[sg_popup id=”4″][/sg_popup]

Business/Biashara

SGA SECURITY YAGAWA VIFAA VYA USALAMA BARABARANI

Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA Security Bw. Eric Sambu akikabidhi koti maalum la usalama barabarani Bw. Thobias Msua  mmoja wa waendesha Bodaboda wa Mbezi Tangibovu jijini Dar es salaam wakati wakati kampuni hiyo ilipotoa msaada wenye thamani ya shilingi milioni 4 na wametoa msaada huo kwa waendesha  bodaboda zaidi ya 4000, makabidhiano hayo […]

Apr-29-2016

myadmin

TIGO YATOA VISIMA 12 VYA MAJI KWA VIJIJI 12 SINGIDA

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Gerson Lwenge (katikati)akikata utepe katika makabidhiano ya visima 12 vyenye thamani ya millioni 174 kutoka Kampuni ya Tigo akiwa na Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Kaskazini George Lugata(kulia),na kushoto ni mkuu wa mkoa wa Singida  Mhandisi Mathew Mtigumwe, katika kijiji cha Mtinko, mkoa wa Singida juzi.  Waziri wa Maji […]

Apr-29-2016

myadmin

VIONGOZI WA KISIASA WAFANYA BIASHARA,WATAKIWA KUWAJALI NA KUWATHAMINI WATOTO WENYE ULEMAVU

Wanafunzi wa shule ya msingi Mreyai iliyopo wilayani Rombo mkoa wa Kilimanjaro wakisikiliza kwa makini ugeni wa kaimu katibu mkuu uvccm taifa Shaka Hamdu Shaka wanafunzi na ugeni ukisikiliza Risala iliyo somwa na mmoja wa wanafunzi walemafu katika shule hiyo Kaimu Katibu Mkuu Shaka Hamdu Shaka akipokea Risala ya Wanafunzi Mkuu wa shule ya msingi Mreyai […]

Apr-29-2016

myadmin

BENKI YA EXIM YAZINDUA MASHINE YAKE YA KWANZA YA KUWEKA PESA KWENYE AKAUNTI

Mkuu wa  Huduma za matawi Benki ya Exim Tanzania, Bw Eugine Massawe (kulia) pamoja na Meneja Mkuu wa kampuni ya Pacific International Lines, PIL Bw. Kevin Stone wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa mashine ya kuweka pesa (CDM) ya benki hiyo itakayowawezesha wateja wa kampuni ya PIL kuweka pesa kwenye akaunti zao moja kwa moja bila […]

Apr-28-2016

myadmin

BANDARI YA DAR KUUNGANISHA SINGAPORE NA EA COMMUNITY

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Biashara na Viwanda wa  Singapore, Dkt. Koh Poh Koon (kulia kwake) na ujumbe wake, Ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Aprili 27, 2016. Kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana  na Waziri wa Biashara na Viwanda […]

Apr-28-2016

myadmin

TIGO, MGAHAWA WA SAMAKI SAMAKI WAINGIA UBIA

Meneja wa Huduma za Masoko Tigo, Olivier Prentout (kushoto) akiongea na wanahabari wakati wa kusaini mkataba wa ushirikiano wa kibiashara kati ya kampuni ya simu za mkononi ya Tigo na Mgahawa wa Samaki samaki. Kulia ni Afisa Mkuu wa Maendeleo wa Mgahawa Samaki samaki, Saum Wengert. Meneja wa Huduma za Masoko wa kampuni ya simu […]

Apr-28-2016

myadmin

YALIYOJIRI KTK ZIARA YA WAFANYABIASHARA WA OMAN NCHINI

Na: Immaculate Makilika – MAELEZO. Tanzania na Oman zimesaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano baina ya Tanzania Chambers of Commerce  na Oman Chambers of Commerce ili  kuanzisha Kampuni ya Oman Tanzania Investment (OTIC) kwa lengo la kutafuta fursa za uwekezaji zili zoko Tanzania na Oman. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mkuu […]

Apr-21-2016

myadmin

TIGO WAKABIDHI MADAWATI 400 KWA WILAYA YA MWANGA

   Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Meck Sadiki akikabidhi madawati 400 yenye thamani ya shilingi milioni 66   kwa mwenyekiti wa halmashauri ya Mwanga Theresia Msuya yaliotolewa na Kampuni ya Tigo, Kulia ni Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini George Lugata.   Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Meck Sadiki(Kulia), akiwa katika picha ya pamoja na […]

Apr-21-2016

myadmin

TIGO YATANGAZA VIDEO ZA YOU TUBE KUPATIKANA BURE USIKU KWA WATU WOTE

 Mkuu wa Kitengo cha Vifaa vya Mawasiliano wa Tigo, David Zacharia  (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu huduma iliyoanzishwa na kampuni hiyo ya kutiririsha  video za YouTube bure  ambayo itakuwa inapatikana kwa wateja wote wa Tigo kuanzia saa 6.00 usiku hadi saa 12.00 alfajiri. Kulia ni Meneja […]

Apr-21-2016

myadmin

MAONESHO YA NNE YA MADINI YA KIMATAIFA ARUSHA GEM FAIR YAFUNGULIWA JIJINI ARUSHA

Mkuu wa wilaya ya Arusha,Fadhili Nkurlu akifungua maonesho ya kimataifa ya madini ya Arusha Gem Fair kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Felix Ntibenda leo katika hoteli ya Mount Meru .   Kaimu Kamishna wa Madini nchini,Mhandisi Ally Samaje akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo,alisistiza nia ya serikali kupambana na utoroshwaji wa madini […]

Apr-20-2016

myadmin

REA WATOA MSAADA KWA WAHANGA WA MAFURIKO KIJIJI CHA KISANGA IRINGA

  Mtendaji wa Kitongoji Bi sarah Mbilinyi akipokea taa hizo toka kwa Mkuu wa wilaya Iringa bwana Richard Kasesela. Wakala wa Nishati Vijijini REA, wametoa msaada wa taa za kutumia mionzi ya jua katka kijiji cha Kisanga kitongoji cha Kiala; Wilaya ya Iringa Kitongoji hiki ni kile kilichokumbwa na mafuriko na kaya zaidi ya 100 […]

Apr-20-2016

myadmin

SERIKALI KUCHUNGUZA MKATABA WA JENGO LA MACHINGA COMPLEX

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Paul Makonda akizungumza na wafanyabiashara katika Jengo la Machinga Complex Dar es Salaam jana, kuhusu uendeshaji wa jengo hilo.  Makonda akiwasili katika viwanja vya Jengo la Machinga Complex kuzungumza na wafanyabiashara na wadau wengine. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi wengine ni viongozi wa jengo […]

Apr-19-2016

myadmin

ZANTEL YAKABIDHI COMPUTER 21 KWA VYUO VYA WALIMU ZANZIBAR.

