Agriculture/Kilimo

MHE NASHA ATEMBELEA MAGEREZA TANGA NA KUJIONEA……

Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe. William Ole Nasha (Mb) anatarajia kufanya ziara ya kikazi Gereza Kwamugumi, Korogwe Mkoani Tanga. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na kusainiwa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja inaeleza kuwa lengo kuu la ziara hiyo ni kujionea maendeleo ya mradi wa mabwawa ya […]

Apr-14-2016

myadmin

“SI KWELI KABISA”: HAKUNA KODI YA NG’OMBE NCHINI

Wizara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi imekanusha kodi ya ng’ombe iliyoripotiwa na Umoja wa wafanyabiashara wa Mifugo na Mazao yake wa Wilaya ya Kinondoni. Taarifa hii imetolewa na Katibu Mkuu (Mifugo) wa Wizara hiyo Dkt. Mary Mashingo baada ya kuyaona malalamiko ya wafanyabiashara hao kwenye baadhi ya vyombo vya habari nchini. Katika taarifa hiyo wizara imekanusha […]

Apr-12-2016

myadmin

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA ambaye pia ni Mkurugenzi wa Utalii na Masoko Bw. Ibrahim Mussa (kulia) akiongea na Kaimu Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Arusha Bi. Maria Kirombo (kati) na Mhifadhi wa Idara ya Ulinzi Bw. Haima Hera muda mfupi kabla ya kuwasili kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na […]

Apr-05-2016

myadmin

MAKUBALIANO YA KUSAIDI SEKTA YA KILIMO KATI YA TADB NA PASS YAFIKIWA

 Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Thomas Samkyi (Kushoto) akizungumza kabla ya kutiliana saini makubaliano yatakayowezesha wakulima wanaokopa TADB kupata dhamana kutoka PASS. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa PASS, Bw. Nicomed Bohay.Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Thomas Samkyi (Kushoto) akitia saini makubaliano yatakayowezesha wakulima […]

Apr-04-2016

myadmin

WATENDAJI WATAKIWA KUHAKIKISHA USALAMA WA RASILIMALI ZA MISITU

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina akipata maelezo mafupi kutoka kwa Mkururugenzi wa Idara ya Misitu na nyuki kutoka Maliasili Bi. Gladness Mkamba mapema  leo katika kuadhimisha siku ya upandaji miti iliyofanyika ruvu kaskazini Mkoani Pwani. Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na […]

Apr-01-2016

myadmin

ZSTC “KUWA BEGA-KWA-BEGA” NA WAKULIMA WA KARAFUU

Mkulima wa vitalu vya karafuu wa Kitope Mzee Sheha Khamis akimuelezea Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la ZSTC changamoto anazokabiliana nazo katika kutekeleza kazi hiyo wakati Mkurugenzi huyo alipofanya ziara katika Mkoa Kaskazini Unguja na Wilaya Kati. Mfanyakazi wa kitalu cha Mikarafuu  cha Donge Bi Fatma akitayarisha udongo kwa ajili ya kuatika miche  katika shamba hilo […]

Mar-20-2016

myadmin

MHANDISI KAMDANGANYA WAZIRI MKUU: PUNDE JIBU LAKE LIKATUMBULIWA – KAPOTEZA KAZI YAKE

NI MHANDISI WA MAJI WA WILAYA YA CHATO PAMPU YADAIWA KUPELEKWA MOROGORO, YEYE ASEMA IKO KIJIJINI WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mhandisi wa Maji wa Wilaya ya Chato, Bw. Peter Ngunura kwa kosa la kumdanganya mbele za watu na kumpa taarifa za uongo juu ya pampu ya maji iliyodaiwa kupelekwa Morogoro. Waziri Mkuu alitoa […]

