Tz, Getrude Clement (16) jana amewasili nyumbani Jijini Mwanza majira ya saa tatu usiku na kupokelewa kwa shangwe na ndugu, jamaa na marafiki katika Uwanja wa Ndege Mwanza.   …………………………………………………………………………………………………. Alihudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa nchini Marekani uliohusu Mabadiliko ya Tabia nchi (Climate Change) ambapo […]

Apr-29-2016

myadmin

KIKAO CHA MAANDALIZI YA MKUTANO WA MASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI CHAANZA

Mwenyekiti wa kikao cha Makatibu wa Mabunge wa Afrika Mashariki Dkt. Thomas Kashilila akiongoza kikao cha maandalizi ya mkutano wa Maspika wa Afrika Mashariki leo jijini Arusha. Mwenyekiti wa kamati ya maadalizi ya mkutano wa Maspika wa Afrika Mashariki Dkt. Thomas Kashilila (kushoto) akiongoza kikao hicho leo jijnii Arusha. Kulia ni Katibu wa Bunge la […]

Apr-29-2016

myadmin

DC WA KINONDONI HAPI AANZA MAPAMBANO DHIDI YA WATUMISHI HEWA, ABAINI 89

DC wa Kinondoni Salum Hapi akizungumza leo ofisni kwake NA BASHIR NKOROMO Mkuu wa Wilaya a Kinondoni, Dar es Salaam,  Salum Hapi amesema, Serikali katika wilaya hiyo imebaini kuwa  imepoteza zaidi ya sh. bilioni 1.331 kwa kuwalipa wafanyakazi hewa wapatao 89.hadi sasa. Amesema, baada ya kuapishwa kuwa mkuu wa wilaya hiyo siku saba zilizopita, amesimamia […]

Apr-29-2016

myadmin

DC WA MISHO MHE MAKUNGA ASHIRIKI KTK KUTOA MISAADA KWA WALIOKUBWA NA MAFURIKO

Tumewafariji kwa chakula wananchi wa kijiji cha Soko waliokimbia makazi yao na kuishi katika majengo ya kanisa na katika shule kutokana na kukumbwa na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha katika wilaya ya Moshi.  

Apr-28-2016

myadmin

KIJIJI CHA NYEBURU CHAPATA MKOMBOZI WA MRADI WA UMEME WA VIJIJINI

NA VICTOR MASANGU, PWANI MRADI WAKAZI zaidi wa 100 katika kijiji cha Nyeburu Wilayani Kisarawe Mkoa wa Pwani waliokuwa na tatizo la upatikanaji wa nishati ya umeme na kuishi katika giza kwa kipindi cha muda mrefu kwa sasa wamenufaika baada ya kuunganishiwa umeme kutokana na kukamilika kwa mradi wa umeme vijijini (REA) awamu wa pili. […]

Apr-28-2016

myadmin

MAMA MARIA NYERERE ATEMBELEA DARAJA LA NYERERE KIGAMBONI

Mama Maria Nyerere, Mjane wa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,  akiwa na mwanae Mhe. Makongoro Nyerere na msaidizi wake akifurahia mandhari wakati walipotembelea Daraja la Nyerere Kigamboni jijini Dar es salaam. Mama Maria, ambae hakujali mvua kubwa iliyokuwa inanyesha, alionekana mwenye furaha kufika darajani […]

Apr-28-2016

myadmin

BUNGE LAPITISHA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akipongezwa na wabungeu)baada ya  bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili 27,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akipongezwa na wabungeu)baada ya  bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi […]

Apr-28-2016

myadmin

WANAMUZIKI NA WADAU WA MUZIKI KUKUTANA NA MKUU WA MKOA DSM LEO

Wanamuziki wa dansi, taarab, bongo fleva na wadau wa muziki waishio Dar es Salaam, Alhamisi hii watakutana na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda ili kubadilisha mawazo juu mwenendo wa kazi zao. Wasanii na wadau hao watakutana na Makonda ndani ya ukumbi wa Vijana Social Hall Kinondoni kuanzia saa 5asubuhikatika mkutano […]

Apr-28-2016

myadmin

HATIMAYE YAMEKUWA: YANGA YATINGA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO

Coastal Union imepoteza mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga baada ya washabiki wake kuwa chanzo cha Mwamuzi kuvunja mchezo huo uliofanyika Aprili 24, 2016 kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga. Uamuzi huo umefanywa na Kamati ya Mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) iliyokutana leo (Aprili 27, 2016) […]

Apr-28-2016

myadmin

CGP MINJA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA MAAFISA WATEULE DARAJA LA KWANZA , MKOANI MOROGORO

  Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, CGP John Casmir Minja akikagua Gadi Maalum iliyoandaliwa na Maofisa Wahitimu wa Mafunzo ya Maafisa Wateule Daraja la Kwanza yalifanyika Aprili 27, 2016 katika Viwanja vya chuo cha Jeshi la Magereza, KPF Mkoani Morogoro. Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, CGP John Casmir Minja katika jukwaa akipokea salaam ya heshima […]

Apr-28-2016

myadmin

MHE. NAPE APANIA KUIBORESHA TASNIA YA HABARI

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akikabidhi Ipad tano kwa mkuu wa wilaya ya Bukoba Bw.Jackson Msome kwa ajili ya matumizi ya maafisa habari wa mkoa wa Kagera. Bwana Msome alikuwa akimwakilisha Mkuu wa mkoa wa Kagera, Meja Jenerali mstaafu Salum Mustafa kijuu.…………………………………………………………………………………………………… Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO   Sekta ya habari ni kiungo […]