Afisa Mtendaji wa Millcom Africa Bi Cynthia Gordon akimkabidhi Computer Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma, anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Zantel Tanzania Benoit Janin, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Hyatt Zanzibar   Afisa Mtendaji wa Millcom Africa Bi Cynthia Gordon akimkabidhi Computer Waziri wa […]

Apr-19-2016

myadmin

USIPITWE……..SHINDANO LA “AJIRA YANGU BUSINESS PLAN COMPETITION” LAJA

Bo Beng’i Issa Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za shirika la kazi duniani ILO jijini Dar es salaam wakati alipotangaza  shindano hio kutoka kushoto ni Nancy Lazaro Mratibu wa Vijana ILO na katikati ni Anna marie Kiagi Mratibu wa ILO UNDAP. Bo Beng’i Issa Katibu […]

Apr-18-2016

myadmin

The advantages of Networking in Business Arenna

Networking is an important skill one needs to master in the current business world. One might wonder whether networking still holds any importance in this era of social media. My opinion is that, social media will never take away the importance of traditional networking but rather compliments it. Social media has made it easy for […]

Apr-17-2016

myadmin

MTOTO ANAKUWA MKUBWA: TIGO SASA YA PILI KWA UKUBWA KATIKA KAMPUNI ZA SIMU TZ

Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez Ushindani unazidi kupamba moto miongoni mwa kampuni za simu nchini ambapo katika kipindi cha miezi mitatu cha kati ya Oktoba na Desemba mwaka 2015, ni jumla ya watumiaji wapya 1,448,782 tu ambao walijisali kutumia huduma zao za mawasiliano.   Ushindani huu ambao umechochewa na kuingia kwa kampuni mpya katika sekta ya mawasiliano Tanzania, […]

Apr-14-2016

myadmin

WABUNGE WA AFRIKAMASHARIKI WATEMBELEA THE GUARDIAN

 NA K-VIS MEDIA/Khalfan Said …………………………………………………….. Wabunge wa bunge la Arika Mashariki, (EALA), kutokaTanzania, wameendelea na ziara yao ya kutembelea vyombovya habari hapa nchini, ikiwa ni mkakati wa Jumuiya hiyo, kushirikisha vyombo vya habari ili kuwafahamishawananchi wa nchi hizo manufaa ya jumuiya hiyo kwao. LeoAprili 13, 2016, wabunge hao wakiongiozwa na Mwenyekiti wao Mh. Makongoro Nyerere, […]

Apr-13-2016

myadmin

NHC YAFUNGUA OFISI ZAKE ZA MAUZO YA MRADI WA KAWE-711

Unapochepuka kulia utakutana na barabara ya vumbi mbele yako majengo ya mradi wa nyumba za makazi na biashara ya 711 yaliyojengwa kwa mpangilio makini, hapo ndipo zilipo ofisi za mauzo za mradi huo Karibu upate maelezo na kuona maendeleo ya mradi. Geti la kuingilia kwenye mradi wa nyumba za makazi na biashara ya 711 yaliyojengwa kwa […]

Apr-13-2016

myadmin

LANCET TANZANIA LIMITED YAFUNGUA MAABARA YA KISASA MJINI MOSHI.

Maabara ya kisasa ya Lancet  iliyofunguliwa mjini Moshi jirani na YMCA kwa ajili ya kufanya vipimo vya magonjwa mbalimbali ikiwemo magonjwa ya Saratani. Mtafiti wa Magonjwa,Dkt Hemed Kalebu akimuonesha Kaimu mganga mkuu wa mkoa ,Dkt Japhet Boniface ,maeneo mbalimbali alipotembelea maabara hiyo iliyofunguliwa mjini Moshi. Dkt Kalebu akileza jambo kwa kaimu mganga mkuu wa mkoa […]

Apr-12-2016

myadmin

FASTJET YAIBUKA KIDEDEA: YAPATA TUZO NONO

TAARIFA KWA NYOMBO VYA HABARI ………………………………… Dar es Salaam – 11 April 2016 –fastjet, shirika la  ndege la gharama nafuu barani Afrika imeshinda Tuzo ya Shirika la Ndege Linaloongoza Afrika kwa Gharama Nafuu kwenye Tuzo ya  23 ya Mwaka  ya  Usafiri Duniani iliyotolewa Zanzibar, Tanzania  Aprili 9, 2016. Tuzo ya Usafiri ambayo inatambulika  duniani  imepangwa kwa kutambua, kutuza na kusherehekea  mafanikio kwenye  sekta zote muhimu  za usafirishaji  wa kwenye sekta […]

Apr-12-2016

myadmin

PPF WAELEZEA FAO LA WOTE SCHEME NA UCHUMI WA NCHI

    Meneja wa Mfuko wa PPF Kanda ya Kinondoni,Pwani na Tanga,Zahra Kayugwa akizungumza wakati wa semina hiyo.  Fao jipya la Wote Scheme ambalo ni mfumo wa hiari kwa wanachama ulioanzishwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF utasaidia kuwapa fursa watanzania waliopo kwenye sekta isiyo rasmi kukidhi mahitaji na kutambua mchango na ushiriki wa sekta hizo katika kukuza uchumi. […]

Apr-12-2016

myadmin

UJUMBE WA MAWAZIRI NA WAFANYABIASHARA WA CZECH REPUBLIC WAFANYA KONGAMANO LA UWEKEZAJI DAR.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo na Misitu  wa Serikali ya Czech Republic Bw. Dusan Benza akizungumza katika kongamano la wafanyabiashara wa nchi hiyo na watanzania lililofanyika leo kwenye hoteli ya New Africa jijini Dar es salaam. Mawaziri wawili Kilimo na Viwanda wa Jamhuri ya Jamhuri ya Czech  wakiongozana na wafanyabiashara zaidi ya thelathini wako […]

Apr-12-2016

myadmin

TIGO WAADHIMISHA SIKU YA KARUME DAY

 Kamishna Msaidizi wa jeshi la polisi Tanzania Mkadam Khamis Mkadam,ambaye ni  Kamanda wa Polisi mkoa wa mjini Magharibi, Unguja, akimkabidhi Bi.Fauzia Mohamed Hassan mkaazi wa Fuoni zawadi kutoka Tigo katika maadhimisho ya Karume dTigo waadhimisha siku ya Karume day na wateja wake, katika ofisi za Tigo Unguja, Zanzibar.    Kamishna Msaidizi wa jeshi la polisi Tanzania,  Mkadam […]

Apr-11-2016

myadmin

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AZINDUA MRADI WA UJENZI WA NYUMBA ZA PALM VILLEGE MSASANI BEACH

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitembelea Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Palm Village unaodhaminiwa na kujengwa na Kampuni ya Uwekezaji ya Group 6 ya China. Mradi huo unaojengwa katika eneo la Msasani Beach Waterfront unategemewa kutoa ajira jumla ya watu 2000 utakapokamilika. Kuli Mwenyekiti wa Kampuni […]