Mar-17-2016

myadmin

WAFUGAJI WANAACHA KUFUGA KIHOLELA,WAFUGE KWA VITARU: MHE

Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mh:Mwigulu Nchemba akimuangalia mmoja wadume la ng’ombe anayetumika kuzalisha Mitamba kwenye kitaru namba 9 shamba la kitengule-Karagwe. Baadhi ya ng’ombe waliopo kitaru namba 9 shamba la kitengule ambapo kwenye block hii moja kuna Ng’ombe zaidi ya 800 wanaolishwa na kuhudumiwa vizuri na mmiliki wa kitaru hiki .Ng’ombe wakitoka kuogeshwa kwaajili […]

Mar-16-2016

myadmin

UMILIKI WA MASHAMBA MAKUBWA 11 WILAYANI NGARA “WATUMBULIWA LEO”

  Yana ukubwa ekari 7,700 katika vijiji viwili tu      Aagiza Afisa Ardhi arudishwe kutoka Rorya kusaidia uchunguzi WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza kufutwa mara moja umiliki wa mashamba makubwa 11 yenye ukubwa wa ekari 7,700  kwenye  vijiji vya Kasharazi na Rwakalemera wilayani Ngara Kagera, ambayo hayana hati na yametelekezwa. Ametoa agizo hilo leo asubuhi  […]

Mar-16-2016

myadmin

MHE. NCHEMBA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA VIETNAM HII LEO

Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mh.Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Vietnam NdgTruong Tan Sang mapema hii leo walipokutana kwaajili ya mazungumzo kuhusu fursa zilizopo katika kilimo,mifugo na uvuvi katika nchi mbili hizi rafiki Katika mazungumzo ya pamoja kati ya Rais wa Vietnam na Mh.Mwigulu Nchemba na ujumbe wake,Pande hizi mbili zimekubaliana kushirikiana kwenye uzalishaji […]

Mar-11-2016

myadmin

KUPANUENI WIGO WA KUZALISHA MBEGU NA UTAFITI WA MAZAO: MHE MWIGULU

Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mh.Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Mbunge wa Mlimba Bi.suzan Kiwanga(CHADEMA) mapema hii leo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kijiji cha Mgeta-Mlimba. Pichana Festo Sanga Moja ya mashine za Umwagiliaji kwenye mashamba ya Mpunga ya KPL(Kilombero Plantation Limited) ikiwa tayari kwa kuanza kazi ya kumwagilia maji kwenye shamba hili la […]

Mar-05-2016

myadmin

MFUMO DUME NI KIKWAZO CHA WANAWAKE KUTOKUMILIKI ARDHI – ANNA MGHWIRA

Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Anna Mghwira …………………………………………………………………………………………………………………… Na Fredy Njeje-Blogs za Mikoa   Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Anna Mghwira amesema umiliki wa ardhi kwa wanawake hapa nchini bado unasuasua kutokana na mfumo dume uliopandikizwa tokea miaka ya nyuma.   Bi Mghwira ambaye alikuwa mwanamke pekee aliyegombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka […]

Mar-03-2016

myadmin

UMILIKI WA ARDHI KWA WANAWAKE WAONGEZEKA – ELUKA KIBONA

Meneja utetezi wa Oxfam Tanzania, Eluka Kibona amesema uelewa wa wanawake katika kumiliki ardhi na kufuatilia haki zao za ardhi unaongezeka siku hadi siku nchini na kuondoa ile dhana kwamba wanawake wako nyuma katika shughuli za maendeleo. Bi Eluka ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na Blogs za Mikoa kuhusu namna taasisi binafsi zinavyotetea harakati za wanawake katika kumiliki ardhi hapa nchini na kujiendeleza […]

