Knowledge Center/Elimu

USAFI DAR SIO NGUVU YA SODA TENA: MIKAKATI YAIMARISHWA

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda akiongozana na Diamond Plutnamz huku ulinzi ukiwa umeimarishwa wakati wa matembezi hayo yaliyofanyika leo kwa ajili ya kuhamasisha wakazi wa jiji la Dar es salaam kufanya usafi katika maeneo yao.Haya ni miongozi mwa matukio yaliyojiri wakati wa matembezi hayo ya kuhamashiwa wakazi wa jiji […]

Apr-30-2016

myadmin

MAPENDEKEZO YA SHERIA YA WAZEE KUWASILISHWA BUNGENI

NAIBU WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla amesema Serikali imekamilisha mapendekezo ya uundwaji wa Sheria ya Wazee ambayo yatawasilishwa katika mkutano wa Bunge wa Septemba. Dk. Kigwangalla aliyasema hayo jana (Ijumaa, Aprili 29, 2016) wakati  akitoa ufafanuzi kwa Viongozi wa Mtandao wa Wazee waliomtembelea Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa […]

Apr-30-2016

myadmin

Tanzania: Mount Kilimanjaro Wins Africa’s Leading Tourist Attraction Award

MOUNT Kilimanjaro, the highest mountain in Africa, and the highest freestanding mountain in the world, has been declared Africa’s leading tourist attraction in 2016 during the World Travel Awards Africa and Indian Ocean Gala Ceremony in Zanzibar. A statement issued by the Tanzania Tourist Board (TTB), yesterday said the red carpet event attended by hundreds […]

Apr-29-2016

myadmin

SGA SECURITY YAGAWA VIFAA VYA USALAMA BARABARANI

Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA Security Bw. Eric Sambu akikabidhi koti maalum la usalama barabarani Bw. Thobias Msua  mmoja wa waendesha Bodaboda wa Mbezi Tangibovu jijini Dar es salaam wakati wakati kampuni hiyo ilipotoa msaada wenye thamani ya shilingi milioni 4 na wametoa msaada huo kwa waendesha  bodaboda zaidi ya 4000, makabidhiano hayo […]

Apr-29-2016

myadmin

UZAZI WA MPANGO NI MUHIMU SANA

Mtaalam wa masuala ya uzazi wa mpango kutoka Marie Stopes Tanzania, Bi. Ester Meena akitoa elimu ya uzazi wa mpango kwa wananchi wa kijiji cha Itobo, Itirima – Simiyu mapema wiki iliyopita. Elimu hiyo ya uzazi wa mpango iliendana na huduma ya upimaji wa afya ikiwa ni pamoja na kutoa huduma ya uzazi wa mpango. […]

Apr-29-2016

myadmin

SERIKALI YAZIDI KUPAMBANA NA UGONJWA WA MALARIA NCHINI

Na Beatrice Lyimo-MAELEZO 27/04/2016 Kufanikiwa kwa juhudi za Kutokomeza ugonjwa wa Malaria kutaufanya ulimwengu kuwa mahali pazuri na salama pa kuishi kwa kizazi hiki na vizazi vijavyo na kuwawezesha mamilioni ya watu kufikia malengo yao kimaisha. Hivi karibuni Tanzania imeungana na nchi nyingine Ulimwenguni kuadhimisha siku ya Malaria duniani ambapo ni maalumu kwa ajili ya […]

Apr-29-2016

myadmin

JAMII YASHAURIWA KUWAPELEKA WATOTO KWENYE CHANJO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Mpoki  Ulisubisye akifafanua jambo kwa waandishi wa habari. ……………………………………………………………………………………………………… Na Magreth Kinabo- Maelezo  Jamii imeshauriwa  kuwapeleka watoto wote wanaostahili kupata chanjo    walio chini ya umri wa miaka mitano katika vituo vya afya ili waweze kupatiwa chanjo  ili kuweza kutokomeza maradhi na kupunguza vifo vya […]

Apr-29-2016

myadmin

TANAPA YAKABIDHI MABATI 2800 KUSAIDIA UJENZI WA MAABARA NA ZAHANATI WILAYANI SERENGETI

  Mbunge wa Jimbo la Serengeti Mhe. Marwa Ryoba (kushoto) akipokea msaada wa mabati kutoka kwa Meneja Ujirani Mwema wa TANAPA Bw. Ahmed Mbugi wilayani Serengeti   ……………………………………………………………………………   Na Jacquiline Mrisho – Dar es Salaam   Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limekabidhi jumla ya mabati 2800 kwa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara kusaidia ujenzi wa maabara 15 […]

Apr-29-2016

myadmin

TIGO YATOA VISIMA 12 VYA MAJI KWA VIJIJI 12 SINGIDA

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Gerson Lwenge (katikati)akikata utepe katika makabidhiano ya visima 12 vyenye thamani ya millioni 174 kutoka Kampuni ya Tigo akiwa na Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Kaskazini George Lugata(kulia),na kushoto ni mkuu wa mkoa wa Singida  Mhandisi Mathew Mtigumwe, katika kijiji cha Mtinko, mkoa wa Singida juzi.  Waziri wa Maji […]

Apr-29-2016

myadmin

VIONGOZI WA KISIASA WAFANYA BIASHARA,WATAKIWA KUWAJALI NA KUWATHAMINI WATOTO WENYE ULEMAVU

Wanafunzi wa shule ya msingi Mreyai iliyopo wilayani Rombo mkoa wa Kilimanjaro wakisikiliza kwa makini ugeni wa kaimu katibu mkuu uvccm taifa Shaka Hamdu Shaka wanafunzi na ugeni ukisikiliza Risala iliyo somwa na mmoja wa wanafunzi walemafu katika shule hiyo Kaimu Katibu Mkuu Shaka Hamdu Shaka akipokea Risala ya Wanafunzi Mkuu wa shule ya msingi Mreyai […]

Apr-29-2016

myadmin

BENKI YA EXIM YAZINDUA MASHINE YAKE YA KWANZA YA KUWEKA PESA KWENYE AKAUNTI

Mkuu wa  Huduma za matawi Benki ya Exim Tanzania, Bw Eugine Massawe (kulia) pamoja na Meneja Mkuu wa kampuni ya Pacific International Lines, PIL Bw. Kevin Stone wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa mashine ya kuweka pesa (CDM) ya benki hiyo itakayowawezesha wateja wa kampuni ya PIL kuweka pesa kwenye akaunti zao moja kwa moja bila […]