Apr-28-2016

myadmin

HAYAWI SASA YAMEKUWA: UCHUKUZI SC, TAMISEMI KAMA FAINALI KESHO

Nahodha wa timu ya Uchukuzi SC, Godwin Ponda akimtambulisha mgeni rasmi wa mchezo wa nusu fainali dhidi ya Tamisemi, Kaimu Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Mei Mosi, Joyce Benjamin kwa kipa wake Herbat Steven, nyuma ni mkuu wa benchi, Kenneth Mwaisabula. Uchukuzi walifungwa magoli 2-0. Mwamuzi Robert Mkatakiu (aliyeshika kadi ya njano) akimuangalia mchezaji Kombo […]

Apr-28-2016

myadmin

ASIYE NA MACHO AELEKE JIWE

Apr-26-2016

myadmin

MWENYEKITI WA CCM NA RAIS MSTAAFU MHE. DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA KILIMO CHA FAFU

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi {CCM} na Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete jana Aprili 23, 2016 ametembelea Chuo Kikuu cha Kilimo na Misitu cha jimbo la Fujian (Fujian Agriculture and Forest University-FAFU) kilichopo katika mji mkuu wake Fu Zhou. Mwenyekiti alikaribishwa chuoni hapo kuonyeshwa hatua […]

Apr-26-2016

myadmin

SHIRIKISHO LA WANAFUNZI VYUO VYA ELIMU YA JUU TAIFA. WASHIRIKI ZIARA MKOANI PWANI.

Mh Siraji Shaha Madebe Kaimu Katibu Mtendaji Mkuu Shirikisho la Wanafunzi Vyuo vya Elimu ya Juu Taifa.Jana Walishiriki Mkutano Mkuu wa Seneti Mkoa Pwani. Ziara Hiyo Ilijumuisha Viongozi Mbali mbali wa Shirikisho Taifa Akiwemo MWENEZI SJIRIKISHO TAIFA FIKIRI MZOME, Katibu Hamasa Taifa, Mratibu Dawati la Hamasa Taifa Alex Mhando PIa upande wa CHAMA CCM WILAYA […]

Apr-26-2016

myadmin

Jamani, hii ni ya kuigwa!

    Huyu mnyonge naye amekumbukwa. Je, wewe unategemea kumfanyia mtu mwingine wema kama huu.

Apr-21-2016

myadmin

The word of wisdom

Apr-21-2016

myadmin

MATOKEO YA UTAFITI WA WATU WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI KUTUMIKA KUFANYA MABORESHO

Kaimu Meneja wa Idara ya Takwimu za Ajira na Bei wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bi. Ruth Minja akitoa ufafanuzi kwa wahariri wa vyombo vya Habari kuhusu matokeo ya Utafiti wa Watu wenye uwezo wa kufanya Kazi leo jijini Dar es salaam. Matokeo hayo yataiwezesha Serikali kuangalia upya tija ya utendaji kazi katika shughuli […]

Apr-21-2016

myadmin

ALIYEKUWA MWAKILISHI WA JIMBO LA MICHEWENI (CUF) KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA SHAMBULIO

Na Masanja Mabula –Pemba  JESHI la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba limeagiza kukamatwa  na kufikishwa mahamakani aliyekuwa , Mwakilishi wa Jimbo la Micheweni (CUF) kwa mihula miwili (2005-2015)  Subeti Khamis Faki anayetuhumiwa kutenda kosa la shambulio  la kuumiza mwili . Kamandawa Polisi Mkoa  wa Kaskazini Pemba , Kamishina Msaidizi Mwandamizi Hassan Nassir Ali akizungumza na mwananachi […]

Apr-21-2016

myadmin

MHE. KIKWETE AENDELEA NA ZIARA NCHINI CHINA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais Mstaafu Mhe Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu Maalum ya watu 7 inayoongoza Chama Cha CPC na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China katika Ofisi za Makao Makuu ya CPC zilizopo Grand Hall jijini Beijing, China. Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu Dk […]

Apr-21-2016

myadmin

VIONGOZI TFF WAFANYA ZIARA TBL GROUP

Rais wa Shirikisho la Soka Nchini  (TFF) Jamal Malinzi akiongoza ujumbe wa maofisa wengine wawili wa shirikisho hilo wamefanya ziara makao makuu ya ofisi za TBL Group zilizopo Masaki jijini ambapo walikutana na mkurugenzi wake Mkuu Roberto Jarrin  na kufanya naye mazungumzo. Ziara hiyo imeelezwa kuwa ina lengo la kudumisha uhusiano miongoni mwa taasisi hizo […]

Apr-21-2016

myadmin

MHE. MAGUFULI ATOA SALAMU ZA KUSHUKURU DAR LEO

 

Apr-21-2016

myadmin

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AWASILI MKOANI ARUSHA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua vikundi mbalimbali vya ngoma alipowasili Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro kwa ajili ya kufungua Mkutano wa nane wa kikao cha kawaida kuhusu matumizi ya silaha ndogondogo katika nchi za maziwa makuu na pembe ya Afrika unaotarajiwa kuanza kesho April 22, 2016 […]

Apr-21-2016

myadmin

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA WENYEVITI NA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA WA CCM JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na Viongozi wa mikoa na wilaya wa Chama Cha Mapinduzi kutoka Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar ambapo aliwashukuru kwa kazi nzuri waliofanya kipindi cha uchaguzi na kuwataka kuwa wamoja na kukiimarisha Chama. Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe.Philip Mangula akizungumza na kutoa neno […]

Apr-21-2016

myadmin

Lipi lifanyike kubadilisha maisha ya mwananchi wa kawaida

Halafu unakuta dume zima limetunisha kifua na limevaa mlegezo linacheza pool saa nne asubuhi….