Apr-09-2016

myadmin

LEO KANU WA STARTIMES AIBUKIA MBAGALA NA MISAADA KEDE-KEDE

Nwankwo Kanu ambaye pia ni balozi wa makampuni ya StarTimes barani Afrika akikabidhi msaada wa vyakula na vitu mbalimbali kwa Mwalimu Mkuu wa Abdul Mgomi na wanafunzi wa shule ya Msinga Mbagala Maji Matitu mchanganyiko Wilayani Temeke jijini Dar es salaam wakati alipoitembelea shule hiyo na kukutana na wanafunzi na uongozi. Nwankwo Kanu ambaye pia […]

Apr-08-2016

myadmin

MWANASOKA NWANKO KANU AFUNGUA DUKA LA STARTIMES LILILOPO JENGO LA MKUKI MALL JIJINI

Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Star Times Bw. Leo pamoja na Nwanko Kanu Balozi wa Star Times Afrika na  Mchezaji wa zamani wa timu ya Asernal ya Uingereza na timu ya taifa ya Nigeria  wakikata utepea kuashiria uzinduzi rasmi wa duka la Star Times lililopo katika jengo jipya la Mkuki Mall jijini Dar es salaam, […]

Apr-07-2016

myadmin

TAARIFA KWA UMMA; KUFUTWA KWA SAFARI ZA NDEGE APRILI 2, 2016

 Tunaomba radhi sana kwa taarifa kwamba  idadi kadhaa ya abiria wetu walishindwa kufika kwenye maeneo  waliyokusudia  jioni ya Aprili 2, 2016. Hii ilitokana na kushindwa kufanya kazi kwa mfumo wa taa kwenye njia ya  kurukia  kwenye uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro na hivyo kukosekana kwa usalama  ambao ungewawezesha marubani wetu  kutua.   Huu ni mfululizo wa matukio […]

Apr-06-2016

myadmin

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA KONGAMANO LA 21 KWA WATAFITI WA UCHUMI WA VIWANDA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti inayohusiana na maendeleo ya Ustawi Nchini (REPOA)  Dk Donald Mmari. kabla ya kufungua Warsha ya 21 ya Mwaka kwa Wasomi na Watafiti wa mambo ya maendeleo ya Uchumi wa Viwanda iliyoanza […]

Apr-06-2016

myadmin

VIZIMBUZI VYA STARTIMES VYAWASILI BAGAMOYO

 Ofisa Mtendaji wa Kata ya Yombo iliyopo Bagamoyo mkoani Pwani, Salimu Juma Mavaga (kushoto), akizungumza wakati wa kupokea vizimbuzi ‘ving’amuzi’ vya Kampuni ya StarTimes vilivyo tolewa kwa gharama ya sh,50,000 kwa wananchi wa vijiji vitatu vya  Yombo, Chasimba na Maimbwa wilayani humo jana.  Bibi Maendeleo ya Ustawi wa Jamii wa Kata hiyo, Melitha Kiwanga akizungumza […]

Apr-06-2016

myadmin

KUANZIA SASA WATEJA WATAWEZA “KUPELEKEWA VIFURUSHI HADI MLANGONI”

Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto), akimkabidhi Kaimu Postamasta Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga, moja ya kifurushi kwa ajili ya kupelekwa kwa mteja wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo. Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto), akimkabidhi Kaimu […]

Apr-06-2016

myadmin

WABUNGE WATAKA TANESCO ITUMBULIWE MAJIPU

Meneja Mkuu  wa Tanaleck Zahir Salehe ameiomba serikali irekebishe sheria za manunuzi ili zitoe kipaumbele kwa viwanda vya ndani viweze kukua na kutoa ajira nyingi hivyo kukuza pato la nchi. ……………………………………………………………………………………………………. Na Mahmoud Ahmad,Arusha.   Wabunge wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambao ni Wajumbe wa Kamati ya Viwanda na Biashara wamemtaka Rais John Pombe […]

Apr-05-2016

myadmin

TANESCO LATOA UFAFANUZI KUHUSU MALIPO YA GHARAMA ZA UMEME NCHINI.

 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO),Decklan Mhaiki (kulia) akizungumza na waandishi (hawapo pichani) Dar es Salaam kuhusu malipo ya sasa ya gharama za Umeme nchini.Mwengine ni Kaimu Meneja Mawasiliano na Uhusiano kwa Wateja,Leila Muhaji.  Kaimu Meneja Mawasiliano na Uhusiano kwa Wateja,Leila Muhaji.akiwakaribisha waandishi kwenye mkutano.   Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la […]

Apr-05-2016

myadmin

KAMPUNI YA KLSA SASA YAINGIA PKF

Katika kuhakikisha wanajitanua katika utoaji wa huduma bora za uhakiki na ukaguzi wa hesabu, kampuni ya KLSA Associates ya nchini imejiunga na mtandao wa kimataifa wa makampuni ya hesabu za kifedha na ushauri ya PKF ambapo baada ya kujiunga imebadilika jina kutoka KLSA Associates na kuwa PKF Associates Tanzania. Akizungumza katika halfa ya KLSA kujiunga […]

Apr-04-2016

myadmin

DAWASCO “WAISAFISHA” HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI

Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Majisafi na Maji taka Dar es Salaam (Dawasco ) Mhandisi Cyprian Luhemeja akishiriki zoezi la usafi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili na watumishi wa Dawasco. Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco ,Mhandisi Cyprian Luhemeja akiweka maji katika moja ya mashine inayotumika kuzibulia miundombinu ya maji taka ijulikanayo kama Jet […]

Apr-02-2016

myadmin

KAMPUNI YA AGANO SAFI “HATIMAYE YAPATA” LESENI YA BIASHARA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dk. Ally Simba (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Kampuni ya Agano Safi, Iyaloo Ya Nangolo leseni ya biashara itakayoiwezesha kutoa huduma za mfumo wa malipo mbalimbali kwa kutumia mtandao ‘malipo ya huduma anuai kwa njia ya kidigitali’ (Digital Payment Services). Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Huduma za Kisheria wa […]

Apr-01-2016

myadmin

TANZANIA NA KUWAIT ZASAINI MAKUBALIANO YA SAFARI ZA ANGA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam mara baada ya kusaini hati ya makubaliano ya safari za Anga kati ya Tanzania na Kuwait. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait, Mhandisi Yousef Al Fozan. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya […]

Mar-29-2016

myadmin

WAFANYAKAZI WA TBL ARUSHA WASHIRIKI UZINDUZI WA KAMPENI YA AFYA KWANZA

Wafanyakazi wa kiwanda cha TBL cha Arusha wakifanya mazoezi ya kukimbia wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Afya Kwanza mwishoni  mwa wiki Meneja wa kiwanda cha TBL mkoa wa Arusha,Salvatory Rweyemamu akipiga mpira kuashiria kuanzishwa kwa kampeni ya Afya Kwanza iliyoanzishwa na TBL Group kwa lengo la kuimarisha afya za wafanyakazi wake.    Meneja Uendeshaji […]

