KIPINDI KIPYA CHA “MUSIC IS OUR WEAPON CHAANZA KUCHANJA MBUGA

J1Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo (Kulia) akisalimiana na Katibu wa Balozi wa Nigeria Hapa nchini Bi.Abiola Adelupe wakati wa uzinduzi wa Makala ya “Music is our Weapon” iliyotengenezwa na kikundi kiitwacho “SARABI Music Group” cha nchini Kenya uliofanyika jana Jijini Dar es Salaam.

J4Kikundi cha mziki kiitwacho “SARABI Music Group” cha nchini Kenya kikitoa burudani wakati wa uzinduzi wa Makala yao inayoitwa“Music is Our Weapon” uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.

J5Baadhi ya watazamaji walioshiriki katika uzinduzi wa  Makala ya iitwayo“Music is our Weapon” ya  kikundi kiitwacho “SARABI Music Group”  uliofanyika jana Jijini Dar es Salaam.

J2Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo (Kushoto ) akiwa na Balozi wa Nigeria Nchini Tanzania Brigedier General Eric Angaye(Kulia) wakati wa uzinduzi wa Makala ya “Music is our Weapon” iliyotengenezwa na kikundi kiitwacho “SARABI Music Group” cha nchini Kenya uliofanyika jana Jijini Dar es Salaam.Katikati ni Katibu wa Ubalozi wa Nigeria hapa nchini Bi. Abiola Adelupe.

J3Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo akiwa na Kikundi cha “SARABI Music Group” cha nchini Kenyawakati wa uzinduzi wa Makala ya kikudi hicho iitwayo  “Music is our Weapon” uliofanyika jana Jijini Dar es Salaam

About

Hello, I am a regular author. To edit this text edit your profile in Users area of admin.

usikose hii


 

 

 

 

KARIBU SANA!

TUAMBIE NEWS

Inakujali wakati wote.

Usisahau kupost hii article kwenye facebook yake!!