Apr-20-2016

myadmin

No more bosses

Its time to get rid of bosses in our working places. Please, its time for change for the betterment of our nation indeed!!!!!!!!!!!!      

Apr-20-2016

myadmin

KAULI YA MHE. MAJALIWA YAANZA KUTEKELEZWA KWA VITENDO MKOANI KILIMANJARO

  NA NOVATUS MAKUNGA Leo tumekabidhi hundi za jumla ya shilingi milioni 100 kwa vikundi 48 vya vijana na wanawake katika Halmashauri ya wilaya ya Moshi(Vijijini).Fedha hizo ni asilimia kumi ya mapato ya ndani ya Halmashauri ambapo vijana utengewa asilimia 5 na akinamama nao asilimia 5.Hii ni awamu ya tatu kwani awamu ya kwanza zilitolewa […]

Apr-20-2016

myadmin

DENMARK YATOA MSAADA WA VIFAA VYA MUZIKI KWA TASUBA

 Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Sanaa  Wizara ya Habari ,Utamaduni, Sanaa,na Michezo Leah Kihimbi akizindua mradi wa vyombo vya muziki kati ya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA)  na Kituo cha Utamaduni na Maendeleo cha Watu wa Denmark (CKU), uzinduzi huo ulifanyika katika Chuo cha Sanaa mjini  Bagamoyo mkoani Pwani jana.  Msimamizi wa program […]

Apr-20-2016

myadmin

RAIS DK SHEIN ATEMBELEA WAATHIRIKA WA MAAFA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Maafa Zanzibar Ali Juma wakati alipofika katika Kambi ya Skuli ya Mwanakwerekwe C Wilaya Magharibi Unguja walipohifadhiwa   Wananchi  wa Shehia mbali mbali waliopatwa na maafa ya Mvua leo asubuhi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed […]

Apr-20-2016

myadmin

TAZAMA YALIYOJIRI BUNGENI LEO

 Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongozwa na Mpambe wa Bunge kuingia kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma  kuongoza kikao cha kwanza cha  mkutano wa tatu wa Bunge   Aprili 19, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu) Ruth Owenya akiapa kuwa Mbunge  kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Aprili 19, 2016. (Picha na Ofisi ya […]

Apr-19-2016

myadmin

MDAHALO WA VIJANA KUJADILI HATMA YA AJIRA KWA VIJANA NCHINI WAANZA

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akifungua mdahalo wa hatma ya ajira kwa vijana wa Tanzania ulioandaliwa na Shirika la Kimataifa la Ajira (ILO) na kushirikisha vijana kutoka Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mkazi Shirika la Kimataifa la Ajira (ILO) nchi ya Tanzania, […]

Apr-19-2016

myadmin

RAIS DK. MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA WAZIRI MKUU KWA JAPAN

 

Apr-19-2016

myadmin

the word of wisdom

Apr-19-2016

myadmin

Ujumbe mwanana kwa Watanzania wote: Kila mtu afanye kazi

Tumezidi sana kuomba misaada toka kwa wenzetu wachapa kazi. Sasa kila mtu ni lazima awe mchapa kazi hodari ili kuondokana na tabia ya kuwategemea wachache na mataifa mengine kwa ujumla.

Apr-19-2016

myadmin

Makonda aiundia kamati Machinga Complex

                Habari kwa hisani ya Asifiwe George na Secilia Alex (A3), Dar es Salaam MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameunda kamati ndogo ya kuchambua na kupitia mkataba wa jengo la Machinga Complex lililopo Karume, ambayo itaanza kazi leo. Makonda alizungumzia kuunda kamati hiyo Dar […]

Apr-19-2016

myadmin

THE WORD OF WISDOM

Apr-18-2016

myadmin

YALIYOJIRI MBIO ZA MWENGE MKOANI MOROGORO

Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa kwa mwaka 2016  George Jackson Mbijima kutoka mkoa wa Mbeya akifunua pazia kuashiria kuweka jiwe la msingi la jengo la biashara na Ofisi la 2D la mjini Morogoro lililojengwa kwa thamani ya Shilingi bilioni 4.3. Jengo hilo ni la ghorofa nne likiwa na eneo la chijni kwa ajili ya […]

Apr-18-2016

myadmin

MHE. MAJALIWA APOKELEWA KWA SHANGWE DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana  (kulia) , Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega (Wapili kushoto) na Mbunge wa  Nachingwea, Hassan Masala baada ya kuwasili kwenye uwanja w ndege wa Dodoma kuhudhuria kikao cha Bunge kinachotarajiw kuanza Arili 19, 2016.. Watatu kulia  Mbunge wa Bunge  la Afrika ya Mashariki […]

Apr-18-2016

myadmin

ZULUMA ZA VIWANJA MKOANI MWANZA: SASA MWISHO!!!

Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella ameuagiza uongozi wa Jiji la Mwanza kuhakikisha linakabidhi kiwanja namba 28-A kilichopo katika eneo la Bugando ifikapo Aprili 25, 2016 kwa mmiliki halali wa kiwanja hicho bwana Justine Eminoga ambacho amekuwa akikidai kutoka kwa mfanyabiashara wa Jijini humo kwa zaidi ya miaka sita sasa. Mongella amefikia hatua hiyo […]

Apr-18-2016

myadmin

Kigamboni Brige

  Hili ndilo daraja la Kigamboni wakati wa usiku. Hakika linavutia.      

Apr-17-2016

myadmin

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AWASILI MKOANI MOROGORO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Meneja Mkuu wa Uzalishaji katika kiwanda cha Ushoni wa Nguo za aina mbalimbali Mw. Ritesh Krishandev Beesony, wakati alipowasili katika kiwanda hicho leo April 16,2016 kwa ajili ya kutembelea na kuangalia utendajia kazi zinazofanywa kiwandani hapo. Makamu wa Rais yupo […]

Apr-17-2016

myadmin

MHE. SENDEKA ACHANJA MBUGA MKOANI ARUSHA

Msemaji wa CCM na Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akisaini kitabu cha Wageni alipopita Ofisi ya CCM mkoa wa Arusha akiwanjiani kwnda wilayani Longido akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo jana. Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Lekule Laiza na kulia ni Katibu Mwenezi wa mkoa huo, Shabani Mdoe Katibu […]

Apr-17-2016

myadmin

VIDEO YA HOTUBA YA RAIS MAGUFULI UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA FLYOVER YA TAZARA

   

Apr-17-2016

myadmin

MHE MBOWE AFIWA NA KAKA YAKE KANALI MAX MBOWE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa Upinzani Bunge, Freeman Mbowe  wakati alipokwenda kumpa pole  kufuatia kifo cha kaka yake, Kanali Mstaafu Maximillian Aikaeli Mbowe, nyumbani kwa marehemu, Tegeta jijini Dar es salaam Aprili 16, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha kaka yake […]

Apr-17-2016

myadmin

NAPE: NITARUDISHA HESHIMA YA TASNIA YA HABARI NCHINI.

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akizungumza na wadau waliopo chiniya wizara yake pamoja na watumishi wa sekretarieti ya mkoa wa Mara wakati wa ziara ya kutembelea maeneo yanayohusu sekta za wizara, kupokea taarifa ya mkoa na kuwapatia  vitendea kazi  maafisa mawasiliano wa mkoa huo. Wengine pichani ni Katibu Tawala mkoa wa Mara Bw.Benedict […]

Apr-16-2016

myadmin

MAFUNZO YA UONGOZI MDOGO KWA JESHI LA POLISI, CHUO CHA POLISI ZANZIBAR YAANZA

Apr-16-2016

myadmin

RUSHWA MICHEZONI SASA BASI: MAJIPU KUSAFISHWA

 Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na Watumishi wa Serikali pamoja na Wadau walio chini ya wizara yake wa mkoa wa Tabora ambapo aliwaambia kuwa atawaondoa wala rushwa na matapeli katika michezo nchini.  Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na […]

Apr-16-2016

myadmin

Kumbukumbu Kuzaliwa Hayati Baba Wa Taifa Mwl. J.K. Nyerere

Leo tarehe 13/04/2016 ni Siku ya Kumbukumbu Kuzaliwa Hayati Baba Wa Taifa Mwl. J.K. Nyerere,takribani Miaka 94 iliyopita. -Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema-Akurehemu.

Apr-15-2016

myadmin

Wisdom of the day

Apr-15-2016

myadmin

HAKUNA KUPANDA MABASI: FASTJET YATOA OFA NAULI ZA KILIMANJARO, MBEYA NA MWANZA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Dar es Salaam, 12 Aprili 2016-Shirika la ndege la bei nafuu, fastjet, limetangaza punguzo la nauli la sh. 22,000/- kwa mwezi huu wa Aprili kwenye safari zake za Kilimanjaro, Mbeya na Mwanza. Kulingana na Afisa Masoko na Uhusiano wa Umma wa fastjet, Lucy Mbogoro, ofa hiyo ijulikanayo kama JET10 imeanza […]

Apr-14-2016

myadmin

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA MKUTANO KTK SEKTA BINAFSI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano wa kwanza unaojadili kuhusu kuangalia Biashara na Sekta Binafsi katika kuleta Maendeleo endelevu Nchini kwa ajili ya kufikia malengo 17 ya Maendeleo kwa Jamii. Mkutano huo ulioandaliwa na AFRIKA SUSTAINABLE BUSINESS umefunguliwa Leo April 14,2016 katika Hoteli ya Hyatt jijini […]

Apr-14-2016

myadmin

MHE, Zitto Kabwe Mbunge ATUA NEW YORK

Zitto Kabwe Mbunge wa Kigoma Kaskazini akisisitiza jambo mbele ya vijana wa Kitanzania waishio New York. Zitto alipata nafasi ya kuongea na vijana hao waliotaka kujua maendeleo ya nchi yao na changamoto zake ndani ya bunge la jamhuri anavyowakilisha hoja zake kwa faida ya wananchi kupitia upinzani, pia yeye kama mwana siasa alie upande wa […]