Mar-27-2016

myadmin

GALAXY S7 “YAPIGA HODI RASMI NCHINI”

Baloziwa Samsung Tanzania,Aisha Saki (katikati) akiwaelezea   Samsung Galaxy S7 Mlimani City  jijini Dar esSalaam.Kulia ni mabalozi wenzake. Balozi wa Samsung Tanzania,RhodaIddy (kulia) akimkabidhi mteja simu ya Samsung Galaxy S7 baada ya kuinunua mara baada ya uzinduzi wa simu hiyo uliofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam. Balozi wa Samsung Tanzania,Neema Mziray (katikati) akiwaelezea jambo wateja […]

Mar-26-2016

myadmin

KAMATI YA BUNGE YA UKIMWI YATEMBELEA MSD

Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu (mwenye suti nyeusi kushoto), akiwatembeza Wajumbe wa  Kamati Bunge ya Mauala ya Ukimwi waliotembelea MSD Keko Dar es Salaam jana. Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Bunge ya Ukimwi, Hassna Sudi Katunda Mwilima (wa pili kulia), akifafanua jambo kwa wajumbe hao na wageni katika ziara hiyo. Meneja […]

Mar-26-2016

myadmin

NAIBU WA FEDHA DR. KIJAJI “ATINGA SOKO LA HISA” LEO

Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Dkt. Ashatu Kijaji, Mwenyekiti wa Maendeleo Benki, Amulike Ngeliama (kushoto) na Mkurugenzi wa Tafiti, Sera na Mipango wa(CMSA) Nicodemus Mukama wakifuatilia jambo katika hafla hiyo. Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Dkt. Ashatu Kijaji akipiga kengele kuashiria uorodheshwaji rasmi wa Maendeleo Benki katika soko la hisa DSE jana. Kushoto […]

Mar-25-2016

myadmin

Prof. Kahyarara, MD WA NSSF AJIONEA UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI

Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara  akisalimiana na Mkurugenzi wa Mipango, Uwekezaji na Miradi wa NSSF, Yacoub Kidula. Wataalamu wa ujenzi wa daraja la Kigamboni wakisalimiana na Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara. Barabara za kuingilia darajani […]

Mar-25-2016

myadmin

MEET BRAVEBIRD: A TALENTED AND FAST GROWING ARTIST

  As an art enthusiast living is Dar I am still learning about the ‘Art Scene’ in the city and discovering new artists everyday. Sometime its people I know and didn’t even know they were painters or sculptors. One thing I have come to see and very excited about it that the ‘Art Scene’ in […]

Mar-24-2016

myadmin

TIGO YATOA 300M/- KUDHAMINI WANAFUNZI WA TEHAMA VYUO VIKUU

Meneja mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa kutangaza udhamini wa kampuni hiyo kwa wanafunzi tisa wanaochukua mafunzo ya Tehama katika vyuo vikuu vya hapa wa jumla ya shilingi million 300 mapema leo  jijini Dar Es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi mkuu wa DTBi, Mhandisi George Mulamula na kushoto ni Meneja wa […]

Mar-23-2016

myadmin

WAWEKEZAJI WA SUKARI KUTOKA INDIA “WATINGA NCHINI”

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kizungumza na ujumbe wa Wawekezaji kutoka India wanaokusudia kuwekeza katika kilimo cha miwa na kiwanda cha sukari hapa nchini, Ofisini kwake jijini Dar es salaam machi 23, 2016. Kushoto kwake ni Waziri wa Kilimo, Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa […]

Mar-23-2016

myadmin

SARUJI YA KIWANDA CHA TANGA SASA PIA KUSAFIRISHWA KWA RELI

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Bw. Martine Shigela akitoa taarifa ya hali ya miundombinu katika mkoa wa Tanga kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa ofisini kwake. Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Saruji cha Tanga (Simba Cement), Bw. Reinhart Swart (wa pili kulia) akimwonesha moja ya nyaraka Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la […]

Mar-23-2016

myadmin

BONANZA LA “POWERS” LAPIGWA TAFU NA MABIBO BEER

Ofisa Mauzo wa Kampuni ya Mabibo Beer Wine and Spirits Ltd  Ismail Mzava (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu udhamini wa bonanza lililoandali na Kituo cha Mazoezi cha Power or Fitness cha Mwenge litakalofanyika Viwanja vya Leaders Klabu Jumamosi. Kulia ni Mwalimu Mkuu wa Kituo hicho, Sas […]

Mar-23-2016

myadmin

MBUNGE VITI MAALUMU MHE ROSE TWEVE; ASAIDIA AKINA MAMA WAJASILIAMALI

  Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Iringa (ccm) Rose Tweve  Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Iringa (ccm) Rose Tweve akiwana baadhi ya wananchama wa chama ch mapinduzi. ……………………………………………………………………………………………………….. Na Sebastian Emmanuel jr. Mafinga. Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Iringa (ccm) Rose Tweve ameendelea kukutana na makundi mbalimbali katika mkoa huo, mwishoni mwa […]

Mar-22-2016

myadmin

IPAD 180 ZATUA MIKONI MWA MHE. NAPE: KWA WIZARA YA HABARI…

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo  Mhe. Nape Nnauye ( katika) akisalimiana na Balozi wa China nchini Tanzania Mhe. Lu You Qing wakati alipowasili katika ofisi za Kampuni ya ving’amuzi ya StarTimes kwa ajili ya kupokea msaada wa iPad kwa ajili ya kuboresha utendaji kazi wa Maafisa Mawasiliano Serikalini, kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu […]

Mar-22-2016

myadmin

TIGO YATOA MSAADA WA MADAWATI 500 KWA SHULE ZA MSINGI

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda akihutubia wananchi na wanafunzi katika makabadhiano wa msaada wa madawati 500 yenye thamani ya shilingi milioni 82.5 kwenye shule kumi za msingi katika mkoa wa Dar es Salaam Sherehe ya makabidhiano ilifanyika shule ya msingi Kawawa iliyopo Kigogo Luhanga.     Mkuu wa Mkoa wa Dar […]

Mar-22-2016

myadmin

WAWEKEZAJI “MWAKARIBISHWA SANA” TANZANIA: URASIMU SASA UMEONDOLEWA

Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania, Thami Mseleku,( kushoto) akisaini kitabu cha wageni ofisini kwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo( kulia) alipomtembelea ofisini kwake kwa  nia ya kufahamu fusra zaidi ya uwekezaji. Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo( kushoto) akiwa na Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania, Thami Mseleku,( kulia) […]