Apr-28-2016

myadmin

BANDARI YA DAR KUUNGANISHA SINGAPORE NA EA COMMUNITY

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Biashara na Viwanda wa  Singapore, Dkt. Koh Poh Koon (kulia kwake) na ujumbe wake, Ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Aprili 27, 2016. Kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana  na Waziri wa Biashara na Viwanda […]

Apr-28-2016

myadmin

WAANDISHI ZANZIBAR WAPEWA SEMINA JUU YA GONJWA LA KIPINDUPINDU

Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Muh’d Dahoma akifungua mafunzo ya siku moja kwa wandishi wa Habari kuhusu maradhi ya kipindupindu katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazimmoja Mjini Zanzibar. Mkuu wa Kitengo cha Elimu ya Afya Zanzibar Nd. Kheri Makame Kheri akitoa ufafanuzi kuhusiana na maradhi hayo na kuwataka waandishi kujikita zaidi […]

Apr-28-2016

myadmin

JE WAJUAAAA? SIO KILA HOMA NI MALARIA, NENDA UKAPIME

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akipima afya yake kujua kama ana vimelea vya ugonjwa wa malaria baada ya kutoa tamko la maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani mjini Dododma Aprili 25 mwaka huu. …………………………………………………………………………………………… Na Eleuteri Mangi-MAELEZO, Dodoma. La mgambo likialia kuna jambo, safari ya kujenga taifa bora […]

Apr-28-2016

myadmin

RAIS DKT MAGUFULI AOMBWA KUTEKETEZA GHALA LA MENO YA TEMBO LILIOPO NCHINI

Mwenyekiti wa Kampeni ya Okoa Tembo Bw. Shubert Mwarabu (katikati) akielezea kuhus Kampeni yao ya kuokoa Tembo wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika leo katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mjumbe wa Kampeni hiyo Bw. Lameck Mkuburo pamoja na Bw. Arafat Mtui (wa kwanza kulia). (PICHA […]

Apr-28-2016

myadmin

TIGO, MGAHAWA WA SAMAKI SAMAKI WAINGIA UBIA

Meneja wa Huduma za Masoko Tigo, Olivier Prentout (kushoto) akiongea na wanahabari wakati wa kusaini mkataba wa ushirikiano wa kibiashara kati ya kampuni ya simu za mkononi ya Tigo na Mgahawa wa Samaki samaki. Kulia ni Afisa Mkuu wa Maendeleo wa Mgahawa Samaki samaki, Saum Wengert. Meneja wa Huduma za Masoko wa kampuni ya simu […]

Apr-28-2016

myadmin

Please, keep our cities clean

By Andrew Massawe So I have been thinking about that space; that space between buildings and the road…. that space so many property owners seem to neglect to upkeep; that place that has got you asking why is Dar es Salaam so dirty…. if we all took ownership to maintain (via guidelines) the landscaping and […]

Apr-21-2016

myadmin

TTB YAKUTANA NA WADAU WA UTALII

  Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania, Bi. Devota Mdachi akiongea na wadau wa Utalii katika ukumbi wa mikutano wa Bodi ya Utalii Tanzania. Katibu Mtendaji wa Shirikisho la Utalii Tanzania, Bw. Richard Rugimbana akitoa maelezo katika moja ya mada zilizoongelewa kwenye mkutano huo. Aliyekaa upande wa Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Chama cha […]

Apr-21-2016

myadmin

MAKATIBU WAKUU HABARI, UTALII, UTAMADUNI NA MICHEZO ZANZIBAR WAKABIDHIANA OFISI

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan Omar kushoto akikabithiwa nyaraka na Katibu Mkuu Mstaafu Ali Mwinyikai katika makabidhiano yaliyofanyika katika ukumbi  wa Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo Mnazi Mmoja Zanzibar . ………………………………………………………………………………………………… Mwashungi Tahir Maelezo Zanzibar  Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo Omar Hassan […]

Apr-21-2016

myadmin

YALIYOJIRI KTK ZIARA YA WAFANYABIASHARA WA OMAN NCHINI

Na: Immaculate Makilika – MAELEZO. Tanzania na Oman zimesaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano baina ya Tanzania Chambers of Commerce  na Oman Chambers of Commerce ili  kuanzisha Kampuni ya Oman Tanzania Investment (OTIC) kwa lengo la kutafuta fursa za uwekezaji zili zoko Tanzania na Oman. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mkuu […]

Apr-21-2016

myadmin

TIGO WAKABIDHI MADAWATI 400 KWA WILAYA YA MWANGA

   Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Meck Sadiki akikabidhi madawati 400 yenye thamani ya shilingi milioni 66   kwa mwenyekiti wa halmashauri ya Mwanga Theresia Msuya yaliotolewa na Kampuni ya Tigo, Kulia ni Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini George Lugata.   Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Meck Sadiki(Kulia), akiwa katika picha ya pamoja na […]

Apr-21-2016

myadmin

TIGO YATANGAZA VIDEO ZA YOU TUBE KUPATIKANA BURE USIKU KWA WATU WOTE

 Mkuu wa Kitengo cha Vifaa vya Mawasiliano wa Tigo, David Zacharia  (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu huduma iliyoanzishwa na kampuni hiyo ya kutiririsha  video za YouTube bure  ambayo itakuwa inapatikana kwa wateja wote wa Tigo kuanzia saa 6.00 usiku hadi saa 12.00 alfajiri. Kulia ni Meneja […]

Apr-21-2016

myadmin

MAONESHO YA NNE YA MADINI YA KIMATAIFA ARUSHA GEM FAIR YAFUNGULIWA JIJINI ARUSHA

Mkuu wa wilaya ya Arusha,Fadhili Nkurlu akifungua maonesho ya kimataifa ya madini ya Arusha Gem Fair kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Felix Ntibenda leo katika hoteli ya Mount Meru .   Kaimu Kamishna wa Madini nchini,Mhandisi Ally Samaje akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo,alisistiza nia ya serikali kupambana na utoroshwaji wa madini […]

Apr-20-2016

myadmin

REA WATOA MSAADA KWA WAHANGA WA MAFURIKO KIJIJI CHA KISANGA IRINGA

  Mtendaji wa Kitongoji Bi sarah Mbilinyi akipokea taa hizo toka kwa Mkuu wa wilaya Iringa bwana Richard Kasesela. Wakala wa Nishati Vijijini REA, wametoa msaada wa taa za kutumia mionzi ya jua katka kijiji cha Kisanga kitongoji cha Kiala; Wilaya ya Iringa Kitongoji hiki ni kile kilichokumbwa na mafuriko na kaya zaidi ya 100 […]

Apr-20-2016

myadmin

SERIKALI KUCHUNGUZA MKATABA WA JENGO LA MACHINGA COMPLEX

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Paul Makonda akizungumza na wafanyabiashara katika Jengo la Machinga Complex Dar es Salaam jana, kuhusu uendeshaji wa jengo hilo.  Makonda akiwasili katika viwanja vya Jengo la Machinga Complex kuzungumza na wafanyabiashara na wadau wengine. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi wengine ni viongozi wa jengo […]

Apr-19-2016

myadmin

ZANTEL YAKABIDHI COMPUTER 21 KWA VYUO VYA WALIMU ZANZIBAR.

