Health/Afya

USAFI DAR SIO NGUVU YA SODA TENA: MIKAKATI YAIMARISHWA

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda akiongozana na Diamond Plutnamz huku ulinzi ukiwa umeimarishwa wakati wa matembezi hayo yaliyofanyika leo kwa ajili ya kuhamasisha wakazi wa jiji la Dar es salaam kufanya usafi katika maeneo yao.Haya ni miongozi mwa matukio yaliyojiri wakati wa matembezi hayo ya kuhamashiwa wakazi wa jiji […]

Apr-30-2016

myadmin

MAPENDEKEZO YA SHERIA YA WAZEE KUWASILISHWA BUNGENI

NAIBU WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla amesema Serikali imekamilisha mapendekezo ya uundwaji wa Sheria ya Wazee ambayo yatawasilishwa katika mkutano wa Bunge wa Septemba. Dk. Kigwangalla aliyasema hayo jana (Ijumaa, Aprili 29, 2016) wakati  akitoa ufafanuzi kwa Viongozi wa Mtandao wa Wazee waliomtembelea Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa […]

Apr-30-2016

myadmin

UZAZI WA MPANGO NI MUHIMU SANA

Mtaalam wa masuala ya uzazi wa mpango kutoka Marie Stopes Tanzania, Bi. Ester Meena akitoa elimu ya uzazi wa mpango kwa wananchi wa kijiji cha Itobo, Itirima – Simiyu mapema wiki iliyopita. Elimu hiyo ya uzazi wa mpango iliendana na huduma ya upimaji wa afya ikiwa ni pamoja na kutoa huduma ya uzazi wa mpango. […]

Apr-29-2016

myadmin

SERIKALI YAZIDI KUPAMBANA NA UGONJWA WA MALARIA NCHINI

Na Beatrice Lyimo-MAELEZO 27/04/2016 Kufanikiwa kwa juhudi za Kutokomeza ugonjwa wa Malaria kutaufanya ulimwengu kuwa mahali pazuri na salama pa kuishi kwa kizazi hiki na vizazi vijavyo na kuwawezesha mamilioni ya watu kufikia malengo yao kimaisha. Hivi karibuni Tanzania imeungana na nchi nyingine Ulimwenguni kuadhimisha siku ya Malaria duniani ambapo ni maalumu kwa ajili ya […]

Apr-29-2016

myadmin

JAMII YASHAURIWA KUWAPELEKA WATOTO KWENYE CHANJO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Mpoki  Ulisubisye akifafanua jambo kwa waandishi wa habari. ……………………………………………………………………………………………………… Na Magreth Kinabo- Maelezo  Jamii imeshauriwa  kuwapeleka watoto wote wanaostahili kupata chanjo    walio chini ya umri wa miaka mitano katika vituo vya afya ili waweze kupatiwa chanjo  ili kuweza kutokomeza maradhi na kupunguza vifo vya […]

Apr-29-2016

myadmin

TANAPA YAKABIDHI MABATI 2800 KUSAIDIA UJENZI WA MAABARA NA ZAHANATI WILAYANI SERENGETI

  Mbunge wa Jimbo la Serengeti Mhe. Marwa Ryoba (kushoto) akipokea msaada wa mabati kutoka kwa Meneja Ujirani Mwema wa TANAPA Bw. Ahmed Mbugi wilayani Serengeti   ……………………………………………………………………………   Na Jacquiline Mrisho – Dar es Salaam   Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limekabidhi jumla ya mabati 2800 kwa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara kusaidia ujenzi wa maabara 15 […]

Apr-29-2016

myadmin

WAANDISHI ZANZIBAR WAPEWA SEMINA JUU YA GONJWA LA KIPINDUPINDU

Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Muh’d Dahoma akifungua mafunzo ya siku moja kwa wandishi wa Habari kuhusu maradhi ya kipindupindu katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazimmoja Mjini Zanzibar. Mkuu wa Kitengo cha Elimu ya Afya Zanzibar Nd. Kheri Makame Kheri akitoa ufafanuzi kuhusiana na maradhi hayo na kuwataka waandishi kujikita zaidi […]

Apr-28-2016

myadmin

JE WAJUAAAA? SIO KILA HOMA NI MALARIA, NENDA UKAPIME

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akipima afya yake kujua kama ana vimelea vya ugonjwa wa malaria baada ya kutoa tamko la maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani mjini Dododma Aprili 25 mwaka huu. …………………………………………………………………………………………… Na Eleuteri Mangi-MAELEZO, Dodoma. La mgambo likialia kuna jambo, safari ya kujenga taifa bora […]

Apr-28-2016

myadmin

Please, keep our cities clean

By Andrew Massawe So I have been thinking about that space; that space between buildings and the road…. that space so many property owners seem to neglect to upkeep; that place that has got you asking why is Dar es Salaam so dirty…. if we all took ownership to maintain (via guidelines) the landscaping and […]

Apr-21-2016

myadmin

KAMPENI YA CHANJO YA MINYOO KWA WATOTO CHINI YA MIAKA MITANO

Na Masanja Mabula –Pemba  WAKATI  kampeni ya utoaji wa Matone ya Vitamin ;A; na Dawa za Minyoo kwa watoto waliochini ya miaka mitano ,   likitarajia kufanyika tarehe 23 mwezi huu , uteuzi wa watendaji kwa ajili ya zoezi hilo umelalamikiwa na  baadhi ya masheha wa Wilaya ya Wete wakidai umefanyika kwa kujuwana . Wakizungumza na […]

Apr-19-2016

myadmin

Haya yanavuti: Lakini usisaha kufanya uchunguzi binafsi!!!!!!

               

Apr-17-2016

myadmin

Kwa wapendao afya zao

                               

Apr-17-2016

myadmin

NAIBU WAZIRI DKT. KIGWANGALLA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla akikagua baadhi ya nyaraka za kituo cha tiba Mbadala cha Korea Medical Clinic kilichopo Kariako0 Mtaa wa Livingstone na Mahiwa jijini Dar es Salaam akiwa katika ziara ya kushtukiza ambapo alifungia vituo viwili vya  Korea Medical Clinic na kituo cha Mwenyekiti […]

Apr-16-2016

myadmin

NATOA “SIKU TISINI TU” UWE UMENUNUA MASHINE YA MIONZI X RAY

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto akiongea na baadhi ya wakazi wa kahama waliofika hospitalini hapo kuangalia wagonjwa wao. Waziri.Ummy Mwalimu akitoa angalizo kwa wagonjwa waliofika kupata matibabu kwenye hospitali ya rufaa ya mkoa wa.shinyanga Mh.Ummy Mwalimu akiwaelekeza kamati ya afya ya wilaya ya kahama mahali linapotakiwa kuwekwa bango linaonesha huduma za wazee inapopatikana. […]