Mar-21-2016

myadmin

ANGALIA WANA – PPF WASHIRIKI BONANZA MAALUM JIJILI DAR: NI VICHEKESHO

  Mfanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Anthony Mkinga, akiruka kujaribu kumkamata Kuku, wakati wa mchezo huo wa kufukuza kuku katika Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo.  Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakichuana katika mchezo wa mbio […]

Mar-19-2016

myadmin

WASHINDI WA PROMOSHENI YA KWEA PIPA KWENDA BARCELONA WATANGAZWA

Mshindi wa  wa Promosheni ya kwea pipa  kwenda kushuhudia mechi ya Ligi Kuu ya Hispania maarufu kama La Liga, kati ya Deportivo la Coruna na Barcelona Machi mwaka huu Jamal Othman mkazi wa Lushoto, Tanga akikabidhiwa mfano wa hundi toka kwa Meneja Promosheni wa Tigo Pesa, Mary Rutta na Mkuu wa Idara ya Masoko ya Azam Media, Mgope […]

Mar-19-2016

myadmin

KIWANDA CHA RHINO CEMENT CHA TANGA CHAPATA KIPIGO-CHA-MWAKA “CHAFUNGIWA”

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira Mh Luhaga Mpina akitolea ufafanuzi namna ambayo fukwe ya Pangani imeathirika na athari zitokanazo na mabadiliko ya tabia nchi. kushoto meneja mkuu wa kiwanda cha maziwa cha tanga fresh Bw. Michael Kalata, akimuonyesha mh Naibu Waziri wa Nchi ofisi ya makamu wa Raisi Muungano na […]

Mar-18-2016

myadmin

KIWANDA CHA AFRICAN STARCH PROJECT “CHAWASHA MASHINE ZAKE TENA”

Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Bw. Alvaro Rodriguez (kulia) na Kiongozi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Mitaji (UNCDF), Peter Malika (katikati) wakipata maelezo kutoka kwa mmoja wa wasimamizi wa shamba la muhogo huku wakiangalia shina la muhogo mchanga kabla ya kukomaa. Mratibu Mkazi na […]

Mar-18-2016

myadmin

TIGO “YAONGEZA NGUVU” SINGIDA

Mkuu wa Wilaya ya Singida mjini, Saidi Amanzi(katikati) akikata utepe kuzindua duka jipya la Tigo mkoani Singida jana, Wanaoshuhudia kushoto ni Mkurugenzi wa Tigo kanda ya kaskazini, George Lugata na Meneja huduma kwa wateja Tigo, Halima Kasoro.     Mkuu wa Wilaya ya Singida mjini, Saidi Amanzi(kulia) akiangalia bidhaa mbalimbali mara baada ya kuzindua duka […]

Mar-18-2016

myadmin

KITUO CHA MKUBWA FELLA CHAPOKEA KOMPUTER TOKA ZANTEL

Mtendaji Mkuu wa kampuni inayotoa huduma za simu Benoit Janin wa pili kutoka kushoto akiongea na wanahabari hawapo pichani katika hafla ya kuwakabidhi msaada wa kompyuta tatu kituo cha Mkubwa Fella. Wa pili kutoka kulia ni Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Sanaa Wizara ya Habari. Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Leah Kihimbi Hafla hiyo imefanyika […]

Mar-18-2016

myadmin

DAR – NAIROBI WAPATA SAFARI ZAIDI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI                  ……………………………………………………………….. Dar es Salaam, Machi 15, 2016 – Shirika la ndege la gharama nafuu Afrika, Fastjet Tanzania limeongeza idadi ya safari zake  kwenye njia yake ya Dar es Salaam  na Nairobi ikiwa ni mwitikIo  mkubwa kwa mahitaji ya abiria. Kuanzia Machi 21 […]

Mar-16-2016

myadmin

SEKTA YA SANAA “YALA MSASA WA NGUVU” DAR

Kwa mara ya kwanza, wadau wa Sanaa nchini wamepata fursa ya kukutana na Makampuni, Mashirika na Vyombo mbalimbali katika mafunzo yaliyofanyika hotel ya Hyatt Regency,jijini Dar es Salaam. Semina hii iliongozwa na Maria Sarungi Tsehai, ambaye ni mdau mkubwa katika sekta hii Mafunzo hayo yalifanywa na wataalam kutoka sekta mbalimbali kama Nyumba, Urembo, Saikolojia, Sanaa […]

Mar-12-2016

myadmin

DUKA KUBWA LA KAMERA ZA KISASA LA DEO FILIKUNJOMBE LAZINDULIWA DAR ES SALAAM

Mkurugenzi wa Mauzo wa Kampuni ya Jumbo Camera House, Mathias Luoga akionesha vifaa mbalimbali vya kamera wakati wa uzinduzi wa duka jipya lililopo Jengo la NSSF Benjamin Mkapa, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Sara Filikunjombe,  mke wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ludewa, marehemu Deo Filikunjombe ambaye pia mmiliki wa […]

Mar-11-2016

myadmin

MAONYESHO YA SABA YA BIDHAA ZA HARUSI “YAFUNGULIWA RASMI”

Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akimkabidhi Cheti cha ushiriki Bw.Erasto Mike wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya saba ya bidhaa za harusi leo  jijini Dar es Salaam. Mhe. Anastazia Wambura Naibu waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akiangalia bidhaa kutoka kwa mjasiriamali Bi Helen-Lukundo Chonjo( Kulia) wakati alipokuwa akifungua maonyesho […]

Mar-11-2016

myadmin

WAZIRI MKUU AWAHAKIKISHIA FURSA ZA UWEKEZAJI WA VIETNAM

Na Anitha Jonas – MAELEZO Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa amewahakikishia wawekezaji kutoka Vietnam kuwepo kwa fursa za uwekezaji nchini. Majaliwa ameyasema hayo jana katika kongamano la ujumbe wa Rais wa Vietnam Mheshimiwa Troung Tan Sang pamoja na wadau wa uwekezaji kutoka nchini humo ambapo […]

Mar-10-2016

myadmin

RAIS A VIETINAM AHUTUBIA MKUTANO WA BAIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA VIETINAM

Rais wa Vietinam, Trung Tan Sang akizungumza na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kabla ya kuanza kwa mkutano wa biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Vietinam kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Machi 9, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)  Baadhi ya washiriki wa  mkutano wa biashara […]

Mar-10-2016

myadmin

GINCO YAENDESHA SEMINA KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Gihon Needy Comfort Organization (GINCO), Rebecca Stanford (kushoto), akiwaonesha nguo wanawake wajasiriamali katika semina ya siku moja ya kuwaongezea uwezo na stadi za maisha iliyofanyika mwishoni mwa wiki Makao Makuu ya Taasisi hiyo Ukonga jijini Dar es Salaam.  Wanawake wajasiriamali wakiwa kwenye semina hiyo.  Semina ikiendelea.  Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi […]