Apr-14-2016

myadmin

KUMENUKA: TAMISEMI MKOANI MWANZA YAONGOZA KWA RUSHWA

Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rusha Mkoani Mwanza (Pichani) Mhandisi Ernest Makale, leo ametoa taarifa ya Utendaji kazi wa taasisi hiyo mbele ya Wanahabari katika kipindi cha robo mwaka (Januari hadi Machi) mwaka huu. Katika taarifa hiyo, Mhandisi Makale amebainisha kuwa Takukuru imepokea jumla ya malalamiko 45 yanayohusiana na vitendo vya rushwa […]

Apr-14-2016

myadmin

TAASISI NA IDARA 11 MKOANI PWANI: MAJIPU TAYARI KUTOLEWA

Kamanda wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru Mkoa wa Pwani Suzan Rymond  akiwaonyesha waandishi wa  habari ofisini kwake hawapo pichani orodha ya  majina ya taasisi na idara ambazo  zimeongoza kwa malalamiko ya vitendo vya rushwa (Picha na Victor Masangu) Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo wa Takukuru. ……………………………………………………………………………………………  NA […]

Apr-14-2016

myadmin

SENDEKA AWASILI MKOANI KILIMANJARO LEO

Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akisalimiana na Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Deogratius Ruta alipowasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro, mjini Moshi leo Mjumbe wa NEC na Ofisa Mwandamizi katika Idara ya Mawasilino na Umma Makao Makuu ya CCM, Kilumbe Ng’enda akisalimiana na Mwenyekiti wa CCN mkoa wa Kilimanjaro Iddi Juma alipowasili […]

Apr-14-2016

myadmin

BABATI WAIPONGEZA RAIS DK. JOHN MAGUFULI KATIKA UPASUAJI MAJIPU

Rais Dk. John Magufuli NA BASHIR NKOROMO, BABATI WANANCHI mkoani Manyara wamekipongeza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kumwamini na kumuunga mkono Rais Dk. John Magufuli, kwenye jitihada zake za kurudisha nidhamu ya watumishi wa sekta za umma tangu alipoingia madarakani Novemba, 2015. Pia wamekipongeza kwa kutambua uwezo alionao Christopher Ole Sendeka, ambaye ameteuliwa hivi karibuni […]

Apr-13-2016

myadmin

UNYANYASAJI WA KIJINSIA BADO WASUMBUA: SOKO LA TEMEKE

 Katibu wa Soko la Temeke AStereo, Omary Seif Mangilile akizungumza katika kapmpeni ya kuongeza uelewa dhidi ya ukatili wa kijinsia masokoni iliyofanyika katika soko la Temeke Stereo Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia ni Meneja wa Mradi huo wa kupinga ukatili huo, Grace Mateh  kutoka Shirika la Equality for Growth (EfG). Hata hivyo katika soko […]

Apr-13-2016

myadmin

RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 32 YA KIFO CHA SOKOINE

 Rais Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa akimaliza kuweka saini katika kitabu cha Kumbukumbu ya miaka 32 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine kabla ya Ibada maalumu ya Kumbukumbu ya kifo hicho katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016  Rais wa Jamhuri ya Muungano […]

Apr-13-2016

myadmin

KUBENEA HAUKUMIA KIFUNGO CHA NJE

Mhe. Said Kubenea– Mbunge wa Jimbo la Ubungo (CHADEMA).  …………………………………………………………………………………………………………. Na. Raymond Mushumbusi– Dar es salaam.   Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu mbunge wa Ubungo (CHADEMA) Saeed Kubenea kifungo cha nje cha miezi mitatu kutokana kosa la kutumia lugha ya matusi dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda ambaye sasa ni Mkuu wa Mkoa […]

Apr-13-2016

myadmin

KESI YA TUMBILI: WATUHUMIWA WALIA GEREZANI

Baadhi ya Washtakiwa katika kesi ya uhujumu uchumi ya usafirishaji wa wanyama Hai 61 aina ya Tumbili wakiongozwa na asakari Polisi walipokuwa wakiwasili katika mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Moshi. Washtakiwa katika kesi ya kusafirisha Tumbili raia wa Uholanzi ,Artem Vardanian na ndugu yake Eduard Vardanyan wakisindikizwa na askari Polisi kuingia mahakamani,Nyuma yao ni mshtakiwa mwingine Idd Misanya […]

Apr-12-2016

myadmin

WANAWAKE NA UONGOZI: KONGAMANO LAZINDULIWA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mhe. Zakia Meghji alipowasili ukumbi wa Mwalimu Nyerere kwa ajili ya kuzindua Kongamano la Wanawake katika Uongozi linalojadili kuendeleza Mazingira kuwezesha kuinua Wanawake ambao bado hawajapata fursa kufikia nafasi za Uongozi. Kongamano hilo lililoandaliwa na Taasisi ya Uongozi limefanyika leo […]

Apr-12-2016

myadmin

TEMESA WAPATA MSASA WA NGUVU

kaimu Mtendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme(TEMESA) Mhandisi Manase Ole Kujan (wa pili kushoto) akipata maelekeo juu ya ufungaji wa moja ya mtambo wa umeme wa nishati ya jua (Solar) kutoka kwa Mhandisi Zuhura Semboji mara baada ya ufunguzi wa mafunzo ya wiki mbili kwa wahandisi na mafundi wa Temesa. kaimu Mtendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme(TEMESA) […]