Apr-16-2016

myadmin

CHANIKA KUPATA HOSPITALI YA KISASA

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kulia) na Makamu wa Rais wa Shirika la Koica la nchini Korea Kusini, Taemyon Kwon, wakiweka tofali kwa pamoja kuashiria uweka wa jiwe la msingi la Hospitali ya Chanika iliyopo Manispaa ya Ilala, inayojengwa kwa ufadhili wa nchi hiyo Dar es Salaam jana. Ujenzi huo hadi […]

Apr-16-2016

myadmin

WAZIRI UMMY MWALIMU AZINDUA BARAZA LA USAJILI LA MAZINGIRA

Waziri  afya ,maendeleo ya jamii,jinsia ,wazee na watoto Ummy Mwalimu akiongea na wajumbe wa  baraza jipya  la usajili wa wataalam wa afya ya mazingira nchini(hawapo pichani) kushoto ni Mganga  Mkuu wa Serikali Prof: Bakari Mohammad Baadhi ya wajumbe wa baraza hilo pamoja na maofisa mazingira wakifuatilia hotuba ya Mh. Waziri Ummy Mwalimu Mwenyekiti mpya wa […]

Apr-14-2016

myadmin

DK. KIGWANGALLA AKUTANA NA AFISA MIRADI KUTOKA SHIRIKALA LA IAEA

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Andrea Kigwangalla (wa pili kushoto) akisikiliza kwa makini mazungumzo na Afisa  miradi anayesimamia miradi ya mionzi barani Afrika kutoka wakala wa Kimataifa wa nguvu za Atomiki (IAEA), Bw. Solomon Haile (wa kwanza kulia). Wengine ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Tiba anayeshughulikia magonjwa […]

Apr-14-2016

myadmin

ELIMU YA MARADHI YASIYOAMBUKIZA YATOLEWA LEO

Mkuu wa Kitengo cha maradhi yasiyoambukiza (NCD) Omar Mwalimu Omar akitoa elimu  kwa wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Kiembesamaki juu ya njia bora za kujikinga na  maradhi yasiyoambukiza ikiwa ni maadhimisho ya siku ya afya Duniani.  Muuguzi kutoka kliniki  ya wagonjwa wa kisukari Hospitali ya Mnazimmoja Bi. Mwanaharusi Shaaban akitoa elimu ya ugonjwa wa […]

Apr-14-2016

myadmin

“KWA MIAKA 18” ZAHANATI YA KIJIJI CHA UTURO “HAIKUWA NA VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI”

Na.Catherine Sungura, Mbarali Waziri wa afya,maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto Ummy Mwalimu,,ameipongeza zahanati ya uturo wilayani Mbarali kuwa ni ya mfano Tanzania kwa kuzuia vifo vitokanavyo na mama wajawazito  na watoto wachanga Waziri Ummy ametoa pongezi hizo mwishoni mwa wiki alipoenda kutembelea zahanati hiyo na kuwashukuru wananchi wa kijiji hicho kwa kushirikiana katika kuzuia vifo […]

Apr-11-2016

myadmin

TAASISI YA BASILA MWANUKUZI EMPOWERMENT FOUNDATION: “SASA IPO HEWANI”

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu (wa pili kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Taasisi ya Basila Mwanukuzi (Basila Mwanukuzi Empowerment Foundation) yenye lengo la kusaidia wanawake kuinua uwezo wao wa kibunifu ili kujiinua kiuchumi  hasa Mama Lishe kwa kushirikiana na wadau mbali mbali. Uzinduzi huo umefakika leo Aprili 11, 2016 kwenye Ukumbi […]

Apr-11-2016

myadmin

MHE. WAZIRI UMMY ZIARANI HOSPITALI YA RUFAA MBEYA

Na Catherine Sungura, Mbeya Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Mhe. Ummy Mwalimu amefanya ziara katika hospitali zilizopo Mbeya na kuzitaka hospitali zinazotumia mfumo wa ukusanyaji mapato wa kieletroniki wasibweteke na mapato wanayoyakusanya kila siku. Rai hiyo imetolewa na aziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy […]

Apr-09-2016

myadmin

MHE. WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBLEA HOSPITALI YA BENJAMINI MKAPA

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa kaikagua mashine ya MRI katika hospitali ya Benjamin Mkapa kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma wakati alipoitembela  Aprili 9, 2016. Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, , Dkt. Hamis Kigangwala. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu.) Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Khamis Kigangwala wakikagua mashine ya […]

Apr-09-2016

myadmin

KIPINDUPINDU HAKIENEZWI KWA KUROGWA!!!!

Na.catherine Sungura,Kyela  Wananchi wa wilaya ya kyela wametakiwa kuachana na mila potofu na kupelekea kufanya mauaji ya watu kwa kuhusisha ugonjwa wa kipindupindu ni ugonjwa unaoletwa kwa imani ya kishirikina Hayo yamesemwa leo na waziri wa afya,maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto  Ummy Mwalimu,wakati alipofanya ziara katika wilaya hii na kuongea na watendaji wa halmashauri. Mh.Ummy […]

Apr-09-2016

myadmin

JIPU LA HOSPITALI YA RUFAA IRINGA “LAPEWA MWEZI MMOJA TU”

Kulia Mganga Mkuu mfawidhi wa hospitali ya Rufaa Iringa dkt Robert Salim, akitoa maelezo ya uteketezaji wa taka katika hospatali ya Rufaa kwa  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Luhaga Mpina na Ujumbe wake walipokagua mazingira ya hosptali hiyo leo. Katikati Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira, […]

Apr-09-2016

myadmin

HOSPITALI YA BAGAMOYO MAJIPU YAMEZIDI; “MTUMBUAJI ANAHITAJIKA HARAKA”!!