Mar-08-2016

myadmin

KAMPUNI YA UK SPORT “YAPIGA HODI” TANZANIA

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel akizungumza jambo na mshauri wa maendeleo ya kimataifa wa kampuni ya Uk sport Bi.Clare Barell.Kampuni iyo ni mshirika wa Tanzania katika maendeleo ya Michezo. Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na mshauri wa maendeleo ya […]

Mar-08-2016

myadmin

SPIKA AFUNGUA MKUTANO KATI YA WABUNGE NA WADAU WA AFYA

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Mtaalamu  Mwandamizi wa Masuala ya Afya kutoka Mfuko wa Dunia wa Afya Bw.Svend Robinson. Walikuwa wakizungumza kabla ya kuanza kwa mkutano uliowahusisha baadhi ya Wabunge na wadau wa Afya. Mkutano huo ulilenga kujadili kuhusu uwekezaji katika Sekta ya Afya na ulifayika leo tarehe 3 Machi, 2016 Jijini […]

Mar-07-2016

myadmin

TAWI LA BANK OF AFRICA MLANDEGE ZANZIBAR LAANZA KAZI

Tawi Jipya la Bank Of Africa lililofunguliwa na Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee likiwa Tawi la 22 Bank Of Afrika Nchini Tanzania, linalotowa huduma za Kibenki. Wajumbe wa Bank Of Africa wakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Bank Of Africa Nchini Tanzania Bwa. Ammish Owusu-Amoah, katikati wakizungumza wakimsubiri Mgeni rasmin Waziri wa Fedha […]

Mar-05-2016

myadmin

BOA YAWAJENGEA UWEZO WA KIBIASHARA WADAU WA ZANZIBA

Mkurugenzi Mkuu wa Bank Of Africa Bwa. Ammish Owusu Amoah akitowa maelezo kwa Washiriki wa Warasha ya Siku Mbili ya Kuwajengea Uwezo Wafanyabiashara kuibua Mipango ya Biashara iliowashirikisha Wadau mbalimbali katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar. Mkurugenzi Mkuu wa Bank Of Africa Ammishi Owusu-Amoah akisisitiza jambo wakati wa ufungaji wa Warsha […]

Mar-04-2016

myadmin

PSPF “WAPIGA HODI” UKONGA

Afisa Uendeshaji kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bw. Delphin Richard akizungumza na wananchi wa Ukonga pamoja na maeneo mengine ya mji wa Dar es Salaam kuhusu Mfuko wa Hiari wa PSPF wakati wa Semina ya Ujasiriamali Ukonga jana jijini Dar es Salaam Afisa Uendeshaji kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bw. Delphin Richard akifafanua […]

Mar-03-2016

myadmin

KODI KWENYE SEKTA YA VINYWAJI VYENYE KILEVI “YAANGALIWA KWA UKARIBU”

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt.Adelhelm Meru, (kushoto) akibadilishana mawazo na  Mkurugenzi  Mkuu wa TBL Group ,Roberto Jarrin  wakati  wa semina ya kujadili masuala ya kodi kwenye sekta ya vinywaji iliyofanyika  jana katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kilimo,Maji na Mifugo Dk.Mary Nagu […]

Mar-03-2016

myadmin

WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WAIPONGEZA SERIKALI

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania Bw. Saimon Mwakifamba (Kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati akitoa pongezi za Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) kwa Serikali ya Awamu ya Tano katika mkutano na waandishi wa habari.picha na Jacquile Mrisho MAELEZO ………………………………………………………………………………………………………….. Na Jacquiline Mrisho, MAELEZO,  Dar esSalaam Chama cha Wasambazaji wa Filamu Tanzania kimeipongeza […]

Mar-03-2016

myadmin

BANK OF AFRICA “KUWAPIGA JEKI” WAFANYABIASHARA ZANZIBAR

Mkufunzi wa Warsha ya ilioandaliwa na Bank of Africa Erick Chrispin akitowa Mada wakati wa Warsha hiyo iliowajumuisha Wafanyabiashara na Wajasiriamali Zanzibar katika Kuboresha na Kujenga Biashara katika kutengeneza Mpango wa Biashara iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.  Washirikib wa Warsha hiyo wakifuatilia kwa makini Mada zinazowesilishwa wakati wa Warshi […]

Mar-02-2016

myadmin

SERIKALI YAAHIDI KUWAPATIA VIJANA MITAJI KWA AJILI YA KILIMO CHA KISASA

Mkurugenzi Maendeleo ya Vijana Taifa Ofisi ya Waziri Mkuu;Sera,Uratibu,Bunge,kazi,Ajira,Vijjana na watu wenye Ulemavu James Kajugusi (katikati) akipata ufafanuzi juu ya kilimo cha mbogamboga toka kwa Mwenyekiti Kinondoni Saccoss Neema Urio (Kulia) katika ufunguzi mafunzo ya kilimo cha kisasa kwa vijana kulia mwa Mkurugenzi Maendeleo ya Vijana ni Mkurugenzi Msaidizi Mafunzo Idara ya Vijana Venerose Mtenga […]

Mar-02-2016

myadmin

HALI YA UNYONYESHAJI WATOTO NCHINI SIO NZURI

Mwakilisha wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) nchini, Bi. Maniza Zaman akitoa neno la ufunguzi katika warsha iliyoandaliwa na UNICEF ili kujadili jinsi uwekezaji mkubwa zaidi katika kunyonyesha maziwa ya mama kunaweza kusaidia maendeleo kiuchumi na kuokoa maisha ya watoto nchini.(Picha zote na Rabi Hume wa Modewjiblog) Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya […]

Mar-01-2016

myadmin

CFAO MOTORS GROUP NA ALLIANCE AUTOS KUTOA ELIMU YA USALAMA MASHULENI

Meneja wa Volkswagen nchini, Bi. Tharaia Ahmed (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mafunzo ya elimu ya usalama barabarani ambayo wanataraji kufanya katika shule 18 zilizo katika Manispaa ya Ilala.Mkurugenzi Mtendaji wa CFAO Motors Group, Eric Potin, (katikati)  na Mwanzilishi wa mashindano ya mbio za magari ya Go4school, Henning Nathow. Katika kusaidia kupambana na […]

Feb-29-2016

myadmin

TPB YATOA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA SACCOS KIGOMA

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Issa Machibya, (kushoto), akimpatia mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni75 Kaimu mwenyekiti wa Saccos ya Ishimwe Kigoma Bi.Gabriela Hangula wakati wa hafla ya kukabidhi fedha kwa vikudi vya benki za vijijini (VICOBA), mkoani humo,. Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma. John Ndungulu, Katibu Mtendaji wa Baraza la […]