Afisa Mtendaji wa Millcom Africa Bi Cynthia Gordon akimkabidhi Computer Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma, anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Zantel Tanzania Benoit Janin, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Hyatt Zanzibar   Afisa Mtendaji wa Millcom Africa Bi Cynthia Gordon akimkabidhi Computer Waziri wa […]

Apr-19-2016

myadmin

KAMPENI YA CHANJO YA MINYOO KWA WATOTO CHINI YA MIAKA MITANO

Na Masanja Mabula –Pemba  WAKATI  kampeni ya utoaji wa Matone ya Vitamin ;A; na Dawa za Minyoo kwa watoto waliochini ya miaka mitano ,   likitarajia kufanyika tarehe 23 mwezi huu , uteuzi wa watendaji kwa ajili ya zoezi hilo umelalamikiwa na  baadhi ya masheha wa Wilaya ya Wete wakidai umefanyika kwa kujuwana . Wakizungumza na […]

Apr-19-2016

myadmin

USIPITWE……..SHINDANO LA “AJIRA YANGU BUSINESS PLAN COMPETITION” LAJA

Bo Beng’i Issa Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za shirika la kazi duniani ILO jijini Dar es salaam wakati alipotangaza  shindano hio kutoka kushoto ni Nancy Lazaro Mratibu wa Vijana ILO na katikati ni Anna marie Kiagi Mratibu wa ILO UNDAP. Bo Beng’i Issa Katibu […]

Apr-18-2016

myadmin

The advantages of Networking in Business Arenna

Networking is an important skill one needs to master in the current business world. One might wonder whether networking still holds any importance in this era of social media. My opinion is that, social media will never take away the importance of traditional networking but rather compliments it. Social media has made it easy for […]

Apr-17-2016

myadmin

Haya yanavuti: Lakini usisaha kufanya uchunguzi binafsi!!!!!!

               

Apr-17-2016

myadmin

Kwa wapendao afya zao

                               

Apr-17-2016

myadmin

NAIBU WAZIRI DKT. KIGWANGALLA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla akikagua baadhi ya nyaraka za kituo cha tiba Mbadala cha Korea Medical Clinic kilichopo Kariako0 Mtaa wa Livingstone na Mahiwa jijini Dar es Salaam akiwa katika ziara ya kushtukiza ambapo alifungia vituo viwili vya  Korea Medical Clinic na kituo cha Mwenyekiti […]

Apr-16-2016

myadmin

NATOA “SIKU TISINI TU” UWE UMENUNUA MASHINE YA MIONZI X RAY

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto akiongea na baadhi ya wakazi wa kahama waliofika hospitalini hapo kuangalia wagonjwa wao. Waziri.Ummy Mwalimu akitoa angalizo kwa wagonjwa waliofika kupata matibabu kwenye hospitali ya rufaa ya mkoa wa.shinyanga Mh.Ummy Mwalimu akiwaelekeza kamati ya afya ya wilaya ya kahama mahali linapotakiwa kuwekwa bango linaonesha huduma za wazee inapopatikana. […]

Apr-16-2016

myadmin

CHANIKA KUPATA HOSPITALI YA KISASA

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kulia) na Makamu wa Rais wa Shirika la Koica la nchini Korea Kusini, Taemyon Kwon, wakiweka tofali kwa pamoja kuashiria uweka wa jiwe la msingi la Hospitali ya Chanika iliyopo Manispaa ya Ilala, inayojengwa kwa ufadhili wa nchi hiyo Dar es Salaam jana. Ujenzi huo hadi […]

Apr-16-2016

myadmin

WAZIRI UMMY MWALIMU AZINDUA BARAZA LA USAJILI LA MAZINGIRA

Waziri  afya ,maendeleo ya jamii,jinsia ,wazee na watoto Ummy Mwalimu akiongea na wajumbe wa  baraza jipya  la usajili wa wataalam wa afya ya mazingira nchini(hawapo pichani) kushoto ni Mganga  Mkuu wa Serikali Prof: Bakari Mohammad Baadhi ya wajumbe wa baraza hilo pamoja na maofisa mazingira wakifuatilia hotuba ya Mh. Waziri Ummy Mwalimu Mwenyekiti mpya wa […]

Apr-14-2016

myadmin

DK. KIGWANGALLA AKUTANA NA AFISA MIRADI KUTOKA SHIRIKALA LA IAEA

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Andrea Kigwangalla (wa pili kushoto) akisikiliza kwa makini mazungumzo na Afisa  miradi anayesimamia miradi ya mionzi barani Afrika kutoka wakala wa Kimataifa wa nguvu za Atomiki (IAEA), Bw. Solomon Haile (wa kwanza kulia). Wengine ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Tiba anayeshughulikia magonjwa […]

Apr-14-2016

myadmin

MHE NASHA ATEMBELEA MAGEREZA TANGA NA KUJIONEA……

Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe. William Ole Nasha (Mb) anatarajia kufanya ziara ya kikazi Gereza Kwamugumi, Korogwe Mkoani Tanga. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na kusainiwa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja inaeleza kuwa lengo kuu la ziara hiyo ni kujionea maendeleo ya mradi wa mabwawa ya […]

Apr-14-2016

myadmin

ELIMU YA MARADHI YASIYOAMBUKIZA YATOLEWA LEO

Mkuu wa Kitengo cha maradhi yasiyoambukiza (NCD) Omar Mwalimu Omar akitoa elimu  kwa wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Kiembesamaki juu ya njia bora za kujikinga na  maradhi yasiyoambukiza ikiwa ni maadhimisho ya siku ya afya Duniani.  Muuguzi kutoka kliniki  ya wagonjwa wa kisukari Hospitali ya Mnazimmoja Bi. Mwanaharusi Shaaban akitoa elimu ya ugonjwa wa […]