MWENYEKITI wa jumuiya ya wazazi wilayani Bagamoyo,Abdul Sharif,kushoto akimkabidhi vifaa mbalimbali ikiwemo sabuni mgonjwa mzee Sais Selemani ,wakati jumuiya ya wazazi ilipotembelea hospitali ya wilaya ikiwa ni kuadhimisha miaka 61 ya jumuiya ya wazazi kiwilaya. (Picha na Mwamvua Mwinyi) ……………………………………………………………………………………………… Na Mwamvua Mwinyi,Bagamoyo ……………………………………………… HOSPITALI ya wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani,inakabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo ukosefu […]

Apr-08-2016

myadmin

MHE. UMMY MWALIMU SASA ATINGA MKOANI MBEYA KUTOKEA MORO

 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu (katikati), akihutubia wakati wa uzinduzi wa duka na ghala la Bohari ya Dawa (MSD), mkoani Mbeya leo hii. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Laurean Bwanakunu na Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya MSD, Profesa Idrisa Mtulia.  Waziri Ummy akikata utepe kuashiria uzinduzi wa […]

Apr-08-2016

myadmin

WAZIRI UMMY MWALIMU ATUA IFAKARA, MOROGORO

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akiongea na wananchi katika hospitali ya Rufaa ya St. Francis pamoja na wajawazito wanaosubiri kujifungua na ambao wapo chini ya uangalizi wa madaktari. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu amefanya ziara ya siku 1 mjini […]

Apr-07-2016

myadmin

MADAKTARI WALA RUSHWA “WANYOOSHWE VIKALI”

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Misungwi mkoani Mwanza, Charles Kitwanga (katikati meza kuu) akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Ihelele wilayani Misungwi. Katika hotuba yake, Kitwanga aliwataka wananchi wa jimbo lake washirikiane ili kuliletea maendeleo jimbo hilo na aliwaonya madaktari na wauguzi wilayani humo kuacha tabia […]

Apr-07-2016

myadmin

DAR KUPATA MAJI YA UHAKIKA HIVI KARIBUNI

 Msimamizi wa ujenzi wa Mradi wa bomba jipya la maji kutoka Ruvu Juu Mlandizi hadi Dar es salaam lenye urefu wa km 40 ambalo liko katika hatua  za mwisho  za ujenzi kutoka DAWASA Mhandisi Christian Gava akitoa ufafanuzi wa masuala ya kiufundi kuhusu mradi huo. Kushoto ni Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Jamii wa DAWASA […]

Apr-07-2016

myadmin

MCHEZAJI NWANKO KANU ATEMBELEA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE MUHIMBILI LEO

Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Nigeria, Super Eagles, Nwankwo Kanu ambaye pia ni balozi wa makampuni ya StarTimes barani Afrika akiwasili katika Jengo la Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete lililopo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambako amewatembelea wagonjwa wa moyo leo. Kanu atakiwepo nchini kwa muda wa siku tano kushiriki shughuli […]

Apr-07-2016

myadmin

KAMPENI YA MZEE KWANZA YAZINDULIWA MKOANI MOROGORO LEO

Waziri wa Afya Maendeleo ya  Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu  akizungumaza na wandishi wa habari juu ya uzinduzi wa kapeni ya Wazee kwanza toa kipaumbele apate huduma, leo Mkoani Morogoro kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kibwe Stephen Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima y Afya (NHIF)  Michael  Mhando […]

Apr-06-2016

myadmin

UBAKAJI WA WATOTO “SASA MWISHO”

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesikitishwa na kukemea vikali tukio la mzazi kumbaka na kumlawiti mtoto wake wa kufikia mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu, kitendo kilichofanywa na John Donald (35) mkazi wa Kiyangu, Manispaa ya Mikindani mkoani Mtwara.  Tukio hili la kubaka na kulawitiwa ni ukatili wa hali […]

Apr-05-2016

myadmin

KUWA NA AFYA BORA “PIA LACHANGIWA NA KULA CHAKULA BORA”

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO ………………………………………… Ni rahisi sana kutamka neno afya, neno hili linajenga dhana ya hali ya ukamilifu kimwili, kiakili, kijamii na kutokuwepo kwa maradhi ambayo huleta hali ya kuwa huru na kutokuwa na hali ya kuumwa au udhaifu wa mwili. Kuwa na afya tu haitoshi, mwanadamu anapaswa kuwa na afya bora ambayo huchukuliwa […]

Apr-04-2016

myadmin

KAMATI YA AFYA YA BUNGE YAITEMBELEA HOSPITALI YA MUHIMBILI LEO

Kamati ya Bunge ya Afya ikiwasili leo asubuhi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kwa ajili ya kukagua shughuli za huduma za afya zinazoendelea kwenye hospitali hiyo. Daktari wa Idara ya Magonjwa ya Dharura na Ajali, Upendo Ndara akiwaongoza wabunge kuona huduma mbalimbali zinazotolewa na madaktari na wauguzi wa idara hiyo Leo. Dk. Upendo […]

Apr-04-2016

myadmin

SIKU YA MAZINGIRA: YALIYOJIRI WILAYANI SIHA

Mkuu wa wilaya ya Siha mkoa wa Kilimanjaro ambaye pia anakaimu wilaya ya Hai,Dk Charles Mlingwa akizungumza na wananchi wakati wa maadhimisho ya mazingira kwenye chanzo cha uzalishaji umeme cha Kikuletwa kinachosimamiwa na Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),kushoto ni Makamu wa Chuo hicho(Utawala na Fedha)Mhandisi Dk Erick Mgaya. Makamu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Mhandisi Dk […]

Apr-02-2016

myadmin

TAARIFA KUKATIKA KWA UMEME HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

 

Apr-01-2016

myadmin

BOHARI YA DAWA MSD “YAPATA UGENI” TO OFISI ZA BUNGE

 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii, Peter Serukamba (kushoto), Wajumbe wa kamati hiyo na Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Banakunu (kulia), wakitembea wakati kamati hiyo ilipotembelea MSD Makao Makuu Keko Dar es Salaam leo asubuhi.  Kaimu Mkurugenzi wa Ugavi wa MSD, Mary Lingo (wa pili kulia), akiwaelekeza wajumbe wa kamati […]

Mar-29-2016

myadmin

WAFANYAKAZI WA TBL ARUSHA WASHIRIKI UZINDUZI WA KAMPENI YA AFYA KWANZA

Wafanyakazi wa kiwanda cha TBL cha Arusha wakifanya mazoezi ya kukimbia wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Afya Kwanza mwishoni  mwa wiki Meneja wa kiwanda cha TBL mkoa wa Arusha,Salvatory Rweyemamu akipiga mpira kuashiria kuanzishwa kwa kampeni ya Afya Kwanza iliyoanzishwa na TBL Group kwa lengo la kuimarisha afya za wafanyakazi wake.    Meneja Uendeshaji […]

Mar-27-2016

myadmin

NAIBU WAZIRI LUHAGA MPINA – ASHIRIKI USAFI KTK MITAA YA TPDC MIKOCHENI DAR

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira Mh. Luhaga Mpina Kulia Akifyeka, katika Mtaa wa TPDC Mikocheni Jijini Dar es Salam leo kutekeleza agizo la Mh. Raisi la kufanya usafi, ambapo serikali imetenga kila Jumamosi ya mwisho wa Mwezi kuwa siku maalum ya usafi. Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya […]