Feb-29-2016

myadmin

Kampuni ya simu za Halotel zamwaga misaada Lindi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea hundi ya shilingi milioni tisa kutoka kwa Mtalaam wa Ufundi wa Kampuni ya simu ya Halotel wa mkoa wa Lindi, Tran The Hoang ili ziweze kugharimia malipo ya kadi za bima ya Afya kwa baadhi ya wakazi wa kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa. Alikuwa katika ziara ya siku moja wilayani […]

Feb-29-2016

myadmin

4G LTE – TIGO “YAINGIA KWA KASI” MKOANI KILIMANJARO

Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, George Lugata akiongea na wageni waalikwa na wanahabari wakati wa hafla ya uzinduzi wa  intaneti yenye kasi ya Tigo 4G LTE mkoani Kilimanjaro juzi. Mkuu wa Kitengo cha Biashara kampuni ya Tigo(B2B), Rene Bascope akiongea na wageni waalikwa na wanahabari wakati wa hafla ya uzinduzi wa  intaneti yenye kasi […]

Feb-28-2016

myadmin

“IJUE” MBEZI GARDEN HOTEL: HUDUMA NZURI, CHAKULA MWANANA, NA BEI NAFUU

    Karibuni BIRYANI CENTER at ‪Kwa Mahitaji ya Lunch & Takeaways! Buffet ni Tsh 10,000. Delivery 2,000. Call us Today and Press your Order 0672-730700.     Tuambie inawatakia kila la HERI wenzetu (kibiashara) wa MBEZI GARDEN kwa utoaji wa huduma nzuri bila ya kuchoka!

Feb-27-2016

myadmin

MHE. DK. JULIANA PALANGYO AKUTANA NA KAMPUNI YA ORYX ENERGIES

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya nishati Dk. Juliana Palangyo akiendesha kikao kati ya kampuni ya nishati ya Oryx Energies yenye makazi  yake jijini Geneva, Switzerland  pamoja na watendaji wa Wizara ya Nishati na Madini. Lengo la kikao hicho lilikuwa ni kujadili utendaji kazi wa kampuni hiyo nchini. Mkurugenzi […]

Feb-27-2016

myadmin

WAFANYABIASHARA MKOA WA ARUSHA,WAAHIDI KUUNGA MKONO SERIKALI

Waziri wa Fedha na Mipango,Dk Philip Mpango akizungumza na jumuiya ya Wafanyabiashara mkoa wa Arusha leo katika ukumbi wa Mkuu wa mkoa na kuwakumbusha wajibu wao kulipa kodi stahiki ili kukuza uchumi wa nchi,kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Arusha,Fadhil Nkurlu na Kamishna wa Kodi za ndani,Shogholo Mgonja. Kamishna wa Kodi za ndani,Shogholo Mgonja akijibu […]

Feb-26-2016

myadmin

KITUO CHA AMANI CENTER “CHAPIGWA JEKI: MISAADA KEDEKEDE

Meneja wa Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo kanda ya Kaskazini,Henry Kinabo (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 5 afisa uhusiano wa kituo cha kulea watoto waishio kwenye mazingira magumu cha Amani Center ,Kampuni ya Tigo imetoa kiasi hicho cha fedha pamoja na vifaa vya michezo kwa ajili ya maandalizi ya mbio za Kilimanjaro […]

Feb-26-2016

myadmin

HUDUMA YA 4G LTE “YAPIGA HODI” MOSHI

Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Kaskazini George Lugata (katikati)  akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) katika uzinduzi wa huduma ya 4G LTE jijini Dodoma, kushoto ni Meneja wa huduma ya 4G LTE, Benedict Mponzi na kulia kwake ni Meneja Masoko wa kanda ya kaskazini  Kephar Kileo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika mapema leo […]

Feb-25-2016

myadmin

TAWI JIPYA LA BENKI YA AMANA MBAGALA LAFUNGULIWA LEO

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashantu Kijaji, akifunua kitambaa kama ishara ya kuweka Jiwe la msingi katika Jengo la Benki ya Amana, wakati alipokuwa akimwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuzindua Tawi jipya la Benki hiyo lililofunguliwa Mbagala Zakiem jijini Dar es Salaam, leo Feb […]

Feb-25-2016

myadmin

WAWEKEZAJI SEKTA YA GESI WATAKIWA KUONGEZA KASI UTEKELEZAJI MIRADI

Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Dkt.  James Mataragio (katikati) akiongea jambo wakati wa kikao cha Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (wa kwanza kushoto) na wawekezaji wa Kampuni za kutatifi na kuchimba mafuta na gesi nchini. Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Utafiti wa Shirika la Maendeleo ya Petroli […]

Feb-25-2016

myadmin

KAMPUNI YA KUOSHA MAGARI KWA KUTUMIA MVUKE “YATUA” JIJINI DAR ES SALAAM

Baadhi ya magari ya wateja yakiendelea kuoshwa katika kampuni ya Shine Eco Wash Limited yenye makazi yake Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mmoja wa wafanyakazi katika kampuni ya Shine Eco Wash Limited yenye makazi yake Mlimani City jijini Dar es Salaam akiendelea na kazi ya uoshaji. Kazi ya uoshaji wa magari ikiendelea katika kampuni […]

Feb-25-2016

myadmin

MSAJILI WA HAZINA AKAGUA UJENZI WA MRADI WA ECO RESIDENCE

Bw. Lawrence Mafuru Msajili wa Hazina akishuka kwenye gari wakati alipowasili kwenye mradi wa Eco Residence ulioko Kinondoni Hananasifu unaojengwa na shirika la Nyumba la Taifa NHC huku akiongozwa na Mkurugenzi wa shirika hilo Bw. Nehemia Mchechu tayari kwa ukaguzi wa jengo hilo ambalo nyumba zake zote zimeshauzwa na linatarajiwa kukabidhiwa hivi karibuni kwa Shirika […]

Feb-24-2016

myadmin

WAJASIRIAMALI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA MIKOPO YA MASHINE BILA DHAMANA

Mahmoud Ahmad Arusha Wajasiriamali kote nchini wakiwamo pia wakulima na wafugaji nchini wametakiwa kuchangamkia fursa ya mikopo ya vifaa ikiwemo trekta na mashine mbali mbali za kilimo na ufugaji sambamba na vifaa mbali mbali lengo likiwa ni kukuza kipato kwa wananchi. Akizungumza na waanahabari meneja mikopo wa kampuni ya Wasambazaji wa vifaa kutoa mikopo kwa […]

Feb-24-2016

myadmin

PSPF “YAELEKEZA NGUVU ZAKE” KWA WAJASIRIAMALI

Afisa Mauzo na Masoko kutoka PSPF Bw. Ismail Omary kilia akimpa maelekezo ya juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Mfuko huo mgeni rasmi Yeremia Mbaghi kutoka TRA ikiwa ni pamoja na huduma ya uchangiaji wa hiari kwa wajasiriamali.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM). Afisa uendeshaji  kutoka PSPF Bw. Delphine […]