Apr-14-2016

myadmin

MTOTO ANAKUWA MKUBWA: TIGO SASA YA PILI KWA UKUBWA KATIKA KAMPUNI ZA SIMU TZ

Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez Ushindani unazidi kupamba moto miongoni mwa kampuni za simu nchini ambapo katika kipindi cha miezi mitatu cha kati ya Oktoba na Desemba mwaka 2015, ni jumla ya watumiaji wapya 1,448,782 tu ambao walijisali kutumia huduma zao za mawasiliano.   Ushindani huu ambao umechochewa na kuingia kwa kampuni mpya katika sekta ya mawasiliano Tanzania, […]

Apr-14-2016

myadmin

WABUNGE WA AFRIKAMASHARIKI WATEMBELEA THE GUARDIAN

 NA K-VIS MEDIA/Khalfan Said …………………………………………………….. Wabunge wa bunge la Arika Mashariki, (EALA), kutokaTanzania, wameendelea na ziara yao ya kutembelea vyombovya habari hapa nchini, ikiwa ni mkakati wa Jumuiya hiyo, kushirikisha vyombo vya habari ili kuwafahamishawananchi wa nchi hizo manufaa ya jumuiya hiyo kwao. LeoAprili 13, 2016, wabunge hao wakiongiozwa na Mwenyekiti wao Mh. Makongoro Nyerere, […]

Apr-13-2016

myadmin

NHC YAFUNGUA OFISI ZAKE ZA MAUZO YA MRADI WA KAWE-711

Unapochepuka kulia utakutana na barabara ya vumbi mbele yako majengo ya mradi wa nyumba za makazi na biashara ya 711 yaliyojengwa kwa mpangilio makini, hapo ndipo zilipo ofisi za mauzo za mradi huo Karibu upate maelezo na kuona maendeleo ya mradi. Geti la kuingilia kwenye mradi wa nyumba za makazi na biashara ya 711 yaliyojengwa kwa […]

Apr-13-2016

myadmin

LANCET TANZANIA LIMITED YAFUNGUA MAABARA YA KISASA MJINI MOSHI.

Maabara ya kisasa ya Lancet  iliyofunguliwa mjini Moshi jirani na YMCA kwa ajili ya kufanya vipimo vya magonjwa mbalimbali ikiwemo magonjwa ya Saratani. Mtafiti wa Magonjwa,Dkt Hemed Kalebu akimuonesha Kaimu mganga mkuu wa mkoa ,Dkt Japhet Boniface ,maeneo mbalimbali alipotembelea maabara hiyo iliyofunguliwa mjini Moshi. Dkt Kalebu akileza jambo kwa kaimu mganga mkuu wa mkoa […]

Apr-12-2016

myadmin

FASTJET YAIBUKA KIDEDEA: YAPATA TUZO NONO

TAARIFA KWA NYOMBO VYA HABARI ………………………………… Dar es Salaam – 11 April 2016 –fastjet, shirika la  ndege la gharama nafuu barani Afrika imeshinda Tuzo ya Shirika la Ndege Linaloongoza Afrika kwa Gharama Nafuu kwenye Tuzo ya  23 ya Mwaka  ya  Usafiri Duniani iliyotolewa Zanzibar, Tanzania  Aprili 9, 2016. Tuzo ya Usafiri ambayo inatambulika  duniani  imepangwa kwa kutambua, kutuza na kusherehekea  mafanikio kwenye  sekta zote muhimu  za usafirishaji  wa kwenye sekta […]

Apr-12-2016

myadmin

PPF WAELEZEA FAO LA WOTE SCHEME NA UCHUMI WA NCHI

    Meneja wa Mfuko wa PPF Kanda ya Kinondoni,Pwani na Tanga,Zahra Kayugwa akizungumza wakati wa semina hiyo.  Fao jipya la Wote Scheme ambalo ni mfumo wa hiari kwa wanachama ulioanzishwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF utasaidia kuwapa fursa watanzania waliopo kwenye sekta isiyo rasmi kukidhi mahitaji na kutambua mchango na ushiriki wa sekta hizo katika kukuza uchumi. […]

Apr-12-2016

myadmin

“SI KWELI KABISA”: HAKUNA KODI YA NG’OMBE NCHINI

Wizara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi imekanusha kodi ya ng’ombe iliyoripotiwa na Umoja wa wafanyabiashara wa Mifugo na Mazao yake wa Wilaya ya Kinondoni. Taarifa hii imetolewa na Katibu Mkuu (Mifugo) wa Wizara hiyo Dkt. Mary Mashingo baada ya kuyaona malalamiko ya wafanyabiashara hao kwenye baadhi ya vyombo vya habari nchini. Katika taarifa hiyo wizara imekanusha […]

Apr-12-2016

myadmin

UJUMBE WA MAWAZIRI NA WAFANYABIASHARA WA CZECH REPUBLIC WAFANYA KONGAMANO LA UWEKEZAJI DAR.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo na Misitu  wa Serikali ya Czech Republic Bw. Dusan Benza akizungumza katika kongamano la wafanyabiashara wa nchi hiyo na watanzania lililofanyika leo kwenye hoteli ya New Africa jijini Dar es salaam. Mawaziri wawili Kilimo na Viwanda wa Jamhuri ya Jamhuri ya Czech  wakiongozana na wafanyabiashara zaidi ya thelathini wako […]

Apr-12-2016

myadmin

“KWA MIAKA 18” ZAHANATI YA KIJIJI CHA UTURO “HAIKUWA NA VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI”

Na.Catherine Sungura, Mbarali Waziri wa afya,maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto Ummy Mwalimu,,ameipongeza zahanati ya uturo wilayani Mbarali kuwa ni ya mfano Tanzania kwa kuzuia vifo vitokanavyo na mama wajawazito  na watoto wachanga Waziri Ummy ametoa pongezi hizo mwishoni mwa wiki alipoenda kutembelea zahanati hiyo na kuwashukuru wananchi wa kijiji hicho kwa kushirikiana katika kuzuia vifo […]

Apr-11-2016

myadmin

TIGO WAADHIMISHA SIKU YA KARUME DAY

 Kamishna Msaidizi wa jeshi la polisi Tanzania Mkadam Khamis Mkadam,ambaye ni  Kamanda wa Polisi mkoa wa mjini Magharibi, Unguja, akimkabidhi Bi.Fauzia Mohamed Hassan mkaazi wa Fuoni zawadi kutoka Tigo katika maadhimisho ya Karume dTigo waadhimisha siku ya Karume day na wateja wake, katika ofisi za Tigo Unguja, Zanzibar.    Kamishna Msaidizi wa jeshi la polisi Tanzania,  Mkadam […]

Apr-11-2016

myadmin

TAASISI YA BASILA MWANUKUZI EMPOWERMENT FOUNDATION: “SASA IPO HEWANI”

