Tourism/Utalii

Tanzania: Mount Kilimanjaro Wins Africa’s Leading Tourist Attraction Award

MOUNT Kilimanjaro, the highest mountain in Africa, and the highest freestanding mountain in the world, has been declared Africa’s leading tourist attraction in 2016 during the World Travel Awards Africa and Indian Ocean Gala Ceremony in Zanzibar. A statement issued by the Tanzania Tourist Board (TTB), yesterday said the red carpet event attended by hundreds […]

Apr-29-2016

myadmin

RAIS DKT MAGUFULI AOMBWA KUTEKETEZA GHALA LA MENO YA TEMBO LILIOPO NCHINI

Mwenyekiti wa Kampeni ya Okoa Tembo Bw. Shubert Mwarabu (katikati) akielezea kuhus Kampeni yao ya kuokoa Tembo wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika leo katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mjumbe wa Kampeni hiyo Bw. Lameck Mkuburo pamoja na Bw. Arafat Mtui (wa kwanza kulia). (PICHA […]

Apr-28-2016

myadmin

TTB YAKUTANA NA WADAU WA UTALII

  Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania, Bi. Devota Mdachi akiongea na wadau wa Utalii katika ukumbi wa mikutano wa Bodi ya Utalii Tanzania. Katibu Mtendaji wa Shirikisho la Utalii Tanzania, Bw. Richard Rugimbana akitoa maelezo katika moja ya mada zilizoongelewa kwenye mkutano huo. Aliyekaa upande wa Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Chama cha […]

Apr-21-2016

myadmin

MAKATIBU WAKUU HABARI, UTALII, UTAMADUNI NA MICHEZO ZANZIBAR WAKABIDHIANA OFISI

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan Omar kushoto akikabithiwa nyaraka na Katibu Mkuu Mstaafu Ali Mwinyikai katika makabidhiano yaliyofanyika katika ukumbi  wa Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo Mnazi Mmoja Zanzibar . ………………………………………………………………………………………………… Mwashungi Tahir Maelezo Zanzibar  Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo Omar Hassan […]

Apr-21-2016

myadmin

RC SADIK ATEMBELEA KINAPA

  Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Mhe Said Meck Sadik amefanya ziara katika Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro(KINAPA) katika malango ya Marangu na Machame      

Apr-07-2016

myadmin

MAAFISA UTAMADUNI NA WASANII BORESHANI SANAA KUTANGAZA UTALII NCHINI

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wadau wa kada anazozisimamia alipofanya ziara jana Mkoani Geita na kukutana na wadau hao pamoja na kutoa vitendea kazi kwa maafisa habari wa mkoa wa Geita. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Geita Mhe. Manzie Magochie na kulia ni Kaimu Katibu Tawala Mkoa […]

Apr-07-2016

myadmin

“OLD FASHIONED VEHICLES” IS “GOLD”: ADVENTUROUS TOURISM SAFARI

Some of the Land Rover Series 1 ready for the adventure safari at Arusha National Park. An organized group of friends from Arusha and Kilimanjaro few minutes before starting their safari at Arusha National Park. Land Rover series 1 lined up before the start of the adventurous safari in Arusha National Park. Now the adventurous […]

Apr-06-2016

myadmin

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA ambaye pia ni Mkurugenzi wa Utalii na Masoko Bw. Ibrahim Mussa (kulia) akiongea na Kaimu Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Arusha Bi. Maria Kirombo (kati) na Mhifadhi wa Idara ya Ulinzi Bw. Haima Hera muda mfupi kabla ya kuwasili kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na […]

Apr-05-2016

myadmin

SERIKALI YA TANZANIA HAINA MPANGO KWA KUTEKETEZA MENO YA TEMBO YALIYOHIFADHIWA

Serikali ya Tanzania imetoa tamko kuwa kwa sasa haina mpango wowote wa kuteketeza meno ya tembo yaliyohifadhiwa ambayo yametokana na vitendo vya ujangili na vifo asilia vya tembo. Tamko hilo limetolewa hivi karibuni na Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe akizungumza na Balozi wa Marekani hapa nchini Bw. Mark Childress alipotembelewa na balozi […]