Feb-23-2016

myadmin

Makandarasi wote wapewa “mwezi mmoja” kuhakikisha wanasaini mikataba mipya ya ajira

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akifafanua jambo kuhusu ukusanyaji madeni ambayo Wakala wa Majengo nchini (TBA) inadai wapangaji wake. Muonekano wa barabara ya Sakina-Tengeru Km 14.1 inayojengwa kwa njia nne kwa kiwango cha lami ili kupunguza msongamano wa magari kuingia na kutoka katikati ya jiji la Arusha. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi […]

Feb-23-2016

myadmin

MFANYABIASHARA WA MCHELE ASHINDA SAFARI YA STARTIMES KWENDA UJERUMANI

Mshindi wa droo ya pili wa promosheni ya Pasua  Anga na StarTimes, Bw. Johannes Maluli (kulia), akibonyeza kitufe cha kuchezesha droo ya kumpata mshindi wa tatu wa safari ya kwenda Ujerumani kutazama mechi ya Bundesliga. Wakishuhudia katikati ni Balozi wa kampuni hiyo kwa upande wa vipindi na chaneli za michezo, Bw. Shaffih Dauda na Meneja […]

Feb-23-2016

myadmin

VIZUIZI NI “KERO” KWA WAFANYABIASHARA WA MAZAO YA MISITU

Na.Ahmad Mmow,Lindi. Wingi wa vizuizi vya ukaguzi barabarani umetajwa kusababisha rushwa na usumbufu kwa wafanyabiashara wanaosafarisha mazao ya misitu. Hayo yalielezwa jana na wafanyabiashara wa mbao na magogo kwenye warsha ya wafanya biashara wa mbao na magogo wa uwanda wa Selous hadi Ruvuma, iliyofanyika jana katika manispaa ya Lindi. Wakizungumza kwenye warsha hiyo iliyoandaliwa na […]

Feb-21-2016

myadmin

SHULE YA MAKAMBI YAPOKEA KWA “MIKONO MIWILI” VYOO VIPYA TOKA BENKI YA POSTA

Wanafunzi wa shule ya msingi ya Makambi iliyopo Kata ya NdilimaLitembo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wakifurahia vyoo vyakisasa vilivyojengwa na Benki ya Posta Tanzania.   Meneja Mwandamizi wa Mahusiano na Mawasiliano wa Benki ya Posta,Noves Moses akiongea kwenye mkutano katika shule hiyo muda mfupi kabla ya kuzindua vyoo hivyo. Meneja Mwandamizi wa Mahusiano na Mawasiliano wa […]

Feb-20-2016

myadmin

WANAWAKE WAPATA SOMO LA NGUVU: TAASISI YA MANJANO FOUNDATION

Mmoja kati ya wanawake walioshirikia Mafunzo ya Ujasiriamali Kutoka Mkaoni Arusha akiwa kwenye Muonekano tofauti Mara na Naada ya Kutumia Vipodozi kwa Usahihi baada ya Kuapatiwa Elimu hiyo na wataalamu kutoka Taasisi ya Manjano foundation.. Mafunzo ya ujasiriamali kwa wanawake wa arusha yameingia awamu ya pili.Washiriki wamepata fursa ya kufahamu zaidi kuhusu vipodozi vya LuvTouch […]

Feb-19-2016

myadmin

BODI YA WAKURUGENZI YA TSN “YAMWALIKA” PROF ELISANTE OLE GABRIEL

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel (wa kwanza kulia) akizungumza na wajumbe wa Bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya magazeti ya Serikali ya Tanzania Standard Newspaper Ltd (TSN) kuhusu changamoto mbalimbali za kampuni hiyo  leo jijini Dar es Salaam. Kulia kwa katibu mkuu ni Prof Moses Warioba ambaye […]

Feb-18-2016

myadmin

MHE. RWEGASIRA AKIPONGEZA KIWANDA CHA VIATU GEREZA KARANGA MJINI MOSHI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (kulia aliyevaa kiraia) akiingia ndani ya Kiwanda cha Viatu Gereza Karanga mjini Moshi. Rwegasira amefanya ziara kwa kukitembelea kiwanda hicho kwa lengo la kujifunza shughuli mbalimbali zinazofanywa na Jeshi la Magereza. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. […]

Feb-18-2016

myadmin

FEDHA ZA UMEME “ZIPO”: PROF. MUHONGO

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (mbele katikati), akiongea jambo wakati wa kikao kati yake na wawekezaji katika Sekta ya Nishati, katika Ukumbi wa Tanesco, Jijini Dar es Salaam. Kulia kwa Waziri ni Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Julieth Kairuki. Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, akiongea jambo na […]

Feb-18-2016

myadmin

WATEJA WA TIGO, AZAMTV NA LIGABBVA KWENDA KUANGALIA MECHI YA BARCELONA “BURE”

Mtendaji Mkuu wa Azam TV, Rhys Torrington (kushoto) akizungumza wakati wa uzinduzi wa Promosheni ya kujishindia safari ya kwenda kushuhudiamechi ya Ligi Kuu ya Hispania maarufu kama La Liga, kati ya Deportivo la Coruna na Barcelona Machi mwaka huu .  Katikati yake  ni Meneja Promosheni wa Tigo Pesa, Mary Rutta.Kulia kwake Mkuu wa Idara ya Masoko ya Azam TV, […]

Feb-18-2016

myadmin

CRDB BANK “SASA IMEKUWA”: YAFIKISHA MIAKA 20

Mkurugenzi wa Masoko, Utafitti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akizungumza kabla ya kumkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya sherehe za miaka 20 ya benki ya utendaji wa benki hiyo uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)  Mkurugenzi Mtendaji wa […]

Feb-18-2016

myadmin

MAKAMBA AKUTANA NA UJUMBE WA MFUKO WA SEKTA BINAFSI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba akiskiliza kwa makini ujumbe uliomtembelea Ofisini kwake toka Mfuko wa Sekta Binafsi Tanzania.  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba akizungumza na ujumbe uliomtembelea Ofisini kwake kutoka Mfuko wa Sekta Binafsi Tanzania. 

Feb-18-2016

myadmin

FASTJET YAPUNGUZA SAFARI ZA KILIMANJARO – NAIROBI

Fastjet imepunguza mtiririko wa safari zake  kwenye njia ya Kilimanjaro Tanzania na Nairobi Kenya kuanzia Jumatatu Februari 15, 2016. Fastjet ambao awali walikuwa wanatoa safari za kila siku kwenye njia hii hivi sasa watakuwa wanafanya  safari kutoka Uwanja Ndege wa  Kimataifa wa Jomo Kenyatta hadi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro mara mbili kwa wiki  siku za Ijumaa na Jumapili […]

Feb-18-2016

myadmin