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu (wa pili kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Taasisi ya Basila Mwanukuzi (Basila Mwanukuzi Empowerment Foundation) yenye lengo la kusaidia wanawake kuinua uwezo wao wa kibunifu ili kujiinua kiuchumi  hasa Mama Lishe kwa kushirikiana na wadau mbali mbali. Uzinduzi huo umefakika leo Aprili 11, 2016 kwenye Ukumbi […]

Apr-11-2016

myadmin

MHE. WAZIRI UMMY ZIARANI HOSPITALI YA RUFAA MBEYA

Na Catherine Sungura, Mbeya Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Mhe. Ummy Mwalimu amefanya ziara katika hospitali zilizopo Mbeya na kuzitaka hospitali zinazotumia mfumo wa ukusanyaji mapato wa kieletroniki wasibweteke na mapato wanayoyakusanya kila siku. Rai hiyo imetolewa na aziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy […]

Apr-09-2016

myadmin

MHE. WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBLEA HOSPITALI YA BENJAMINI MKAPA

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa kaikagua mashine ya MRI katika hospitali ya Benjamin Mkapa kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma wakati alipoitembela  Aprili 9, 2016. Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, , Dkt. Hamis Kigangwala. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu.) Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Khamis Kigangwala wakikagua mashine ya […]

Apr-09-2016

myadmin

KIPINDUPINDU HAKIENEZWI KWA KUROGWA!!!!

Na.catherine Sungura,Kyela  Wananchi wa wilaya ya kyela wametakiwa kuachana na mila potofu na kupelekea kufanya mauaji ya watu kwa kuhusisha ugonjwa wa kipindupindu ni ugonjwa unaoletwa kwa imani ya kishirikina Hayo yamesemwa leo na waziri wa afya,maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto  Ummy Mwalimu,wakati alipofanya ziara katika wilaya hii na kuongea na watendaji wa halmashauri. Mh.Ummy […]

Apr-09-2016

myadmin

JIPU LA HOSPITALI YA RUFAA IRINGA “LAPEWA MWEZI MMOJA TU”

Kulia Mganga Mkuu mfawidhi wa hospitali ya Rufaa Iringa dkt Robert Salim, akitoa maelezo ya uteketezaji wa taka katika hospatali ya Rufaa kwa  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Luhaga Mpina na Ujumbe wake walipokagua mazingira ya hosptali hiyo leo. Katikati Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira, […]

Apr-09-2016

myadmin

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AZINDUA MRADI WA UJENZI WA NYUMBA ZA PALM VILLEGE MSASANI BEACH

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitembelea Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Palm Village unaodhaminiwa na kujengwa na Kampuni ya Uwekezaji ya Group 6 ya China. Mradi huo unaojengwa katika eneo la Msasani Beach Waterfront unategemewa kutoa ajira jumla ya watu 2000 utakapokamilika. Kuli Mwenyekiti wa Kampuni […]

Apr-09-2016

myadmin

LEO KANU WA STARTIMES AIBUKIA MBAGALA NA MISAADA KEDE-KEDE

Nwankwo Kanu ambaye pia ni balozi wa makampuni ya StarTimes barani Afrika akikabidhi msaada wa vyakula na vitu mbalimbali kwa Mwalimu Mkuu wa Abdul Mgomi na wanafunzi wa shule ya Msinga Mbagala Maji Matitu mchanganyiko Wilayani Temeke jijini Dar es salaam wakati alipoitembelea shule hiyo na kukutana na wanafunzi na uongozi. Nwankwo Kanu ambaye pia […]

Apr-08-2016

myadmin

HOSPITALI YA BAGAMOYO MAJIPU YAMEZIDI; “MTUMBUAJI ANAHITAJIKA HARAKA”!!

MWENYEKITI wa jumuiya ya wazazi wilayani Bagamoyo,Abdul Sharif,kushoto akimkabidhi vifaa mbalimbali ikiwemo sabuni mgonjwa mzee Sais Selemani ,wakati jumuiya ya wazazi ilipotembelea hospitali ya wilaya ikiwa ni kuadhimisha miaka 61 ya jumuiya ya wazazi kiwilaya. (Picha na Mwamvua Mwinyi) ……………………………………………………………………………………………… Na Mwamvua Mwinyi,Bagamoyo ……………………………………………… HOSPITALI ya wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani,inakabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo ukosefu […]

Apr-08-2016

myadmin

MHE. UMMY MWALIMU SASA ATINGA MKOANI MBEYA KUTOKEA MORO

 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu (katikati), akihutubia wakati wa uzinduzi wa duka na ghala la Bohari ya Dawa (MSD), mkoani Mbeya leo hii. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Laurean Bwanakunu na Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya MSD, Profesa Idrisa Mtulia.  Waziri Ummy akikata utepe kuashiria uzinduzi wa […]

Apr-08-2016

myadmin

RC SADIK ATEMBELEA KINAPA

  Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Mhe Said Meck Sadik amefanya ziara katika Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro(KINAPA) katika malango ya Marangu na Machame      

Apr-07-2016

myadmin

WAZIRI UMMY MWALIMU ATUA IFAKARA, MOROGORO

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akiongea na wananchi katika hospitali ya Rufaa ya St. Francis pamoja na wajawazito wanaosubiri kujifungua na ambao wapo chini ya uangalizi wa madaktari. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu amefanya ziara ya siku 1 mjini […]

Apr-07-2016

myadmin

MAAFISA UTAMADUNI NA WASANII BORESHANI SANAA KUTANGAZA UTALII NCHINI

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wadau wa kada anazozisimamia alipofanya ziara jana Mkoani Geita na kukutana na wadau hao pamoja na kutoa vitendea kazi kwa maafisa habari wa mkoa wa Geita. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Geita Mhe. Manzie Magochie na kulia ni Kaimu Katibu Tawala Mkoa […]

Apr-07-2016

myadmin

MADAKTARI WALA RUSHWA “WANYOOSHWE VIKALI”

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Misungwi mkoani Mwanza, Charles Kitwanga (katikati meza kuu) akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Ihelele wilayani Misungwi. Katika hotuba yake, Kitwanga aliwataka wananchi wa jimbo lake washirikiane ili kuliletea maendeleo jimbo hilo na aliwaonya madaktari na wauguzi wilayani humo kuacha tabia […]