Mar-02-2016

myadmin

SERIKALI YAAHIDI KUWAPATIA VIJANA MITAJI KWA AJILI YA KILIMO CHA KISASA

Mkurugenzi Maendeleo ya Vijana Taifa Ofisi ya Waziri Mkuu;Sera,Uratibu,Bunge,kazi,Ajira,Vijjana na watu wenye Ulemavu James Kajugusi (katikati) akipata ufafanuzi juu ya kilimo cha mbogamboga toka kwa Mwenyekiti Kinondoni Saccoss Neema Urio (Kulia) katika ufunguzi mafunzo ya kilimo cha kisasa kwa vijana kulia mwa Mkurugenzi Maendeleo ya Vijana ni Mkurugenzi Msaidizi Mafunzo Idara ya Vijana Venerose Mtenga […]

Mar-02-2016

myadmin

WAJASIRIAMALI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA MIKOPO YA MASHINE BILA DHAMANA

Mahmoud Ahmad Arusha Wajasiriamali kote nchini wakiwamo pia wakulima na wafugaji nchini wametakiwa kuchangamkia fursa ya mikopo ya vifaa ikiwemo trekta na mashine mbali mbali za kilimo na ufugaji sambamba na vifaa mbali mbali lengo likiwa ni kukuza kipato kwa wananchi. Akizungumza na waanahabari meneja mikopo wa kampuni ya Wasambazaji wa vifaa kutoa mikopo kwa […]

Feb-24-2016

myadmin

WAKULIMA WILAYANI RORYA MKOANI MARA WAPATIWA MAFUNZO YA KUPATA HUDUMA ZA UGANI KWA NJIA YA SIMU

Mtafiti Kiongozi Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech), Dk.Nicholaus Nyange (katikati), akizungumza na wakulima wa Wilaya ya Rorya Mkoani Mara katika mafunzo ya siku moja kwa wakulima hao ya kutumia simu kupashana habari za kilimo na kujua changamoto zinazo wakabili. Kulia ni Mratibu wa Jukwaa la Bioteknolojia za Kilimo Afrika (OFAB), Daniel Otunge […]

Feb-23-2016

myadmin

WAKULIMA SASA KUPASHANA HABARI ZA KILIMO KWA “NJIA YA SIMU”

Mratibu wa Jukwaa la Bioteknolojia Tanzania (OFAB), Philbert Nyinondi (kulia), akizungumza na wakulima na Washiriki wa Mafunzo ya kutumia simu za mkononi kupashana habari za kilimo yaliyofanyika Kijiji cha Kisamwene wilayani Butiama mkoani Mara leo mchana. Mratibu wa Jukwaa la Bioteknolojia Tanzania (OFAB), Philbert Nyinondi (kulia), akiwaonesha wakulima wa Wilaya ya Butiama mkoani Mara zao […]

Feb-20-2016

myadmin

UNENEPESHAJI WA MIFUGO SASA “RUKSA” TANZANIA

Mkurugenzi Msaidizi uendelezaji wa miundombinu ya mifugo na masoko Bw. Aaron Luziba kutoka Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu  unenepeshaji wa mifugo amabo mifugo kabla ya kuuzwa huwekwa kwa pamoja kwa siku 90 hadi 120 na kuwalisha vyakula vyenye wanga na protini ili kuzalisha nyama zenye ubora ikiwemo […]

Feb-19-2016

myadmin

UFUGAJI WA NYUKI NA UPANDAJI WA MITI NI KIBIASHARA “TOSHA”: BI GLADYNESS

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Misitu na Nyuki Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Gladyness Mkamba (katikati) akizungumza wakati akimuwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Meja Gen. Gaudence Milanzi katika ufunguzi wa Mkutano wa mapitio ya kukamilisha mradi wa Kitaifa wa Uendelezaji Misitu na Ufugaji Nyuki nchini (NFBKP II) unaofadhiliwa na Serikali ya Finland kwa ushirikiano na Serikali […]

“MAMA ARDHI ALLIANCE” YAZINDULIWA

Mkurugenzi wa Woman Fund Tanzania  Mama Mary Lusindi pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu  (LHRC) Imelda Lulu Urio kushoto  ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya(Mama Ardhi Alliance)wakizindua rasmi taasisi hiyo ambayo kazi yake kubwa ni kuwatetea wanawake katika masuala mbalimbali yanayohusu umiliki wa Ardhi, uzinduzi huo umefanyika mwishoni mwa wiki katika […]