Mar-27-2016

myadmin

VIJANA WAINGILIA KATI KUPAMBANA NA UJANGILI

Mkurungezi mtendaji wa Bongo Ride Idrisa Magesa akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuelezea makamilisho ya maandalizi ya msafara wa hisani wa magari uliopewa jina Bongo Ride Charity Cruise (BRCC) ambao utaambatana na kutembelea mbuga ya wanyama ya Tarangire Mkoani Arusha  ikiwa na lengo kupaza sauti kuhusu janga la ujangili na pia kuhamasisha utalii […]

Mar-24-2016

myadmin

MKUU WA HUDUMA TFS, WAKURUGENZI WATATU PAMOJA NA WAKUU WA KANDA NCHI NZIMA: “WAPOTEZA KAZI”

Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe (kulia) akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu kumsimamisha kazi Mtendaji Mkuu na Wakurugenzi watatu wa  Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika ukumbi wa Ngorongoro Makao Makuu wa Wizara hiyo Mpingo House Jijini Dar es Salaam leo .  Kushoto  ni Naibu Waziri wa Wizara […]

Mar-24-2016

myadmin

WAZIRI WA MALIASILI PROF. MAGHEMBE NA BALOZI WA USA HAPA NCHINI MHE. MARK CHILDRESS “WATETA”

Waziri wa Maliasili Prof. Jumanne Maghembe (kushoto) akizungumza katika kikao na Balozi wa Marekani hapa nchini Mhe. Mark Childress (kulia) na Ujumbe wake katika ukumbi wa Selous Makao Makuu ya Wizara hiyo Mpingo House leo tarehe 23 Machi, 2016. Waziri Maghembe amemuomba Balozi huyo wa Marekani kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kukuza sekta ya […]

Mar-23-2016

myadmin

KAMATI YA BUNGE YA ARDHI MALIASILI NA UTALII “SASA IKO” NHC

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana jambo na  Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mheshimiwa Sixtus Mapunda (kushoto kwake), wakati Kamati hiyo ya Bunge ilipofanya ziara kwenye miradi miwili ya Shirika la Nyumba la Taifa ya NHC Mwongozo na NHC Eco Residence uliopo Kinondoni Hananasif. Kwa ujumla […]

Mar-18-2016

myadmin

MHE MAKAMBA “AJIONEA LIVE YALIYOPO” MAZUMBAI FOREST

January akisalimia na mwenyeji wake Bwana Saidi Kiparu mala baada ya kuwasili  ofisini kwake. ……………………………………………………………………………………………………… Akiwa Jimboni Bumbuli mheshimiwa January Makamba ametembelea Msitu wa Mazumbai ulioko Jimaboni kwake bumbuli,  msitu huu umehifadhiwa na serikali chini ya chuo kikuu cha sokoine kwa ajiri ya watu kwenda kujifunza .    Msitu wa mazumbai unasifa nyingi sana za […]

Mar-14-2016

myadmin

MFANYABIASHARA WA UTALII ARUSHA ATOA MISAADA HOSPITALI MKOA WA ARUSHA LEO

Mkurugenzi wa kampuni ya utalii ya Viola,Violet .c.Mfuko akizima mshumaa alipokuwa akiazimisha siku yake ya kuzaliwa iliyofanyikia katika hospitali ya mt.Meru jijini Arusha jana  Mkurugenzi wa kampuni ya utalii ya Viola,Violet .C.Mfuko akikata keki alipokuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa iliyo fanyika katika hospitali ya mt.Meru iliyoko jijini Arusha jana. Mkurugenzi wa kampuni ya utalii […]

Mar-07-2016

myadmin

ONLY IN TANZANIA: AWESOME COUNTRY INDEED

BY CHRIS LUKOSI Isimila Stone Age, Iringa Tanzania. In the late 1950’s archaeologists unearthed some of the most significant stone age finds ever identified. Most of these finds were tools, estimated to be between 60 000 and 100 000 years old. They also found fossilized bones of mammals; an extinct hippopotamus and something similar to […]

Mar-06-2016

myadmin

ONLY IN TANZANIA: THE PHOTO OF THE DAY!