Apr-07-2016

myadmin

DAR KUPATA MAJI YA UHAKIKA HIVI KARIBUNI

 Msimamizi wa ujenzi wa Mradi wa bomba jipya la maji kutoka Ruvu Juu Mlandizi hadi Dar es salaam lenye urefu wa km 40 ambalo liko katika hatua  za mwisho  za ujenzi kutoka DAWASA Mhandisi Christian Gava akitoa ufafanuzi wa masuala ya kiufundi kuhusu mradi huo. Kushoto ni Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Jamii wa DAWASA […]

Apr-07-2016

myadmin

MWANASOKA NWANKO KANU AFUNGUA DUKA LA STARTIMES LILILOPO JENGO LA MKUKI MALL JIJINI

Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Star Times Bw. Leo pamoja na Nwanko Kanu Balozi wa Star Times Afrika na  Mchezaji wa zamani wa timu ya Asernal ya Uingereza na timu ya taifa ya Nigeria  wakikata utepea kuashiria uzinduzi rasmi wa duka la Star Times lililopo katika jengo jipya la Mkuki Mall jijini Dar es salaam, […]

Apr-07-2016

myadmin

MCHEZAJI NWANKO KANU ATEMBELEA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE MUHIMBILI LEO

Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Nigeria, Super Eagles, Nwankwo Kanu ambaye pia ni balozi wa makampuni ya StarTimes barani Afrika akiwasili katika Jengo la Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete lililopo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambako amewatembelea wagonjwa wa moyo leo. Kanu atakiwepo nchini kwa muda wa siku tano kushiriki shughuli […]

Apr-07-2016

myadmin

TAARIFA KWA UMMA; KUFUTWA KWA SAFARI ZA NDEGE APRILI 2, 2016

 Tunaomba radhi sana kwa taarifa kwamba  idadi kadhaa ya abiria wetu walishindwa kufika kwenye maeneo  waliyokusudia  jioni ya Aprili 2, 2016. Hii ilitokana na kushindwa kufanya kazi kwa mfumo wa taa kwenye njia ya  kurukia  kwenye uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro na hivyo kukosekana kwa usalama  ambao ungewawezesha marubani wetu  kutua.   Huu ni mfululizo wa matukio […]

Apr-06-2016

myadmin

“OLD FASHIONED VEHICLES” IS “GOLD”: ADVENTUROUS TOURISM SAFARI

Some of the Land Rover Series 1 ready for the adventure safari at Arusha National Park. An organized group of friends from Arusha and Kilimanjaro few minutes before starting their safari at Arusha National Park. Land Rover series 1 lined up before the start of the adventurous safari in Arusha National Park. Now the adventurous […]

Apr-06-2016

myadmin

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA KONGAMANO LA 21 KWA WATAFITI WA UCHUMI WA VIWANDA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti inayohusiana na maendeleo ya Ustawi Nchini (REPOA)  Dk Donald Mmari. kabla ya kufungua Warsha ya 21 ya Mwaka kwa Wasomi na Watafiti wa mambo ya maendeleo ya Uchumi wa Viwanda iliyoanza […]

Apr-06-2016

myadmin

KAMPENI YA MZEE KWANZA YAZINDULIWA MKOANI MOROGORO LEO

Waziri wa Afya Maendeleo ya  Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu  akizungumaza na wandishi wa habari juu ya uzinduzi wa kapeni ya Wazee kwanza toa kipaumbele apate huduma, leo Mkoani Morogoro kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kibwe Stephen Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima y Afya (NHIF)  Michael  Mhando […]

Apr-06-2016

myadmin

VIZIMBUZI VYA STARTIMES VYAWASILI BAGAMOYO

 Ofisa Mtendaji wa Kata ya Yombo iliyopo Bagamoyo mkoani Pwani, Salimu Juma Mavaga (kushoto), akizungumza wakati wa kupokea vizimbuzi ‘ving’amuzi’ vya Kampuni ya StarTimes vilivyo tolewa kwa gharama ya sh,50,000 kwa wananchi wa vijiji vitatu vya  Yombo, Chasimba na Maimbwa wilayani humo jana.  Bibi Maendeleo ya Ustawi wa Jamii wa Kata hiyo, Melitha Kiwanga akizungumza […]

Apr-06-2016

myadmin

KUANZIA SASA WATEJA WATAWEZA “KUPELEKEWA VIFURUSHI HADI MLANGONI”

Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto), akimkabidhi Kaimu Postamasta Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga, moja ya kifurushi kwa ajili ya kupelekwa kwa mteja wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo. Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto), akimkabidhi Kaimu […]

Apr-06-2016

myadmin

UBAKAJI WA WATOTO “SASA MWISHO”

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesikitishwa na kukemea vikali tukio la mzazi kumbaka na kumlawiti mtoto wake wa kufikia mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu, kitendo kilichofanywa na John Donald (35) mkazi wa Kiyangu, Manispaa ya Mikindani mkoani Mtwara.  Tukio hili la kubaka na kulawitiwa ni ukatili wa hali […]

Apr-05-2016

myadmin

WABUNGE WATAKA TANESCO ITUMBULIWE MAJIPU

Meneja Mkuu  wa Tanaleck Zahir Salehe ameiomba serikali irekebishe sheria za manunuzi ili zitoe kipaumbele kwa viwanda vya ndani viweze kukua na kutoa ajira nyingi hivyo kukuza pato la nchi. ……………………………………………………………………………………………………. Na Mahmoud Ahmad,Arusha.   Wabunge wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambao ni Wajumbe wa Kamati ya Viwanda na Biashara wamemtaka Rais John Pombe […]

Apr-05-2016

myadmin

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA ambaye pia ni Mkurugenzi wa Utalii na Masoko Bw. Ibrahim Mussa (kulia) akiongea na Kaimu Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Arusha Bi. Maria Kirombo (kati) na Mhifadhi wa Idara ya Ulinzi Bw. Haima Hera muda mfupi kabla ya kuwasili kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na […]

Apr-05-2016

myadmin

TANESCO LATOA UFAFANUZI KUHUSU MALIPO YA GHARAMA ZA UMEME NCHINI.