Feb-15-2016

myadmin

TANZANIA KUENDELEZA UTAFITI WA BIOTEKNOLOJIA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Chakula na Uvuvi, Dk. Florens Turuka (kulia), akizungumza na watafiti wa kilimo Dar es Salaam leo asubuhi, wakati akifungua mkutano wa nane wa mradi wa mahindi yanayostahimili ukame na kupambana na wadudu waharibifu wa Wema wa siku tatu wa watafiti kutoka nchi za Afrika wa kutathimini utendaji kazi wa […]

Feb-09-2016

myadmin

SERIKALI KUANZISHA VYUO VYA VYA UVUVI KUONGEZA UJUZI KWA VIJANA

Na Raymond Mushumbusi MAELEZO Serikali imekusudia kuanzisha Vyuo vya Uvuvi katika maeneo yote yanayozungukwa na bahari ili kuwafundisha vijana mbinu sahihi za kufanya shughuli za Kilimo,Mifugo na Uvuvi ili kuwawezesha kukuza vipato vyao kwa kujiajiri. Hayoyamesemwa leo Bungeni Mjini Dodoma  na Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe.William Tate  Ole Nasha akijibu swali la […]

Jan-27-2016

myadmin

SERIKALI YAOMBWA IKAMILISHE TARATIBU ZA UVUNAJI WA MSITU

Na. Ahmad Mmow, Nachingwea. ………………………………………. Baadhi ya wananchi na viongozi wa kijiji cha Ngunichile, wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi. Wameiomba serikali kuharakisha na kukamilisha mchakato wa uvunaji wa msitu wa kijiji hicho. Wananchi na viongozi hao waliyasema hayo mbele ya timu ya waandishi wa habari na maofisa wa Mtandao wa jamii wa usimamizi wa misitu […]

Jan-23-2016

myadmin

RC Amos Makalla asema shamba la La Gararagua lisiuzwe hadi ufafanyuzi utakapopatikana

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro amefanya mkutano hadhara kata ya Gararagua kuhusu Mgogoro wa kuuzwa kwa shamba la Gararagua na kuagiza 1. Amesitisha kwa muda mpango wa kuuzwa kwa shamba La Gararagua mpaka atakapofanya mawasiliano na Waziri wa Ardhi kujiridhisha utaratibu uliofanywa na mkutano wa Kncu na mrajisi wa ushirika Shamba Lina ukubwa […]

Jan-22-2016

myadmin

Motorcycle that pumps water enters Kenyan market

By Brian Moseti | Tue 05 Jan, 2016 A new motorcycle that doubles up as a water pump could change the fortunes of Kenyan farmers by helping them irrigate their farms in addition to porting their produce and farm supplies. A Skygo brand, the Sh110,000 motorcycle can pump up to 40,000 litres of water per […]

Jan-07-2016

myadmin

WAZIRI WA KILIMO ATUA MKOANI IRINGA, AKUTANA NA WAKULIMA WA TUMBAKU

Waziri wa Kilimo Mifugo na Ushirika Mh. Mwigulu Nchemba  akipokelewa katika  ofisi ya Mkuu wa Iringa na kupokelewa na  Mkuu wa Mkoa Mh. Amina Masenza na Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mh. Richard Kasesela. Waziri wa kilimo Mh Mwigulu Nchemba leo amesikiliza malalamiko ya wakulima wa Tumbaku na kuwahakikishia zao la tumbaku halitakufa kwani linaleta pato […]

