KIKAO CHA MAANDALIZI YA MKUTANO WA MASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI CHAANZA

1Mwenyekiti wa kikao cha Makatibu wa Mabunge wa Afrika Mashariki Dkt. Thomas Kashilila akiongoza kikao cha maandalizi ya mkutano wa Maspika wa Afrika Mashariki leo jijini Arusha.

2Mwenyekiti wa kamati ya maadalizi ya mkutano wa Maspika wa Afrika Mashariki Dkt. Thomas Kashilila (kushoto) akiongoza kikao hicho leo jijnii Arusha. Kulia ni Katibu wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Bw. Keneth Madete.

6Mkurugenzi wa Uhusiano wa Kimataifa na Itifaki wa Bunge la Tanzania Jossey Mwakasyuka (kushoto) akiwa na Msaidizi wa Katibu wa Bunge la Tanzania ndugu Emmanuel Mpanda

5Makatibu wa Mabunge ya Afrika Mashariki wakitoka ukumbini baada ya ufunguzi wa kikao cha maandalizi ya mkutano wa Maspika wa Afrika Mashariki leo jijini Arusha.

4Mwenyekiti wa kikao cha Makatibu wa Mabunge wa Afrika Mashariki Dkt. Thomas Kashilila (wa kwanza kulia) akiwa na baadhi ya Makatibu wa Mabunge ya Afrika Mashariki wakiwa Jijini Arusha. Wa kwanza kushoto ni Katibu wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Bw. Keneth Madete na Katibu wa Bunge la Kenya Bw. Justine Bundi (katikati).

3Makatibu wa Mabunge ya Afrika Mashariki na Baadhi ya Maafisa wakiwa katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa kikao cha maandalizi ya mkutano wa Maspika wa Afrika Mashariki leo jijini Arusha.

About

Hello, I am a regular author. To edit this text edit your profile in Users area of admin.

usikose hii


 

 

 

 

KARIBU SANA!

TUAMBIE NEWS

Inakujali wakati wote.

Usisahau kupost hii article kwenye facebook yake!!