Mar-26-2016

myadmin

SHEREHE ZA SIKU YA MAJI DUNIANI “ZAFANA SANA”

Jana wakimbizi kutoka katika kambi za Nyarugusu na Nduta zilizopo mkoani Kigoma waliungana na watu wengine ulimwenguni kuadhimisha siku ya maji duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni maji safi kwa maendeleo endelevu.   Maadhimisho hayo yaliandaliwa kwa ushirikiano kati ya serikali kupitia idara ya wakimbizi na mashirika mbalimbali yanayotoa misaada katika makambi hayo yakiwemo […]

Mar-23-2016

myadmin

HAKUNA MANYAYASO KWA WAZEE TENA: SERIKALI KUPIGANIA SHERIA ZAO

Na Raymond Mushumbusi-MAELEZO Serikali imejipanga kuipa nguvu Sera ya wazee nchini kuwa Sheria itakayowasaidia wazee kujikwamua katika changamoto mbalimbali zinazowakabili kwa sasa.  Mpango huo umetolewa leo na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu alipokuwa akizungumza na baadhi ya viongozi wa wazee wa mkoa wa Dar es Salaam alipokutana nao leo ofisini […]

Mar-23-2016

myadmin

WIZARA YA AFYA YATOA TAHADHARI YA HOMA YA MANJANO

Na Jacquiline Mrisho – Maelezo Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa tahadhari juu ya ugonjwa wa homa ya manjano ambao umethibitika kuwepo nchi ya jirani ya Kenya. Tahadhari hiyo imetolewa leo Jijini Dar es salaam na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu alipokua akiongea na […]

Mar-21-2016

myadmin

MHE. UMMY A. MWALIMU ATOA TAMKO KUHUSU KUNAJISIWA KWA WATOTO KATIKA MANISPAA YA MOSHI, MKOANI KILIMANJARO

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea kwa masikitiko makubwa tukio la kunajisiwa kwa watoto watatu wa kike wenye umri kati ya miaka minane hadi tisa, wanafunzi wa darasa la tatu wa Shule ya Msingi Msaranga manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, ambao limeripotiwa na vyombo vya habari. Tukio hili la kunajisi […]

Mar-21-2016

myadmin

HOSPITAL YA KISARAWE YAFAIDIKA NA MSAADA TOKA TPA

Meneja Mawasiliano wa TPA, Bibi Janeth Ruzangi (kulia) akikabidhi vitanda 20, magorodo 20 na mashuka 100, vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni 13 kwa hospitali ya Wilaya ya Kisarawe mwishoni mwa wiki. Anayekabidhiwa vifaa hivyo ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe, Bwana Hamis Likupotile (kushoto) na Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo, Dkt […]

Mar-20-2016

myadmin

OPERESHENI SAFISHA YA TFDA, “WAUZA DAWA ZA SERIKALI WATAAMKIA GEREZANI”

Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla amepongeza juhudi za Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) nchini kwa hatua wanazochukua katika utendaji wake ikiwemo zoezi la kukagua madawa yasiyofaa kwa Jamii ikiwemo yale yaliyokwisha muda wake hasa katika zoezi la “Operesheni Safisha” iliyofanywa karibu mikoa mbalimbali ya Tanzania […]

Mar-18-2016

myadmin

HOSPITALI YA WILAYA YA CHALINZE YAPATA GARI LA WAGONJWA

Katibu Mkuu wa Ikulu Peter Ilomo akimkabidhi funguo za gari jipya la wagonjwa Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete lililotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa ajili ya shughuli ya  kubebea wagonjwa katika hospitali ya Wilaya ya Chalinze. Tukio hilo lilifanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Mbunge wa Chalinze […]

Mar-18-2016

myadmin

MHE. SPIKA NDUGAI AZURU HOSPITALI YA CCBRT

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya CCBRT Bw. Erwin Telemans (kushoto) wakati alipotembelea hospitali hiyo kwa mara ya kwanza akiwa ni Mlezi wa Hospitali hiyo.Katikati ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mpoki Ulisubisya. Mkurugenzi wa […]

Mar-18-2016

myadmin

WAZIRI UMMY ASEMA MWANAMKE AFRIKA BADO ANAKABILIWA NA CHANGAMOTO KUBWA: JIJINI NEW YORK

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Ally Mwalimu ( Mb) ametoa hutuba kwa niaba ya Kundi la Nchi za Afrika wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 60 wa Kamisheni ya Umoja wa Mataifa kuhusu Hali ya Wanawake ( CSW). Mkutano huu wa wiki mbili unawakusanya wawakilishi kutoka serikali mbalimbali […]

Mar-17-2016

myadmin

SIKU YA TEPE MEUPE YAATHIMISHWA KWA MATUKIO MBALI X 2

Matembezi yaliyoshirikisha wadau mbalimbali ya sekta ya Afya kwa ajili ya  maadhimisho ya siku ya Utepe Mweupe na uzinduzi wa kampeni ya vifo vya Mama vitokanavyo na uzazi yaliyofanyika leo March 16,2016 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia maonesho […]

Mar-16-2016

myadmin

MHE. MAJALIWA “ATINGA” HOSPITALI YA MKOA WA KAGERA

Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akimsalimia Pedelia Erenius na mwanwe Alia James( miezi saba) wakati alipotembelea wodi ya wanawake na watoto katika hospitali ya mkoa wa Kagera mjini Bukoba Machi 15, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikgua jengo la  kuhifadhia maiti katika hospitali ya mkoa wa Kagera wakati alipoitembelea Machi 15, 2016. Kushoto ni mwangalili wa […]

Mar-15-2016

myadmin

NAKUPA “SIKU TANO (5) TU” – NI KITI MOTO KWA KAIMU KATIBU TAWALA WA MKOA WA KAGERA: MHE MAJALIWA

*Ni za matumizi ya sh. milioni 120 za Hospitali ya Mkoa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua hospitali ya rufaa ya mkoa wa Kagera na kumpa siku tano Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa huo, Bw. Adam Swai amletee taarifa juu matumizi ya sh. Milioni 80 ambazo ni fedha za UKIMWI. Pia amemtaka ifikapo Machi 20, nwaka […]

Mar-15-2016

myadmin

MTOTO KAIRUKI HOSPITAL; SASA AFIKISHA MIAKA 29

Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Kairuki,Dk.Asser Mchomvu  . Na Mwandishi wetu ………………………….. Hospitali ya Kairuki (KH) inatimiza miaka 29 mwezi huu siku ya Alhamisi tangu ilipoanzishwa tarehe 17.03.1987. Akizungumzia maadhimisho hayo Dr Asser Mchomvu ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Kairuki anasema kuwa uongozi wa KH unapenda kuwashukuru wadau wote walioshirikiana nao katika kuiwezesha […]

