FAQs / Swali-Jibu

Tuambie Tangaza Bure

 

 

ENGLISH

Q. Why should I be a fun/member of TUAMBIE.COM?

a. The website/blog was made intentionally to LIFT-YOU-UP in terms of usability of your TALENTS is concern. Our primary goal is to publicize you in order to receive reasonable rewards in respect of your personal hard-working spirit. It allows you to:

i. Post news yourself – 24/7/365 (Personal reporting – iReport).
ii. Register as a permanent member (optional).
iii. Post your photo. This is an optional offer.
iv. Post your profile as an author. Also this is an optional choice.

b. This is a user friendly website/blog that anyone can post contents/news, pictures, and videos straight forward.
c. The website/blog was built with an intention of simplify the way of communicating and informing the member of public; through allowing anyone to post the news:

i. anywhere,
ii. anytime,
iii. at any-style, and
iv. lastly, with a room of posting personal short biography

d. The site unites local users and diaspora members in one pool; which in turn, breaks the notion of geographic boundaries.
e. We highly listen you voice 24/7. Make no mistake, we do not take your views for granted. In case you have any concern or an opinion, please do not hesitate to send us an email. Our email address is: tuambie@tuambie.com.

Q. Who should post the news?
Anyone can post the news in this website/blog at any time. Just click YOUR POST button and you are ready to be a reporter. Then post your news.

 

Q. What kind of news can I post?
You can post any kind of news. The list is not exhaustive, you can post:

a. Any News
b. Birth day ceremonies
c. Anniversaries
d. Death announcements
e. Special achievements
f. Research outcomes
g. Various ceremonies
h. And so on!

Q. How do I post the news?
Just click YOUR POST button and you are ready to be a reporter. Then post your news in a minute.

 

Q. In case my question/questions is/are not answered, how should I contact the management of TUAMBIE.COM?
You can contact us 24/7 through: tuambie@tuambie.com

 

Q. If I have an ad, why should I use TUAMBIE.COM?

a. Our website reaches millions of users or readers including the diaspora community.
b. With consideration of your business operating costs, we have decided to charge LOW PRICE in our ads in order to pass on the savings in your businesses.
c. We have many different size of banners for you to choice to suite the desire of your business or personal needs.
d. We offer many discounts throughout the year in order to accommodate your marketing budget as much as possible. Mind you that these offers are in addition of our low competitive prices that you cannot get them to our competitors of the same size.
e. Gradually, we offer marketing advice free of charge in an attempt of maximizing revenue and at the same time; minimizing marketing expenditure of your business.
f. In case you do not have an ability to prepare ads; our technician:

i. Can build your ad for free or at low price depending with the nature of the contract.
ii. Can guarantee you high resolution ads that are highly recommended in this site to attract many viewers at a single spot.
iii. Gradually, can offer technical advice free of charge of how to improve your ad.

Q. I want to post an ad to TUAMBIE.COM, what are steps to follow?

a. Write to us an email. Here is the email address: tuambie@tuambie.com
b. We will respond by sending to you:

i. Various sizes of the banner we offer with their corresponding prices.
ii. All price discounts available at the time being.
iii. All offers available at the time of your request.
iv. All after-sale-services your company is entitled with consideration of the chosen contract.

LASTLY
We are highly appreciate your contribution on this website; as always, we are not taking anything for granted. Our MOTTO is to keep working hard to meet accordingly your current and future desires.

 

Tuambie 7

Tuambie AAA

 

SWAHILI

Maswali Yaulizwayo Mara Kwa Mara

Q. Kwanini niwe mwanachama wa TUAMBIE.COM?

a. Tomvua hii imetengenezwa ili iweze kuboresha KIPAJI chako. Tunategemea wanachama wetu waweze kujitangaza sehemu mbalimbali kuonyesha uwezo wao mkubwa wa kujituma kimaendeleo. Tomvua hii itakuwezesha:

a. Kutuma habari zako wewe mwenyewe masaa 24 kwa wiki mwaka mzima.
b. Kuwa mwanachama wa kudumu kama unapenda.
c. Kuweka picha yako ujisiakiapo.
d. Kuweka maelezo mafupi juu ya maisha yako kama ukijisikia kufanya hivyo.

b. Tomvua hii ni rahisi sana kutumia kwani unaweza kuweka habari picha, and video wakati wowote upendao.
c. Mathumuni ya kutengeneza tomvua hii ni kurahisisha mawasiliano bila kujali mahali ulipo. Chukua uamuzi sasa kwa kutuma habari: – MAHALI POPOTE, WAKATI WOWOTE, KWA UMAKINI UPENDAO, na pia KUWEZA KUWEKA HISTORIA YAKO FUPI.
d. Tomvua pia ina lengo la kuwaunganisha na wale waishio nje ya inchi kwa wakati mmoja, na kuondoa pingamizi za mipaka ya nchi.
e. Tunajitoleo kusikiliza maoni yako wakati wote. Kamwe hatuzarau wanachama wetu. Kama una dokudoku au maoni, basi waweza kuwasiliana nasi kwa kutumia tuambie@tuambie.com.