Jan-06-2016

myadmin

LUKUVI AWAREJESHEA WANANCHI SHAMBA LILILOKUWA NA MGOGORO WA ZAIDI YA MIAKA KUMI

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiwarudishia wananchi shamba la Hekta 1,870 kutoka kwa Muwekezaji wa kampuni ya Export Trading Company kijiji cha Kapunga Wilayani Mbarali Mkoa wa Mbeya. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abasi Kandoro na Katikati ni Muwekezaji Mahesh Patel. Wananchi wa Kapunga wakiwa katika mkutano […]

Jan-06-2016

myadmin

MWIGULU NCHEMBA ATIMUA VIGOGO WALIOKULA BILION 5.7 ZA UJENZI WA MACHINJIO YA KISASA RUVU.

Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi akiwasili kwenye mradi uliodumaa wa Ujenzi wa machinjio ya kisasa wa ranchi ya Ruvu mapema hii leo. Sehemu ya jingo lililobaki kama Gofu mara baada ya kutelekezwa na Uongozi wa Bodi ya ranchi za Taifa(NARCO) Mwigulu Nchemba akishangaa namna mali hii ya Umma ilivyotekelezwa. Mwigulu akiwa na jopo la wataalam […]

Jan-05-2016

myadmin

Mwigulu Tena, Awang’oa Wakurugenzi NARCO Kwa Ufisadi

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba ametangaza kuwasimamisha kazi wakurugenzi wote wa bodi ya (NARCO) kufuatia upotevu wa Billion 5.7 zilizotolewa kwa ajili ya ujenzi wa machinjio. Akizungumza na Waandishi wa Habari  baada ya  kufanya ziara ya siku moja kukagua mradi wa ujenzi wa machinjio ya kisasa ya ranchi ya Taifa ya Ruvu […]

Jan-05-2016

myadmin

Heri ya MWAKA MPYA 2016 kwa wasomaji wetu wote: Tuambie

Kwa niaba ya wafanyakazi wote wa Tuambie, nachukua nafasi hii kuwashukuru wasomaji wetu wote kwa ushirikiano wenu wa thati mliouonyesha kwa kipindi hiki kifupi. Mwaka 2015 ni wa kukumbukwa sana kwetu kwani ni mwezi wa November tu ndio mtoto TUAMBIE alizaliwa/kuanza kurushwa hewani. Japokuwa tuambie bado ni changa, lakini kwa kipindi cha miezi miwili tu, […]

Dec-31-2015

myadmin

MAKALA YA UFUGAJI SAMAKI TANZANIA (RIGHA’S SAFINA’S Aquafish Farm

  Jifunze upandaji na ukuzaji samaki kwa kiwango cha kibiashara.  

Dec-29-2015

myadmin

GADDAFI AWADH – MFUGAJI SAMAKI WA KUIGWA

 

Priscilla Tango – Mkulima wa mboga mboga kutoka Arusha

     

Dec-29-2015

myadmin

Leo Tuangalie Upandaji wa Uyoga

Dec-29-2015

myadmin

UYOGA MKOMBOZI WA KIAFYA NA KIUCHUMI

 

Dec-29-2015

myadmin

Tanzania yatakiwa kuwekeza ktk elimu bora na kilimo cha kisasa..

 

Dec-29-2015

myadmin

JK na mafunzo ya kilimo bora kwa wenzetu

 

Dec-29-2015

myadmin

Kilimo cha Biashara: Kilimo katika maeneo makavu (Dry Region Farming)

Video hii inaelezea hatua kwa hatua ya jinsi ya kupanda, kukuza na mwisho kupata mazao ya kutosha bila kujali mabadiliko ya hali ya hewa. Green house ni suluhishao la mabadiliko ya hali ya hewa.

Dec-29-2015

myadmin

Kilimo Biashara On Seedling Germination

Ni wakati umefika wa kujifunza toka kwa waliokutangulio au niseme wanaojua zaidi ya wewe. Wakati umefika wa mabadiliko kwa bara letu la Africa.

Dec-29-2015

myadmin