Mar-15-2016

myadmin

KONGAMANO LA TATU LA KISUKARI FARIKA LAFANYIKA DAR ES SALAAM

Kongamano la tatu la Wanasanyansi wa ugonjwa wa kisukari limezinduliwa leo na Naibu Waziri wa Afya, Dkt Hamisi Kigwangalla katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere (JNICC) Kongamano hilo ambalo litamalizika tarehe 16 March 2016, linaendeshwa na Asasi inayojihusisha na Masuala ya Ugonjwa wa kisukari Afika Mashariki,asasi inayojulikana kama (EADSG) The Eafrica diabetes study group. Asas hii […]

Mar-14-2016

myadmin

MASHINE ZA KUSUKUMA MAJI RUVU CHINI “ZAFIKIA HATUA ZA MAJARIBIO”

Mkuu wa Matengenezo wa Mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu Chini Tumaini Ndosi (aliyepanda juu) akitoa ufafanuzi kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Muhandisi Mbogo Futakamba kuhusu moja ya mita inayosoma kiwango cha ujazo wa maji yanayosafirishwa kutoka kwenye Pampu za kusukumia maji. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Muhandisi […]

Mar-13-2016

myadmin

HOSPITALI YA RUFAA YA MWANANYAMALA KUPATA JENGO LA UPASUAJI

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), ambaye mchana huu Rais Dk.John Magufuli amemteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa jengo la upasuaji katika Hospitali ya Mwananyamala Dar es Salaam leo, ambalo litakuwa maalumu kwa ajili ya utoaji wa huduma za upasuaji kwa wajawazito na […]

Mar-13-2016

myadmin

MRADI WA PARTOMA WATOA MATOKEO YA UTAFITI WA WODI ZA WAZAZI HOSPITALI KUU YA MNAZI MMOJA.

Mwenyekiti wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Kanga Meternity Trust (KMT) Dkt. Mohd Hafidh akitoa maelezo ya taasisi hiyo inavyofanya kazi zake kuhakikisha Mama wajawazito wanapata huduma bora wanapokwenda kujifungua hospitali Kuu ya Mnazimmoja katika hafla ya  kuwasilishwa  Utafiti wa Mradi wa PartoMa iliyofanyika Hoteli ya Tembo, Forodhani Mjini Zanzibar. Madaktari bingwa wa Hospitali ya […]

Mar-12-2016

myadmin

MEH. WAZIRI UMMY AKUTANA NA MABALOZI

Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu (kulia kwa waziri)  akimsikiliza  Balozi wa Ujerumani nchini ,Egon Kochanke (Katikati) wakati alipomtembelea ofisini kwake leo. Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu (kulia kwa waziri)  akimsikiliza  Balozi wa Ujerumani nchini ,Egon Kochanke (Katikati) wakati alipomtembelea ofisini kwake […]

Mar-11-2016

myadmin

TAWLA YAENDESHA SEMINA KUHUSU AFYA YA UZAZI NA CHANGAMOTO ZAKE

Afisa Uchechemuzi wa Shirika la Wanasheria wanawake la TAWLA Bi. Sime Bateyunga akifungua mafunzo kwa wanahabari hawapo pichani yanayolenga kujenga uelewa kwa waandishi wa habari kuhusiana na masuala ya haki ya afya ya uzazi Changamoto wanazokutana nazo na namna ambavyo matumizi  ya sheria za kimataifa kama Maputo Protocal yataweza kupunguza Chanagamoto hizo, Semina hiyo ya […]

Mar-11-2016

myadmin

HOSPITALI YA MWANANYAMALA “YAPIGWA JEKI”

Meneja Mahusiano wa Benki ya CBA, Caroline Makatu (wa pili kushoto)  akikabidhi msaada wa vitanda na mashine kumsaidia mtoto anayezaliwa kabla ya muda, kwa Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala, Dk. Delilah Moshi, katika hafla fupi iliyofanyika hospitalini hapo, jijini Dar es Salaam. Baadhi ya Maafisa kutoka Benki ya CBA wakiwa katika picha ya […]

Mar-11-2016

myadmin

TAMKO LA WIZARA YA AFYA KUHUSU SIKU YA FIGO DUNIANI

Siku ya Figo Duniani huadhimishwa duniani kote kila AlhamisI ya pili ya mwezi Machi tangu mwaka 2006. Mwaka huu itaadhimishwa leo tarehe 10/3/2016. Kaulimbiu ya Maadhimisho ya Siku ya Figo mwaka 2016 ni“Chukua Hatua Mapema Kuepuka Magonjwa ya Figo kwa Watoto”. Kauli mbiu hii inalenga kuhamasisha jamii juu ya matatizo ya figo yanayoikabili jamii yetu […]

Mar-10-2016

myadmin

MWENENDO WA UGONJWA WA KIPINDUPINDU NCHINI WATOLEWA

Taarifa hii ni mwendelezo wa utaratibu ambao Wizara yangu imejiwekea kila wiki wa kutoa taarifa kwa umma kuhusu hali ya kipindupindu nchini pamoja na kueleza juhudi mbalimbali zinazoendelea kuchukuliwa ili kukabiliana na hali hii. Hadi kufikia tarehe 6 Machi 2016, jumla ya wagonjwa 17,369 wametolewa taarifa, na kati ya hao watu 269 wamepoteza maisha. Takwimu […]

Mar-07-2016

myadmin

HUDUMA YA MACHO “YATOLEWA BURE LEO”: KAMBI MAALUM DAR

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamis Kigwangala, akizungumza wakati wa uzinduzi wa kambi maalum ya kutoa huduma ya bure ya vipimo na matibabu ya macho, juzi katika Kata ya Kivukoni jijini Dar es Salaam.  Wengine meza kuu ni wadau walioshiriki kuandaa huduma hiyo, akiwemo Mwanzilishi Mwenza wa Care […]

Mar-06-2016

myadmin

TAHADHARI KUHUSU UGONJWA WA KIMETA NA MAGONJWA MENGINE YATOKANAYO NA WANYAMA

Wizara Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inapenda kutoa taarifa kwa jamii kuchukua tahadhari ya magonjwa yanayoenezwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu. Magonjwa hayo ni kama kimeta, homa ya malale, tauni, homa ya bonde la ufa, kichaa cha mbwa, mafua makali ya ndege n.k. Siku za karibuni ugonjwa wa Kimeta (Anthrax) ulitokea […]