 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO),Decklan Mhaiki (kulia) akizungumza na waandishi (hawapo pichani) Dar es Salaam kuhusu malipo ya sasa ya gharama za Umeme nchini.Mwengine ni Kaimu Meneja Mawasiliano na Uhusiano kwa Wateja,Leila Muhaji.  Kaimu Meneja Mawasiliano na Uhusiano kwa Wateja,Leila Muhaji.akiwakaribisha waandishi kwenye mkutano.   Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la […]

Apr-05-2016

myadmin

KUWA NA AFYA BORA “PIA LACHANGIWA NA KULA CHAKULA BORA”

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO ………………………………………… Ni rahisi sana kutamka neno afya, neno hili linajenga dhana ya hali ya ukamilifu kimwili, kiakili, kijamii na kutokuwepo kwa maradhi ambayo huleta hali ya kuwa huru na kutokuwa na hali ya kuumwa au udhaifu wa mwili. Kuwa na afya tu haitoshi, mwanadamu anapaswa kuwa na afya bora ambayo huchukuliwa […]

Apr-04-2016

myadmin

KAMATI YA AFYA YA BUNGE YAITEMBELEA HOSPITALI YA MUHIMBILI LEO

Kamati ya Bunge ya Afya ikiwasili leo asubuhi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kwa ajili ya kukagua shughuli za huduma za afya zinazoendelea kwenye hospitali hiyo. Daktari wa Idara ya Magonjwa ya Dharura na Ajali, Upendo Ndara akiwaongoza wabunge kuona huduma mbalimbali zinazotolewa na madaktari na wauguzi wa idara hiyo Leo. Dk. Upendo […]

Apr-04-2016

myadmin

KAMPUNI YA KLSA SASA YAINGIA PKF

Katika kuhakikisha wanajitanua katika utoaji wa huduma bora za uhakiki na ukaguzi wa hesabu, kampuni ya KLSA Associates ya nchini imejiunga na mtandao wa kimataifa wa makampuni ya hesabu za kifedha na ushauri ya PKF ambapo baada ya kujiunga imebadilika jina kutoka KLSA Associates na kuwa PKF Associates Tanzania. Akizungumza katika halfa ya KLSA kujiunga […]

Apr-04-2016

myadmin

MAKUBALIANO YA KUSAIDI SEKTA YA KILIMO KATI YA TADB NA PASS YAFIKIWA

 Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Thomas Samkyi (Kushoto) akizungumza kabla ya kutiliana saini makubaliano yatakayowezesha wakulima wanaokopa TADB kupata dhamana kutoka PASS. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa PASS, Bw. Nicomed Bohay.Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Thomas Samkyi (Kushoto) akitia saini makubaliano yatakayowezesha wakulima […]

Apr-04-2016

myadmin

DAWASCO “WAISAFISHA” HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI

Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Majisafi na Maji taka Dar es Salaam (Dawasco ) Mhandisi Cyprian Luhemeja akishiriki zoezi la usafi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili na watumishi wa Dawasco. Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco ,Mhandisi Cyprian Luhemeja akiweka maji katika moja ya mashine inayotumika kuzibulia miundombinu ya maji taka ijulikanayo kama Jet […]

Apr-02-2016

myadmin

SIKU YA MAZINGIRA: YALIYOJIRI WILAYANI SIHA

Mkuu wa wilaya ya Siha mkoa wa Kilimanjaro ambaye pia anakaimu wilaya ya Hai,Dk Charles Mlingwa akizungumza na wananchi wakati wa maadhimisho ya mazingira kwenye chanzo cha uzalishaji umeme cha Kikuletwa kinachosimamiwa na Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),kushoto ni Makamu wa Chuo hicho(Utawala na Fedha)Mhandisi Dk Erick Mgaya. Makamu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Mhandisi Dk […]

Apr-02-2016

myadmin

KAMPUNI YA AGANO SAFI “HATIMAYE YAPATA” LESENI YA BIASHARA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dk. Ally Simba (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Kampuni ya Agano Safi, Iyaloo Ya Nangolo leseni ya biashara itakayoiwezesha kutoa huduma za mfumo wa malipo mbalimbali kwa kutumia mtandao ‘malipo ya huduma anuai kwa njia ya kidigitali’ (Digital Payment Services). Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Huduma za Kisheria wa […]

Apr-01-2016

myadmin

TAARIFA KUKATIKA KWA UMEME HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

 

Apr-01-2016

myadmin

WATENDAJI WATAKIWA KUHAKIKISHA USALAMA WA RASILIMALI ZA MISITU

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina akipata maelezo mafupi kutoka kwa Mkururugenzi wa Idara ya Misitu na nyuki kutoka Maliasili Bi. Gladness Mkamba mapema  leo katika kuadhimisha siku ya upandaji miti iliyofanyika ruvu kaskazini Mkoani Pwani. Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na […]

Apr-01-2016

myadmin

TANZANIA NA KUWAIT ZASAINI MAKUBALIANO YA SAFARI ZA ANGA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam mara baada ya kusaini hati ya makubaliano ya safari za Anga kati ya Tanzania na Kuwait. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait, Mhandisi Yousef Al Fozan. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya […]

Mar-29-2016

myadmin

BOHARI YA DAWA MSD “YAPATA UGENI” TO OFISI ZA BUNGE

 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii, Peter Serukamba (kushoto), Wajumbe wa kamati hiyo na Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Banakunu (kulia), wakitembea wakati kamati hiyo ilipotembelea MSD Makao Makuu Keko Dar es Salaam leo asubuhi.  Kaimu Mkurugenzi wa Ugavi wa MSD, Mary Lingo (wa pili kulia), akiwaelekeza wajumbe wa kamati […]

Mar-29-2016

myadmin

WAFANYAKAZI WA TBL ARUSHA WASHIRIKI UZINDUZI WA KAMPENI YA AFYA KWANZA

Wafanyakazi wa kiwanda cha TBL cha Arusha wakifanya mazoezi ya kukimbia wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Afya Kwanza mwishoni  mwa wiki Meneja wa kiwanda cha TBL mkoa wa Arusha,Salvatory Rweyemamu akipiga mpira kuashiria kuanzishwa kwa kampeni ya Afya Kwanza iliyoanzishwa na TBL Group kwa lengo la kuimarisha afya za wafanyakazi wake.    Meneja Uendeshaji […]

Mar-27-2016

myadmin

SERIKALI YA TANZANIA HAINA MPANGO KWA KUTEKETEZA MENO YA TEMBO YALIYOHIFADHIWA

Serikali ya Tanzania imetoa tamko kuwa kwa sasa haina mpango wowote wa kuteketeza meno ya tembo yaliyohifadhiwa ambayo yametokana na vitendo vya ujangili na vifo asilia vya tembo. Tamko hilo limetolewa hivi karibuni na Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe akizungumza na Balozi wa Marekani hapa nchini Bw. Mark Childress alipotembelewa na balozi […]

Mar-27-2016

myadmin

GALAXY S7 “YAPIGA HODI RASMI NCHINI”

