NINA IMANI NANYI MKO FITI KAMA MIMI!!! ONGEZENI SPIDI BASI!!

 

Ndio mzee, samahani, mwenzetu. tukiamka utatuiona. WE ukifika Kibaha, sisi tutakuwa Mlandizi ati!!!!

 

 

 

Hizi nguo toka Chaina hata hazidumu!

Ukifua mara mbili tuuuuuuuuuuuuuuu,      Basi zimetatuka. Jamaniiiii   hii si hasara tupuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!

 

 

Jamani mweee,   mie hili joto la huku kwenu lanishindaaa ati.!

 

 

Hapa mie chichemi kitu!!

 

Hii Ph.D. ipo karibu sana. Ndio naenda ku-prizenti  na kudifendi pepa yangu.

Halafu nitaungana na PJM pale magogoni….

Na hii miwani yangu. ma RC  wakae chonjo!! Hahaaaaaa!!! mwe!!!!

 

 

Huko kwa Uhuru mie siendi kabisha  kabisha. Hawa wabunge wake hawajua kuongea bali hufoka na kulia bungeni kwa pamoja.

 

 

Sasa hawa kwanini wametumia lugha ya kigogo.

Sasa mie jamani mbona sielewi wanasemaje?//????????????????????

 

 

 

Naombeni niishie hapa; maana hawa jamaa wananitafuta kwa kuwa nimesema jina la rais wao HAZARANI bila ya kutumia neno MTUKUFU.

Hee wazuieni basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

About

Hello, I am a regular author. To edit this text edit your profile in Users area of admin.