Mar-04-2016

myadmin

SHIDA YA MAJI JIJI LA DAR ES SALAAM KUWA HISTORIA

Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi Dawasa Mhandisi Romamus Mwang’ingo (Kushoto)  akitoa maelekezo kwa Mkuu wa msafara wa kamati ya Ushauri ya mkoa wa Dar es Salaam Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Raymond Mushi (Kulia) juu ya ufanyaji kazi wa mitambo ya Ruvu chini.  Mafundi wakiwa katika harakati za kulaza bomba litakalotumika kuleta maji kwenye tanki kubwa lililopo kibamba […]

Mar-02-2016

myadmin

WATANZANIA WAHIMIZWA KUCHANGIA DAMU KWA HIYARI KUOKOA MAISHA

Makamu wa Rais wa StarTimes Tanzania, Bi. Zuhura Hanif (kushoto), akifanyiwa vipimo na mfanyakazi wa Maabara ya Muhimbili, Bi. Kibuna Mohammed (kulia) wakati wa zoezi la kuchangia damu lilioratibiwa na Hospitali hiyo Kitengo cha Dharura. Zoezi hilo la kuhamasisha wananchi kuchangia damu kwa hiyari lilifanyika eneo la Karume jijini Dar es Salaam kwa siku mbili (Alhamisi na Ijumaa) mwishoni mwa wiki. […]

Mar-02-2016

myadmin

TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE “YAPIGWA JEKI”

Awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujali afya njema na hatimaye ametuwezesha tukusanyike mahali hapa. Vile vile, nitumie fursa hii kuwashukuru watumishi wote wa Afya kwa kazi nzuri wanayoifanya ya utoaji wa huduma za afya kwa watanzania wote. Pia, nitumie nafasi hii kuwapongeza ndugu zetu wa Jumuiya ya Kihindu ya hapa […]

Mar-02-2016

myadmin

WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI AZINDUA MRADI WA MAJI KILIMANJARO

Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Novatus Makunga akizungumza mbele ya Waziri wa Umwagiliaji, Mhe. Inj. Gerson Lwenge, viongozi na wananchi wa Longuo, Wilayani Moshi. Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhe. Inj. Gerson Lwenge akimtwika maji mama katika Kijiji cha Longuo, Wilayani Moshi mara baada ya kuzindua mradi wa maji kijijini hapo. Waziri wa Maji na […]

Mar-01-2016

myadmin

DK. KIGWANGALLA “AAGIZA KUFUNGWA” CHUMBA CHA UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA MIKOCHENI

Naibu wa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla (katikati) akipata maelezo machache kutoka kwa Meneja uendeshaji wa Hospitali ya Sanitas, Bi. Gean Cabral wakati walipowasilia katika ziara hiyo.. Dk Kigwangalla akikagua baaadhi ya sehemu katika hospitali hiyo. Dk. Kigwangalla akizungumza na baadhi ya wagonjwa (hawapo pichani) namna Serikali […]

Mar-01-2016

myadmin

Meneja wa Mamlaka ya Bodi ya Maji Kisarawe Listern Materu “KITI CHAKE CHAWAKA MOTO”

NA VICTOR MASANGU, KISARAWE PWANI  NAIBU Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Utumishi na Utawala bora,  Seleman Jafo amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kisarawe kumtafutia kazi nyingine meneja wa Mamlaka ya Bodi ya Maji Kisarawe Listern Materu kutokana na kushindwa kutatua kero ya maji kwa muda mrefu.  Jafo ambae pia ni mbunge wa jimbo […]

Mar-01-2016

myadmin

KUPIMA AFYA YAKO KILA MARA NI “MUHIMU SANA” MHE. KIGWANGALLA

  Naibu Waziri wa Afya, Dk. Kigwangalla akiwa katika meza ya kupima afya ya mwili ikiwemo magonjwa yasio ambukiza kama vile Magonjwa ya moyo, sukari, shinikizo la damu na mengine mengi katika zoezi linaliendelea katika viwanja vya Bustani ya jiji iliyopo mkabara na Ukumbi wa Karimjee. Naibu Waziri wa Afya. Dk.Kigwangalla akiwa katika vipumo hivyo.. […]

Feb-28-2016

myadmin

MAJALIWA APOKEA VIFAA VYA HOSPITALI KUTOKA MAKAMPUNIYA PEPSI, COCACOLA NA AZAMCOLA

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua baadhi ya vitanda na vifaa mbalimbali vya hospitali vyenye thamani ya sh. bilioni 10 vilivyotolewa na kampuni za vinywaji baidi za Coca cola- Kwanza, Azam  Cola  na Pepsi Cola- SBC  katika makabidhino yaliyofanyika kwenye maghala ya MSD yaliyopo Mabibo jijini Dar es salaam Februari 25, 2016. Kulia  kwake ni Katibu […]

Feb-26-2016

myadmin

MUZDALIFAT YATOA VIFAA MBALIMBALI VYA HOSPITALI ZANZIBAR.

Baadhi ya vifaa mbalimbali vya Hospitali vyenye Thamani ya Dola za kimarekani 3,45000 (laki tatu arobaini na tano Elfu)vilivyotolewa na Taasisi ya Kiislamu ya Muzdalifat kwa kushirikiana na Taasisi ya Helping Hand yenye makao Makuu nchini Marekani. Wanafunzi wa skuli ya Sekondari ya Farouk Aktas Muslim iliopo kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja  wakihudhuria katika […]

Feb-25-2016

myadmin

HUDUMA YA MAJISAFI “YAREJEA” JIJINI DAR

  Na Beatrice Lyimo-Maelezo SHIRIKA LA Majisafi na Majitaka Dar es salaam (DAWASCO), imerejesha  huduma ya upatikanaji wa Maji katika maeneo yote yanayohudumiwa na mtambo wa Ruvu chini  jijini Dar es salaam, pamoja na maeneo ya mji wa Bagamoyo mkoani Pwani kutokana na mtambo huo kuzimwa kwa wastani wa saa 36 kuanzia siku ya Alhamisi […]

Feb-23-2016

myadmin

USAFI WAPEWA “KIPAO MBELE” WILAYA YA KINONDONI: MAGARI 40 KUNUNULIWA

Na Nyakongo Manyama MAELEZO Dar es Salaam HALMASHAURI Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam katika mwaka kipindi cha 2016/17 imepanga kununua magari 40 yatakayotumika kwa ajili ya zoezi la ukusanyaji wa taka ngumu katika Kata na Mitaa ya Halmashauri hiyo. Hatua inaelezwa itasaidia kuondoa kero ya mlindukano wa taka ngumu ambazo huzagaa ovyo, kutokana na […]