By Mr. Chris Lukosi   Hapa ni Manyara National Park

Mar-06-2016

myadmin

Tanzania has been nominated for 23rd Annual World Travel Awards (WTA)

By: Geofrey Tengeneza Tanzania has registered a total of 24 entries which have been nominated for 23rd Annual World Travel Awards (WTA) in an event set to take place at Diamonds La Gemma dell’Est in Zanzibar, Tanzania on Saturday, April 9th, 2016; where winners in different categories will be announced in the dazzling red-carpet ceremony […]

Feb-24-2016

myadmin

NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO AFUNGUA KIKAO CHA TIA MOROGORO

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji akiwahutubia wajumbe wa Baraza kuu la Pili la Wafanyakazi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) wakati akifungua kikao cha tatu cha Baraza hilo kilichofanyika leo katika ukumbi wa TAFORI mkoani Morogoro. Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wizara ya Fedha na Mipango Prof. Isaya Jairo akisoma hotuba ya kumkaribisha […]

Feb-20-2016

myadmin

RIPOTI YA UTAFITI WA WATALII WALIOINGIA NCHINI MWAKA 2014

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi (wa pili kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari katika Ukumbi Benki Kuu ya Tanzania (BOT) tarehe 18/02/2016 juu ya ripoti ya Utafiti wa Watalii walioingia nchini mwaka 2014. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dkt. Albina Chuwa, […]

Feb-18-2016

myadmin

MAGHEMBE APONGEZA JUHUDI ZA KURUDISHA MBWA MWITU SERENGETI.

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Profesa Jumanne Maghembe (MB) akisalimiana na Mhifadhi Ashery Loishooki mara baada ya kuwasili katika eneo la Nyasirori, Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kwa ajili ya kuachia huru kundi la sita la mbwa mwitu 11 waliokuwa wamehifadhiwa kwa miezi sita katika boma maalumu la mradi wa mbwa mwitu. Mkurugenzi Mkuu […]

Feb-16-2016

myadmin

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII PROF,JUMANNE MAGHEMBE “ANGURUMA” KILIMANJARO

Waziri wa Maliasili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe akizungumza na Wadau wa Utalii mkoa wa Kilimanjaro alipokutana nao katika ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi. Baadhi ya Wadau wa Utalii wakimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii (hayupo pichani) alipokutana nao. Waziri Maghembe akiwaeleza wamiliki wa kampuni zinazofanya shughuli za Utalii katika hifadhi ya Mlima Kilimanjaro […]

Feb-12-2016

myadmin

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII PROF. JUMANNE MAGHEMBE AZUNGUMZIA TUKIO LA KUSHAMBULIWA HELKOPTA

Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo tarehe 09/02/2016 katika ukumbi wa Ngorongoro Makao Makuu ya Wizara hiyo kuzungungumzia tukio la hivi karibuni (tarehe 29 Januari 2016) la kushambuliwa kwa helkopta ya doria na kuuawa Rubani Rogers Gowel Raia wa Uingereza. Katikati ni Naibu Waziri Maliasili […]

Feb-09-2016

myadmin

SERIKALI KUIMARISHA MIUNDOMBINU KUBORESHA UTALII NCHINI.