Apr-12-2016

myadmin

YALIYOJIRI KATIKA ZIARA YA MHE. SENDEKA – BABATI

Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christipher Ole Sendeka akisalimiana na Katibu wa CCM wilaya ya Babati mjini, Benard Ghati alipowasili Ofisi ya CCM wilaya ya Babati mkoani Manyara akiwa katika ziara ya kikazi Viongozi wa CCM wilaya ya Babati mkoani Manyara wakiwa tayari kumpokea Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka alipowasili […]

Apr-12-2016

myadmin

MHE. SENDEKA SASA APIGA HODI MKOANI SINGIDA

Msemaji wa CCM na Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akisalimiana na baadhi ya viongozi alipowasii Ofisi ya CCM wilaya ya Hanang mkoani  Manyara akiwa njioni kwenda Singida leo Katibu wa CCM wilaya ya Hanang, Kajoro Vyohoroka akimpeleka Ofisini, Msemaji wa CCM Ole Sendeka baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Hanang leo […]

Apr-12-2016

myadmin

BARABARA YA NANGANGA-RUANGWA KUWEKWA LAMI

Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa akisalimiana na mwendesha pikipiki maarufu na hodari, Zaina Amour wa kijiji cha Nandagara wilayani Ruangwa Aprili 10, 2016. Alikuwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) ………………………………………………………………………………………. WAZIRI Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa amesema serikali inatarajia kujenga kwa […]

Apr-11-2016

myadmin

YALIYOJIRI KTK ZIARA YA MHE. MAJALIWA HUKO RUANGWA

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary  Majaliwa  (wapilinkulia)  akitoa msaada wa shuka na mito kwa wazazi wote waliojifungua na waliokuwa wakisubiri kujifungua kwenye wodi ya wazazi ya hospitali ya wilaya ya Ruangwa  Aprili 11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea soko kuu la wilaya ya Ruangwa kakagua hali ya […]

Apr-11-2016

myadmin

KANZIDATA YA WATU WENYE ULEMAVU YAANZISHWA RASMI

Naibu Waziri Ofisi ya Wazikri Mkuu (watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akifafanua jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Kanzidata ya watu wenye ulemavu katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Aprili 11, 2016 Naibu Waziri Ofisi ya Wazikri Mkuu (watu wenye Ulemavu)Mhe. Dkt. Abdallah Possi akifuatilia uwasilishwaji wa takwimu za Watu […]

Apr-11-2016

myadmin

“HILI NDILO BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI”: SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR

RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dkt. Ali Mohamed Shein jana Jumamosi, April 9, 2016 ametangaza Baraza la Mawaziri litakalosimamia kazi za serikali kwa kipindi cha uongozi wake wake kwa mujibu wa sheria. Dkt. Shein amesema amepunguza ukubwa wa baraza hilo kutoka wizara 16 hadi kuwa wizara 13, ambapo wizara tatu amezivunja na kuzigawa […]

Apr-11-2016

myadmin

MHE. SENDEKA APIGA HODI MKOANI MANYARA LEO

Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Manyara, baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa huo leo. Msemaji wa CCM, Mjune wa NEC, Christopher Ole Sendeka akisalimiana na Katibu wa CCM mkoa wa Manyara, Ndengaso Ndakubali baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Manyara kuanza […]

Apr-11-2016

myadmin

WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZILIZOPO AFRIKA MASHARIKI

Mbunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Makongoro Nyerere (katikati) akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa idara ya Habari Maelezo, jijini Dar es Salaam. (Picha na Rabi Hume) Wananchi wa Tanzania wametakiwa kuchangamkia nafasi za kufanya baishara zilizopo kwa nchi za Afrika Mashariki kutokana na kuwepo makubaliano ambayo yanawapa wananchi wa nchi za Afrika […]

Apr-11-2016

myadmin

MHE. SENDEKA ALONGA BABATI

Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akionyshwa na Katibu wa CCM mkoa wa Manyara, Ndengaso Ndakubali (kulia), jinsi Jengo la Ofisi ya CCM mkoa huo, lilivyoungua moto hivi karibuni, Sendeka alipokagua jengo hilo, leo Aprili11, 2016, akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Manyara. Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka, […]

Apr-11-2016

myadmin

LOWASSA APOTE MWELEKEO: ACHA KUWAPOTOSHA WANANCHI

  Aliyekuwa mgombea Urais wa UKAWA kupitia CHADEMA, Ndugu Edward Lowassa, Aprili 7, 2016 alifanya mazungumzo na Wanazuoni kutoka katika vyuo vikuu vya ndani na nje ya nchi. Katika mazungumzo hayo, Ndugu Lowasa aligusia masuala mbalimbali ya Kitaifa yakiwemo hali ya siasa nchini, kuachisha kazi watumishi wenye tuhuma mbalimbali, na kile alichokiita tatizo la mfumo […]

Apr-10-2016

myadmin

KANU LEO ATOA MAFUZO YA SOKA KWA TAIFA LA KESHO

Mchezaji nyota wa zamani wa timu ya taifa ya Naijeria, Nwanko Kanu ambaye kwa sasa ni balozi wa makampuni ya StarTimes barani Afrika akizungumza na watoto mara baada ya  mafunzo ya mpira wa miguu wakati alipotembelea katika kituo cha michezo ya Jakaya Kikwete kilichopo Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam. Mchezaji nyota wa zamani wa timu ya […]