Feb-23-2016

myadmin

MAKALA: CHF MKOMBOZI WA KWELI KWA AFYA YA JAMII

  Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO Ni jambo lisilopingika kokote duniani kuwa afya  bora ndio chanzo cha maendeleo ya mtu binafsi na taifa kwa ujumla. Afya ikiwa bora binadamu anakuwa na uwezo wa kuwaza na kufanya mambo mbalimbali yenye tija kwake na kwa taifa lake. Kwa kuonyesha kujali afya zetu, Wizara ya Afya, Maendeleo ya […]

Feb-23-2016

myadmin

NAIBU WAZIRI AFYA AKITOA TAARIFA YA KIPINDUPINDU LEO

Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Dkt.Hamisi Kigwangalla(kushoto)akitoa taarifa ya wiki kuhusu  ugonjwa kipindupindu nchini kwa waandishi wa habari ambao hawapo pichani. Katika taarifa hiyo ya wiki kuanzia Februari 15 hadi 21, mwaka huu jumla wagonjwa walioripotiwa kuugua ugonjwa huo ni 499, ambapo kati ya hao wagonjwa sita walipoteza maisha pia tangu ugonjwa […]

Feb-22-2016

myadmin

DKT.KIGWANGALLA AONGOZA KIKAO CHA KIKOSI KAZI CHA KUBORESHA CHF

Baadhi ya wajumbe wa kikosi kazi hicho wakiendelea na majumu yao. Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla amekutana kwa mara ya pili na kikosi kazi cha watu 24 ambacho kitakuwa na kazi ya kutengeneza mpango mkakati wa kuwezesha kuboresha Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF). […]

Feb-20-2016

myadmin

SHULE YA MAKAMBI YAPOKEA KWA “MIKONO MIWILI” VYOO VIPYA TOKA BENKI YA POSTA

Wanafunzi wa shule ya msingi ya Makambi iliyopo Kata ya NdilimaLitembo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wakifurahia vyoo vyakisasa vilivyojengwa na Benki ya Posta Tanzania.   Meneja Mwandamizi wa Mahusiano na Mawasiliano wa Benki ya Posta,Noves Moses akiongea kwenye mkutano katika shule hiyo muda mfupi kabla ya kuzindua vyoo hivyo. Meneja Mwandamizi wa Mahusiano na Mawasiliano wa […]

Feb-20-2016

myadmin

UFAFANUZI KUHUSU TAKWIMU ZA UGONJWA WA KIPINDUPINDU NCHINI

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inayo miongozo inayosimamia ufuatiliaji wa magonjwa ya milipuko na miongozo hii imetolewa na kusambazwa katika mikoa na wilaya zote nchini. Mwongozo huu unafuata utaratibu wa mfumo wa ufuatiliaji wa magonjwa ujulikanao kama “Integrated Disease Surveillance and Response (IDSR)” Katika mwongozo huu, taarifa za magonjwa ya […]

Feb-18-2016

myadmin

Waziri Ummy Mwalimu na Naibu wake “warudi tena” Muhimbili

Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi wa Ufundi, Aksante wakati akimwelezea juhudi zinazoendela za kukarabati jengo la watoto ambalo lipo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) baada ya Rais John Pombe Magufuli alivyoagiza. Katikati ni Naibu Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee […]

Feb-18-2016

myadmin

MRADI WA AFYA BORA YA MAMA NA MTOTO ZANZIBAR WAZINDULIWA

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Halima Maulid Salum akifungua warsha ya uzinduzi wa Mradi wa Afya bora ya mama na mtoto katika Hoteli ya Mzson Shangani Mjini Zanzibar Mkurugenzi Idara ya Kinga na elimu ya  afya Dkt. Mohd Dahoma akizungumza na washiriki  waliohudhuria katika warsha ya uzinduzi wa mradi wa  Afya bora ya […]

Feb-18-2016

myadmin

TAASISI YA UKIMWI YAPATA JENGO LA “JIPYA NA LAKISASA”

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo jipya la Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) leo jijini Dar es Sakaam wakati wa kuzindua jengo hilo na kuwaaga makamishna waliomaliza muda wao. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji TACAIDS Bw. Jumanne Isango […]

Feb-17-2016

myadmin

MKATABA WA VIFAA VYA MAABARA “WAMULIKWA KWA KARIBU”

MAGRETH KINABO-MAELEZO  Serikali  imesema itaangalia upya mikataba iliyopo ya vifaa vya maabara vilivyoko katika hospitali, zahati na vituo vya afya  nchini ambavyo  havifanyi kazi ili kama ni jipu litumbuliwe na wahusika wachukuliwa hatua. Kauli hiyo ilitolewa  jana (tarehe 16.2.2016) na Naibu Waziri wa  Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi […]

Feb-17-2016

myadmin

BIOTEKNOLOJIA YA KILIMO SASA KUPEWA KIPAO MBELE ZAIDI TANZANIA

Mkuu wa Idara ya Uchumi na Uzalishaji Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Ndaro Kulwijila (katikati), akiwakaribisha mkoani humo watafiti wa kilimo kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech), ambao walifika ofisini kwake kujitambulisha kabla ya kwenda kutoa mafunzo kwa watafiti, wakulima na wadau wa kilimo kuhusu matumimizi ya kilimo cha  bioteknolojia […]

Feb-17-2016

myadmin

HOSPITALI YA RUFAA YA MOROGORO IREKEBISHA MAPUNGUFU “HARAKA”: DKT KIGWANGALLA

Naibu Waziri wa  Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla alisamiliana na Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro(RAS) Elia Ntandu mara baada ya kuwasili mkoani  humo  jana  jioni kwa ajili ya kutembelea  Hospitali ya Rufaa ya Mkoa  wa Morogoro. Naibu Waziri wa  Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi […]

Feb-17-2016

myadmin

DK. KIGWANGALLA AJIONEA MAFURIKO “ANA KWA ANA”

  Eneo la vijiji vya Pawaga linavyoonekana kwa picha za angani wakati wa Naibu Waziri, Dk. Kigwangalla alipo dhuru kwa kutumia Chopa. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangallla amekuwa kiongozi wa kwanza wa ngazi za juu kufika katika eneo lililokumbwa na mafuriko katika vijiji vya Mbolimboli, Tarafa […]

Feb-16-2016

myadmin

MADAKTARI BINGWA SASA KUWEKWA “KILA KONA” ZA MIKOA YOTE

Naibu Waziri wa Afya, Dk. Kigwangalla akitoa ufafanuzi juu ya Wizara yake kuhakikisha itapeleka Madaktari bingwa katika mikoa mbalimbali nchini ikiwemo hospitali hiyo ya Mkoa wa Ruvuma wakati wa ziara yake aliyoifanya mapema Februari 13.2016. Kauli hiyo ya serikali imetolewa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto mjini Songea, Dkt. Hamisi […]