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Ramo Makani akijibu maswali toka kwa wabunge katika kikao cha 6 cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma. Picha na raymond Mushumbusi MAELEZO …………………………………………………. Raymond Mushumbusi MAELEZO Serikali imejipanga kuimarisha miundombinu inayoelekea kwenye mbuga za wanyama na vituo vingine vya utalii nchini ili kuboresha utalii wa ndani na […]

Feb-02-2016

myadmin

ONGEZEKO LA BAJETI KATIKA SEKTA YA UTALII

Katika mipango ya kukuza uchumi,  sekta ya utalii chini ya Prof Jumanne Maghembe ambaye ni Waziri mpya wa maliasili na utalii imeamua kuanza kuweka mikakati katika kuongeza bajeti ya kutosha kwa mwaka 2016,  ili kuongeza bidhaa na huduma zenye ubora kwa lengo la kuvutia watalii wengi zaidi nchini. Sekta ya utalii imekuwa na mpango wa […]

Jan-31-2016

myadmin

MAJANGILI YAUA RUBANI BAADA YA KUTUNGUA KWA RISASI NDEGE YA TANAPA

    NA K-VIS MEDIA/ Khalfan Said RUBANI wa helikopta ya Doria ya Mamlaka ya Wanyamapori Nchini, (TANAPA), Roger Gower raia wa Uingereza ameuawa baada ya kupigwa risasi akiwa angani na watu wanaosadikiwa kuwa majangili kwenye pori la akiba maswa lililoko wilaya ya Meatu mkoani Simiyu majira ya jioni Januari 30, 2016. Kamanda wa Upelelezi […]

Jan-31-2016

myadmin

SERIKALI YAJA NA MIKAKATI MIPYA YA KUHAKIKISHA UTALII WA NDANI UNAKUA

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utalii,Bi. Uzeeli Kiangi akisisitiza jambo wakati alipokuwa anamkaribisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Meja. Generali. Gaudence Milanzi kufungua Mkutano Mkutano wa Kamati ya Uwezeshaji Utalii ( Tourism Facilitation Committee- TFC) uliofanyika leo Mpingo House jijini Dar es Salaam wa kujadili changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta ya Utalii nchini. […]

Jan-22-2016

myadmin

Tanzania, the county of mount Kilimanjaro, Zanzibar, & Serengeti

Lion V/s Crocodile.. both are hungry!!! what do you think gona happen? welcome to Serengeti National Park, where people experience the reality of nature “” thinking loud. Welcome to Zanzibar, the spice Island, the most luxurious beach and islands in East and south Africa, here is Nungwi Side way resort… Its the best place for […]

Jan-08-2016

myadmin

Heri ya MWAKA MPYA 2016 kwa wasomaji wetu wote: Tuambie

Kwa niaba ya wafanyakazi wote wa Tuambie, nachukua nafasi hii kuwashukuru wasomaji wetu wote kwa ushirikiano wenu wa thati mliouonyesha kwa kipindi hiki kifupi. Mwaka 2015 ni wa kukumbukwa sana kwetu kwani ni mwezi wa November tu ndio mtoto TUAMBIE alizaliwa/kuanza kurushwa hewani. Japokuwa tuambie bado ni changa, lakini kwa kipindi cha miezi miwili tu, […]

Dec-31-2015

myadmin

Visit Tanzania; The county of Mount Kilimanjaro, Zanzibar, and Serengeti

Dec-28-2015

myadmin

WAZIRI WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII PROF. JUMANNE MAGHEMBE AWASILI MAKAO MAKUU YA WIZARA HIYO MPINGO HOUSE MARA BAADA YA KUAPISHWA IKULU LEO

Waziri Wizara ya Maliasili na Utalii Mhe. Prof. Jumanne Maghembe (mbele kulia) akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Selestine Gesimba wakati wa mapokezi yake leo tarehe 28 Desemba 2015 katika ofisi yake mpya Mpingo House mara baada ya kuapishwa Ikulu mapema asubuhi ya leo. Nyuma yake kulia ni naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Eng. Ramo Makani na […]

Dec-28-2015

myadmin