Apr-09-2016

myadmin

SHUJAA SONIA AREJEA NCHINI NA USHINDI MWANANA

Katibu Mkuu wa klabu ya Dar Swim Club (DSC), Inviolata Itatiro (kushoto) akikabidhi shada la maua kwa muogeleaji aliyeshinda medali tatu mjini Dubai, Tumiotto (kulia) mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere jana. Kati kati ni katibu mkuu wa chama cha kuogelea (TSA), Ramadhan Namkoveka. Muogeleaji nyota wa Tanzania, […]

Apr-09-2016

myadmin

WAZIRI JENISTA ATOA UBANI KWA WAFIWA MAAFA YA KAWE

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagamaakitoa ubani kwa Gaudensia Deogratius aliyefiwa na watoto wawili na mume baada ya kufunikwa na kifusi Kawe Ukwamani Dar Es Salaam Aprili 9, 2016 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. […]

Apr-09-2016

myadmin

YANGA YASHINDWA KUONYESHA MAKALI YAKE: YAENDA JANGWANI NA DROO

MPIRA UMEKWISHAAAAAAA….Evouma anajirusha na kuanguka ndani ya eneo la hatari lakini wamuzi kutoka Ivory Coast anamuambia amka twende Katika dakika 2 za nyongeza, Yanga wanagongeana vizuri lakini umaliziaji unakuwa ni uleule DAKIKA 4+ ZA NYONGEZA Dk 87 hadi 89 timu zaidi zinagongeana pasi ambazo hazina manufaa kwani hakuna hata moja iliyopiga shuti lililolenga lango Dk […]

Apr-09-2016

myadmin

KIKUNDI CHA ALBINO CULTURE TROUP CHA WILAYANI TEMEKE “CHATINGA OFISINI KWA WAZIRI”

Naibu Waziri Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura wa kwanza kulia akiongea na wasanii wa kikundi cha sanaa na utamaduni cha Albino Revolution Troup kutoka Wilayani Temeke walipomtembelea ofisini kwake kuzungumzia changamoto mbalimbali zinazowakabili walemavu katika kutekeleza majukumu yao ya kisanaa, kulia kwa naibu waziri ni Mkurugenzi wa kikundi hicho Bw. Titto Mtanga. Mkurugenzi […]

Apr-08-2016

myadmin

MHE SPIKA NDUGAI AWAKARIBISHA WANA MAREKANI

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kulia) akizungumza na Bwana Tye Ferrell kutoka Shirika la Utafiti la Tetra Technology lililopo nchini Washington DC Marekani, pamoja na Makamu Mkuu wa Chuo cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mkandala (katikati) wakati walipomtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam 08 Aprili, 2016. […]

Apr-08-2016

myadmin

WANA HABARI MWANZA WAPIGWA JEKI

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella (aliyesimama) akizungumza na wadau wa sekta za Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo (hawapo pichani) wakati wa ziara ya Mhe. Nape Nnauye kukutana na wadau hao jana Jijini Mwanza pamoja na kutoa vitendea kazi kwa maafisa habari wa mkoa huo na kutembelea viwanja vya michezo na vituo vya […]

Apr-08-2016

myadmin

SENDEKA: LOWASSA ANADANGANYA WATANZANIA KUTAFUTA MASLAHI KISIASA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Aliyekuwa mgombea Urais wa UKAWA kupitia CHADEMA, Ndugu Edward Lowassa, Aprili 7, 2016 alifanya mazungumzo na Wanazuoni kutoka katika vyuo vikuu vya ndani na nje ya nchi. Katika mazungumzo hayo, Ndugu Lowasa aligusia masuala mbalimbali ya Kitaifa yakiwemo hali ya siasa nchini, kuachisha kazi watumishi wenye tuhuma mbalimbali, na kile […]

Apr-08-2016

myadmin

MAMA GRACA MACHEL ATINGA OFISINI KWA WAZIRI SIMBACHAWENE

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. George Simbachawene (kulia) akiongea na Mama Graca Machel (kushoto) alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. George Simbachawene akiongea na Mama Graca Machel (hayupo […]

Apr-07-2016

myadmin

GAZETI LA TANZANIA DAIMA “KUPANDISHWA KIZIMBANI”

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine ameanza taratibu za kulifikisha mahakamani gazeti la kila siku la Tanzania Daima ikiwa ni pamoja na wamiliki na wachapaji wake kwa kumhusisha na njama za upangaji matokeo ya michezo ya Ligi Daraja la Kwanza. […]

Apr-07-2016

myadmin

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE KUMBUKUMBU YA KARUME

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akijiandaa kuweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Muasisi ASP Hayati Sheikh Abeid Amani Karume wakati wa Dua maalum ya kumbukumbu ya kifo cha Muasisi huyo inayoadhimishwa kila mwaka ifikapo April 07, Kisiwandui Zanzibar, […]

Apr-07-2016

myadmin

MWENYEKITI WA CCM RAIS MST. KIKWETE ATEMBELEA UHURU PUBICATIONS LTD NA UHURU FM

Kaimu Mhariri Mtendaji wa Uhuru ublications Limited, Wachapishaji wa magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, Ramadhani Mkoma, akimweleza jambo, Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaa Kikwete alipotembelea Ofisi za Kampuni hiyo, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Uhuru Publicatiions Ltd […]