Feb-15-2016

myadmin

HOSPITALI YA MKOA WA NJOMBE YAPEWA SIKU 90 TU “KUJISAFISHA”

Naibu Waziri Dk. Kigwangalla akikagua mahabara ya hospitali hiyo ambayo alikutana na matatizo mbalimbali ikiwemo mashine na vifaa kutotumika ipasavyo na kuagiza uongozi wa kufanya maboresho ndani ya miezi mitatu huku akiahidi kuifungia endapo itashindwa kutekeleza maagizo hayo. Naibu Waziri wa Afya, Dk Kigwangalla akiangalia moja ya maeneo ya wodi hizo ambapo alikuta hali ya […]

Feb-15-2016

myadmin

MAGODORO, MASHUKA, NA VINGINEVYO “VYAMIMINIKA” MUHIMBILI

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupokea msaada wa magodoro 120 kwa ajili ya wazazi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) Leo. Msaada huo umetolewa na Bohari kuu ya Dawa nchini. Kutoka Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya […]

Feb-15-2016

myadmin

WAKURUGENZI WANNE (MSD) “WAPOTEZA KAZI” LEO

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akisimamia maandalizi ya wodi mpya ya wazazi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jana. Rais John Magufuli aliamuru jengo lililokuwa likitumiwa kwa huduma za Uzazi na Mtoto kutumiwa kama wodi ya wazazi kuanzia leo. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akisimamia maandalizi ya wodi mpya ya wazazi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili […]

Feb-15-2016

myadmin

MUFTI MKUU WA TANZANIA ASEMA HUDUMA ZA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI “ZIMEBORESHWA SANA”

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe, Ummy Mwalimu akitoa shukurani za dhati kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli mbele ya Mufti Mkuu wa Tanzania pamoja na baadhi ya Viongozi waliohudhuria mkutano wa kati siku ya kuruhusiwa kurejea nyumbani kwa Mufti huyo, leo Jijini Dar es Salaam.   […]

Feb-14-2016

myadmin

AFYA ZA WAFANYAKAZI ZAPEWA KIPAO MBELE: TBL

Mkurugenzi Mtendaji wa TBL GROUP Roberto Jarrin. Akishiriki mazoezi pamoja na wafanyakazi wenzake wakati wa  siku ya Afya kwanza yaliyofanyika kaitika viwanja vilivyopo eneo la kiwanda hicho  jijini Dar es Salaam, Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) wakiwekea alama za kupimwa afya zao  wakati wa maadhimisho ya  siku upimaji wa Afya , yaliyombatana […]

Feb-14-2016

myadmin

“NI SIKU 60 TU” KWA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA, KUNUNUA MASHINE YA CT-SCAN

Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Dk. Hamisi Kingwangalla akisisitiza suala la Hospitali ya Kanda ya Rufaa ya Nyanda za juu kusini- Mbeya kununua mashine ya CT-scan ndani ya siku 60, huku akiahidi kuwachukulia hatua kali ya kuwawajibisha watendaji watakaozembea katika hilo. Baadhi ya wafanyakazi na madaktari […]

Feb-13-2016

myadmin

DKT. KIGWANGALLA ASEMA SPEED YA KUTUMBUA MAJIPU “ITAONGEZEKA”

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.Hamisi Kigwangalla,(kulia) akiwa kati,ka ibada maalum ya maadhimisho ya   24 ya kuwaombea wagonjwa duniani ambayo kitaifa yamefanyika leo mkoani humo, katika wilaya hiyo.Kulia niMkuu wa Mkoa wa Tabora, Ludovick Mwananzila na Kwanza mbele Naibu Askofu wa Jimbo Kuu la Kanisa la Katoliki la Tabora […]

Feb-12-2016

myadmin

WAZIRI UMMY MWALIMU AONGOZA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA AFYA

Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza katika mkutano wa mwaka wa mapitio ya sekta ya afya unaofanyika kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam, wadau hao wa Sekta ya afya wanajadiliana mambo mbalimbali na baada ya kumalizika kwa mkutano huo kutakuwa na kusaini makubaliano yaliyofikiwa kwa utekelezaji […]

Feb-11-2016

myadmin

KILA KANDA NCHINI “KUJIPATIA” MAABARA ZA MKEMIA MKUU

  Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu.   Uongozi wa Rais Magufuli unaonekana kujikita zaidi katika kutatua matatizo yanayowakabili wananchi na kuhakikisha inaboresha huduma wanazopatiwa wananchi kwa kuwasogezea huduma hizo karibu zaidi. Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu ameeleza mpango wa […]

Feb-11-2016

myadmin

WAKALA WA MAABARA YA MKEMIA MKUU WALAMBA GARI “JIPYA” TOKA JAPAN

Balozi wa Japan nchini Tanzania Masaharu Yoshiba na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakikata utepe  wakati balozi huyo alipokabidhi gari la Ambulance kwa Waziri Ummy Mwalimu  kwa ajili ya kituo hicho.(PICHA NA JOHN BUKUKU -FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM) Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akijaribu […]

Feb-10-2016

myadmin

SIKU 100 ZA RAIS JOHN MAGUFULI, WAGONJWA MUHIMBILI WAPATA DAWA KWA ASILIMIA 96

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusu mafanikio ya hospitali hiyo katika siku 100 za Rais John Pombe Magufuli tangu alipochaguliwa kuwa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Waandishi wa habari  na Madaktari wakifuatilia mkutano huo leo. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa […]

Feb-10-2016

myadmin

WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA UTURUKI NA CUBA

Balozi wa Cuba nchini, Copez Tomo, akizungumza na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akirekodi mambo muhimu kwenye ‘diary’ yake wakati wa mazungumzo na Balozi wa Cuba nchini, […]

Feb-10-2016

myadmin

KAMPUNI YA MAWASILIANO YA TIGO YAHAMASISHA WATANZANIA KUJALI AFYA ZAO.

Katika ni Robert Paul ambae ni Meneja Masoko ya Kampuni ya Mawasiliano ya TIGO Kanda ya Ziwa, akizungumza katika zoezi la Utoaji bure wa huduma mbalimbali za Afya ikiwemo upimaji wa Magonjwa ya Moyo, Utoaji wa Matibabu kwenye majeraha(Vidonda) pamoja na Uchangiaji damu lililofanyika juzi jumamosi February 06,2016 katika Uwanja wa Furahisha Jijini Mwanza.   […]

Feb-08-2016

myadmin