Baloziwa Samsung Tanzania,Aisha Saki (katikati) akiwaelezea   Samsung Galaxy S7 Mlimani City  jijini Dar esSalaam.Kulia ni mabalozi wenzake. Balozi wa Samsung Tanzania,RhodaIddy (kulia) akimkabidhi mteja simu ya Samsung Galaxy S7 baada ya kuinunua mara baada ya uzinduzi wa simu hiyo uliofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam. Balozi wa Samsung Tanzania,Neema Mziray (katikati) akiwaelezea jambo wateja […]

Mar-26-2016

myadmin

KAMATI YA BUNGE YA UKIMWI YATEMBELEA MSD

Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu (mwenye suti nyeusi kushoto), akiwatembeza Wajumbe wa  Kamati Bunge ya Mauala ya Ukimwi waliotembelea MSD Keko Dar es Salaam jana. Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Bunge ya Ukimwi, Hassna Sudi Katunda Mwilima (wa pili kulia), akifafanua jambo kwa wajumbe hao na wageni katika ziara hiyo. Meneja […]

Mar-26-2016

myadmin

NAIBU WAZIRI LUHAGA MPINA – ASHIRIKI USAFI KTK MITAA YA TPDC MIKOCHENI DAR

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira Mh. Luhaga Mpina Kulia Akifyeka, katika Mtaa wa TPDC Mikocheni Jijini Dar es Salam leo kutekeleza agizo la Mh. Raisi la kufanya usafi, ambapo serikali imetenga kila Jumamosi ya mwisho wa Mwezi kuwa siku maalum ya usafi. Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya […]

Mar-26-2016

myadmin

NAIBU WA FEDHA DR. KIJAJI “ATINGA SOKO LA HISA” LEO

Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Dkt. Ashatu Kijaji, Mwenyekiti wa Maendeleo Benki, Amulike Ngeliama (kushoto) na Mkurugenzi wa Tafiti, Sera na Mipango wa(CMSA) Nicodemus Mukama wakifuatilia jambo katika hafla hiyo. Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Dkt. Ashatu Kijaji akipiga kengele kuashiria uorodheshwaji rasmi wa Maendeleo Benki katika soko la hisa DSE jana. Kushoto […]

Mar-25-2016

myadmin

Prof. Kahyarara, MD WA NSSF AJIONEA UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI

Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara  akisalimiana na Mkurugenzi wa Mipango, Uwekezaji na Miradi wa NSSF, Yacoub Kidula. Wataalamu wa ujenzi wa daraja la Kigamboni wakisalimiana na Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara. Barabara za kuingilia darajani […]

Mar-25-2016

myadmin

MEET BRAVEBIRD: A TALENTED AND FAST GROWING ARTIST

  As an art enthusiast living is Dar I am still learning about the ‘Art Scene’ in the city and discovering new artists everyday. Sometime its people I know and didn’t even know they were painters or sculptors. One thing I have come to see and very excited about it that the ‘Art Scene’ in […]

Mar-24-2016

myadmin

VIJANA WAINGILIA KATI KUPAMBANA NA UJANGILI

Mkurungezi mtendaji wa Bongo Ride Idrisa Magesa akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuelezea makamilisho ya maandalizi ya msafara wa hisani wa magari uliopewa jina Bongo Ride Charity Cruise (BRCC) ambao utaambatana na kutembelea mbuga ya wanyama ya Tarangire Mkoani Arusha  ikiwa na lengo kupaza sauti kuhusu janga la ujangili na pia kuhamasisha utalii […]

Mar-24-2016

myadmin

MKUU WA HUDUMA TFS, WAKURUGENZI WATATU PAMOJA NA WAKUU WA KANDA NCHI NZIMA: “WAPOTEZA KAZI”

Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe (kulia) akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu kumsimamisha kazi Mtendaji Mkuu na Wakurugenzi watatu wa  Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika ukumbi wa Ngorongoro Makao Makuu wa Wizara hiyo Mpingo House Jijini Dar es Salaam leo .  Kushoto  ni Naibu Waziri wa Wizara […]

Mar-24-2016

myadmin

TIGO YATOA 300M/- KUDHAMINI WANAFUNZI WA TEHAMA VYUO VIKUU

Meneja mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa kutangaza udhamini wa kampuni hiyo kwa wanafunzi tisa wanaochukua mafunzo ya Tehama katika vyuo vikuu vya hapa wa jumla ya shilingi million 300 mapema leo  jijini Dar Es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi mkuu wa DTBi, Mhandisi George Mulamula na kushoto ni Meneja wa […]

Mar-23-2016

myadmin

WAZIRI WA MALIASILI PROF. MAGHEMBE NA BALOZI WA USA HAPA NCHINI MHE. MARK CHILDRESS “WATETA”

Waziri wa Maliasili Prof. Jumanne Maghembe (kushoto) akizungumza katika kikao na Balozi wa Marekani hapa nchini Mhe. Mark Childress (kulia) na Ujumbe wake katika ukumbi wa Selous Makao Makuu ya Wizara hiyo Mpingo House leo tarehe 23 Machi, 2016. Waziri Maghembe amemuomba Balozi huyo wa Marekani kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kukuza sekta ya […]

Mar-23-2016

myadmin

SHEREHE ZA SIKU YA MAJI DUNIANI “ZAFANA SANA”

Jana wakimbizi kutoka katika kambi za Nyarugusu na Nduta zilizopo mkoani Kigoma waliungana na watu wengine ulimwenguni kuadhimisha siku ya maji duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni maji safi kwa maendeleo endelevu.   Maadhimisho hayo yaliandaliwa kwa ushirikiano kati ya serikali kupitia idara ya wakimbizi na mashirika mbalimbali yanayotoa misaada katika makambi hayo yakiwemo […]

Mar-23-2016

myadmin

WAWEKEZAJI WA SUKARI KUTOKA INDIA “WATINGA NCHINI”

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kizungumza na ujumbe wa Wawekezaji kutoka India wanaokusudia kuwekeza katika kilimo cha miwa na kiwanda cha sukari hapa nchini, Ofisini kwake jijini Dar es salaam machi 23, 2016. Kushoto kwake ni Waziri wa Kilimo, Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa […]

Mar-23-2016

myadmin

HAKUNA MANYAYASO KWA WAZEE TENA: SERIKALI KUPIGANIA SHERIA ZAO

Na Raymond Mushumbusi-MAELEZO Serikali imejipanga kuipa nguvu Sera ya wazee nchini kuwa Sheria itakayowasaidia wazee kujikwamua katika changamoto mbalimbali zinazowakabili kwa sasa.  Mpango huo umetolewa leo na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu alipokuwa akizungumza na baadhi ya viongozi wa wazee wa mkoa wa Dar es Salaam alipokutana nao leo ofisini […]

Mar-23-2016

myadmin