Naelekea mjini

Na hii buti bila kusahau bakora ya nguvu, hapa watoto wa mjini hawatanisogeleo hata kidogo!!!

 

 

Kweli nina uhakika sitaweza kupata piki-apu nyingine mpaka miaka kumi ya Bwana Magufuli iishe!!!!!!!

Sijuia kama hii Range yangu pia itakuwa bado iko hai ?????????????????????????????

Haya maisha ya kutegemea mshahara kama wazungu ni magumu sana..

 

Sasa huku kwetu ambako hakuna katapila sijui itakuwaje??????????????

 

Mia kujisaidi/kwenda msalani sasa basi.

Nitakuwa navumulia tuuuuuuuuuu

 

Huku kwetu bafeee ni kila siku. Karibuni sana.

 

Baada ya kazi ya mchana kuchana kutwa, sasa muda wa jakuziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

 

Baada ya suspensheni brigi ya Kigamboni; hatimaje Rais JPM  anakuja na hii..

TZ hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

 

Jamani mbona leo hakuna nyama za kutosha???????????????

Kwani kajibwa kenyewe kaliwa kadogo?????????????

 

Kwani unataka staili ya aina gani atiiiiiiiiiiiiiii???????????????????

 

Usisahau kuwa huyu pia ni mjasiliamali.

 

 

Ndio maana nawapenda wazungu. Mafasheni yao ni ya nguvu sana bwana!!

 

Sasa utanipaje zawadi ya jokofu nami sina hela ya LUKU!!!!!!

Mbona hii sala inakuwa ndefu??????????

Nitaka kupata muda wa kutosha kabla giza halijaingia ili niweze kuwaonyesha majirani zangu .

 

 

About

Hello, I am a regular author. To edit this text edit your profile in Users area of admin.