Apr-07-2016

myadmin

RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI SHUGHULI ZA KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA KIMBARI: RWANDA

Na Mwandishi Maalumu, RWANDA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wameungana na wananchi wa Rwanda kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 22 ya tangu kutokea kwa mauaji ya kimbari yaliyosababisha vifo vya watu takribani milioni 1. Maadhimisho hayo yamefanyika katika eneo la Gisozi Mjini Kigali, yalipo […]

Apr-07-2016

myadmin

ATAKAYESHINDWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKE KUSWEKWA RUMANDE

Na Masanja Mabula –Pemba   MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman amesema Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya pamoja na Baraza la Mji Wete  , ambaye atashindwa kutekeleza wajibu wake , atatumia nguvu alizonazo  kisheria  kumuweka rumande masaa 24 , kwani atakuwa ni chanzo cha kukosekana mapato ya Serikali .   Aliesema kuwa ni […]

Apr-06-2016

myadmin

CHUO CHA TASUBA BAGAMOYO CHAPOKEA UGEZI MZITO

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni (TaSUba)  Bw. Michael Kadinde wa kwanza kushoto akimfafanulia jambo Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia wakati wa ziara ya Mh. ya Mheshimiwa Waziri aliyoifanya katika Taasisi hiyo iliyopo Bagamoyo kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili. (Picha na Benjamin […]

Apr-06-2016

myadmin

MALI MBALI X 2 ZILIZOINGIZWA NCHINI KINYUME NA SHERIA ZAKAMATWA

Mkuu wa Idara ya Usalama na Ubora wa Chakula wa (ZFDB) Bi. Aisha Suleiman akizungumza na wandishi wa habari kuhusu kukamatwa mafuta yaliyoingizwa nchini kinyume na sheria yenye thamani ya miliono 40. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzuibar. Wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakifungua Godauni lenye mafuta ya kupikia yanayokaribia kumaliza mda […]

Apr-06-2016

myadmin

“TUNATAKA MAWAZIRI SHUPAVU”: MHE. HAMAD RASHID – ZENJI

Ali Issa Maelezo, Zanzibar  Mwakilishi mteule wa Chama cha Alliance for Development Change (ADC) Hamad Rashid Mohammed, amemuomba Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, atakapounda serikali achague watendaji wenye utaalamu wanaoweza kuisaidia serikali kuinua uchumi wake. Akichangia hotuba ya Rais baada ya kuapishwa kuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi, Rashid amesema kupewa nafasi kwa […]

Apr-06-2016

myadmin

Watoto wa kike 20,000 kupata elimu kupitia Mfuko wa Graca Machel (Graca Machel Trust)

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. George Simbachawene (kulia) akiongea na Mama Graca Machel (kushoto) alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. George Simbachawene (kulia) akiagana na Mama Graca Machel […]

Apr-06-2016

myadmin

MREMA “ASALIMU AMRI” KWA MBATIA – KESI YA UBUNGE VUNJO

Na Dixon Busagaga    MBUNGE wa jimbo la Vunjo ,James Mbatia (TLP) ameshinda kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia chama cha Tanzania Labour (TLP)  Augustine  Lyatonga Mrema .   Mbatia ameshinda kesi hiyo baada ya upande wa mlalamikaji (Mrema) kuamua kufuta shauri hilo kwa hati maalumu iliyowasilishwa katika […]

Apr-05-2016

myadmin

NATAKA LIST YA WATUMISHI HEWA “NDANI YA SIKU SABA” – MHE KAIRUKI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi Angelina Kairuki akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mchakato unaoendelea wa kubaini watumishi hewa Serikalini, mapema hii leo jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimali Watu toka Ofisi ya Rais Utumishi akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati Waziri […]

Apr-05-2016

myadmin

YALIYOJIRI KTK ZIARA YA MHE. MBARAWA WILAYANI NGARA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (katikati) akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Sekta ya Ujenzi Eng. Joseph Nyamhanga (kushoto) na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Eng. Patrick Mfugale wakati akikagua Daraja la Rusumo wilayani Ngara. Muonekano wa barabara ya Nyakahura-Rusumo inayounganisha Tanzania na Rwanda kupitia Daraja […]

Apr-05-2016

myadmin

RAILA ODINGA AONDO CHATO TAYARI KURUDI KENYA.

Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya Raila Odinga akiagana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita. Odinga alifika Chato juzi akiwa na familia yake kwa ajili ya kumpongeza Mhe. Rais pamoja na kushiriki pamoja Ibada ya jumapili ya pili ya Pasaka […]

Apr-04-2016

myadmin

KLABU YA AFRICAN LYON YAPATA MWENYEKITI MPYA: BILIONEA AL FAHIM

  Mfanyabiashara maarufu wa kiarabu Dk Sulaiman Al-Fahim ametangazwa kuwa mwenyekiti mtendaji wa klabu ya African Lyon ambayo itashiriki ligi kuu ya Tanzania Bara msimu ujao. Mmiliki wa klabu ya African Lyon, Rahim Kangezi alisema kuwa waliamua kumuomba Al Fahim kuwa kushika nafasi hiyo kutokana na uzoefu wake katika michezo hasa mpira wa miguu mbali […]

Apr-04-2016

myadmin

usikose hii


 

 

 

 

KARIBU SANA!

TUAMBIE NEWS

Inakujali wakati wote.

Usisahau kupost hii article kwenye facebook yake!!