Q. Nani anaweza kutuma habari katika tomvua hii?

Hii ni tomvua ya WATU WOTE. Kila mtu anaweza kutuma habari pindi uipatapo. Cha kufanya gonga palipoandikwa YOUR POST na mara utaweza kutuma habari yako.
Q. Ni aina gani ya habari naweza kutuma kwenye hii tomvua?

Unaweza kutuma habari za aina zote. Habari ni habari, hakuna habati mbaya. Mfano, unaweza kutuma:

a. Habari za aina zote.
b. Taarifa au sherehe za kuzaliwa.
c. Mafanikio mbalimbali.
d. Tangazo la msiba
e. Matokeo mbalimbali ya uchunguzi
f. Pia habari zinginezo toka kokote ulipo.

Q. Je, nitatumaje habari zangu?

Kutuma habari, gonga kitufe cha YOUR POST na utaunganishwa kwenye ukurasa wa habari.
Q. Kama bado nina dokudoku au maoni; je, ninawezaje kuwasiliana na watendaji wa TUAMBIE.COM?

Unaweza kuwasiliana nasi kwa kutumia anwani hii: tuambie@tuambie.com.
Q. Kama nina tangazo, kwanini niliweka kwenye tomvua ya TUAMBIE.COM?

a. Tomvua ya TUAMBIE.COM inawafikia maelfu ya wasomaji na pia hata wale waishio ughaibuni.
b. Tukiwa na lenga la kuona unaendesha biashara yako kwa ufanisi, basi tumefikiria ni jambo la busara kuuza nafasi za matangazo kwa bei NAFUU SANA. Hii itasaidi biashara yako kupata faida ya kutosha.
c. Tumeza kuweka nafasi za matangazo ya aina tofauti ili kukupa nafasi ya kuchagua nafasi upendayo pia kutotumia hela zaidi ya ulizopanga.
d. Katika vipindi mbalimbali vya mwaka; kampuni yetu hutoa punguzo la bei. Hii ni kukupatia nafasi ya kununua nafasi ya kutangaza biashara yako kwa bei ya chini. Punguzo la bei huwa linatolewa bila kujali kwamba bei zetu ni ndogo kulinganisha na sehemu zingine.
e. Pia kampuni yetu ina watalamu wenye ujuzi wa kutosha wa biashara. Kwa hali hiyo basi, tunato ushauri wa bure pindi iwezekanavyo ili kupunguza matumizi ya pesa za matangazo za biashara yako.
f. Pia kama hauna ujuzi wa kutengeneza matangazo ya viwango vya juu na ya kuvutia;

a. basi tunaweza kukusaidi kutengeneza tangazo lako BURE au kwa bei ndogo sana kutegemea na makubaliano baina yetu.
b. Pia wakati wote tunatoa ushari wa kutengeza na kuweza tangazo la biashara ambalo ni la kiwango cha kimataifa kwa lengo la kuwavutia watu wengi mara walionapo.
c. Kwa wakati tofauti, tunatoa ushauri BURE wa kibiashara ili kukuza mapato ya biashara yako kulinganisha na wapinzani wako.

Q. Ni hatua zipi za kufuata ili niweze kutuma tangazo langu?

a. Anza kwa kutuandikia matakwa ya biashara yako kwa kutumia tuambie@tuambie.com.
b. Tukipokea matakwa yako, tutawasiliana nawe na kukupatia:
a. Aina mbalimbali za matangazo tunazotoa na bei zake.
b. Punguzo mbalimbali za bei zitakazokuwepo kwa wakati huo.
c. Maelezo mablimbali ya huduma za kibiashara tutoayo kwa wateja wetu.

 

Mwisho
Tunakukaribisha sana kwenye tomvua yetu ya TUAMBIE.COM. Ni kweli kabisa tunatambua mchango wako katika kukuza tomvua yetu (sisi na wewe) na tunaahidi kuendelea kutoa huduma bora zaidi ili kutimiza matwakwa yako ya sasa na ya baadaye.

KARIBU SANA!
KARIBU TENA!

 

 

 

Tuambie Vipindi

Tuambie Nuru

Tuambie Akili 1

Tuambie Je Haya