KWENDA MAJUU KUNANIPOTEZEA MUDA TUU

 

Ningejua kingekaa kwa nusu saa tu.

 

 

Bila ya hili gobore, sitaweza kufundisha na kurudi nyumbani salama…..

Hahaaaa, ni bora nirudi kwetu TZ.

Lakini sura yangu na swalihi  yangu iko tofauti; mmmm!

 

Jamani, harakisheni, la sivyo no msosi leo!!

 

Wamesema wiki lijalo kutakuwa na upepo mkali na mvua za kutosimama!!!

Je, wasemaaje juu ya tarehe ya kurudi class tena.

Mwaka huu tuna likizo kila baada ya siku mbili au tatu.

Mie sijali; mlimani au UDOM nitafika tu!!!

 

Na hili tumbo la kutangulia mbele ni noma sana!!

Majukumu mengi yanalala!!! Gashi!!!!

 

 

Kama hataki zulia hili jekundu; basi alale mbele!!!!!

About

Hello, I am a regular author. To edit this text edit your profile in Users area of admin.